lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Angalia jinsi CCM wanavyochezea hela zetu hapa lazima deni la taifa lifike trilion 107

    GT Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
  2. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kua Rais TFF ama uongozi wa juu, lazima uwe na PESA pole sana ndugu yangu Ally Mayay

    Asalaam Aleykum TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi? Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
  3. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi huu lazima aliyekalia kiti ashinde tu, tena kirahisi sanaa

    Na akishinda tegemeeni hali ya maisha yenu yataendelea kuwa magumu mno, kuanzia hela ya kula na hata matumizi madogo madogo ya kifamilia haitawezekana. Maisha yatazidi kuwa magumu na hali ya uhalifu itashika kasi hapa nchini, watu wa kawaida watauana wao kwa wao Uchumi wa nchi utaendelea kuwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Rais wetu ni lazima tumlinde

    Pamoja na yote yanayotokea ila ni lazima Rais wetu tumlinde kwa nguvu zote. Rais ni tunu ya taifa, hivyo alindwe kwelikweli. Naipongeza sana PSU & TISS kwa kazi nzuri ya kumlinda Rais wetu.
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ?

    Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ? Nimesikia kuna walimu wamesombwa huko na kulazimishwa kwenda kwenye mikutano ya kisiasa kwasababu heti ni watumishi, huu udhaifu utaona tu Tanzania aisee.
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Debora Tluway: Hatusitishi Uchaguzi, Oktoba Lazima Tutiki

    DEBORA TLUWAY: HATUSITISHI UCHAGUZI OKTOBA LAZIMA TUTIKI Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Debora Tluway amewataka Wananchi kuendelea kuendelea kujiandaa Kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuhakikisha wanakipa Chama Cha Mapinduzi kura...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mussa Azzan Zungu: Mbunge lazima akaguliwe Bungeni, hujui umemka na nani?

    Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema Jengo la Bunge ni la Wananchi na hakuna Mwananchi anayekatazwa kutekembelea lakini lazima kuwe na utaratibu ambapo amesisitiza kuwa suala la Wabunge kukaguliwa ni la muhimu na lazima kwa kuwa wapo wanaoamka na Watu tofauti. Amesema hayo Bungeni...
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Tumefanya hii kampeni ila lazima tukubali tunawajibu wakiingia barabarani kivyovyote vile

    Hawa jamaa wameshajilimbikizia mimali na kadri miaka inavyozidi kwenda wanazidi kutesa wananchi ni wajibu wetu sisi kama wananchi kuingia barabarani kivyovyote vile na hii ndio njia rasmi ya kudai haki mtandaoni tumeshawaweza ni mda wa kuingia barabarani na tutashinda tu wataobaki salama...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wabongo bana! Hivi kwani kutahiri watoto wako lazima uwapeleke kwa Daktari Juma, Kariakoo? Ona kilichomkuta huyu jamaa

    Alikuwa amekaririshwa kwamba kutahiri watoto wake lazima aende kwa Dokta Juma Kariakoo. Anaishi Chanika na hana gari binafsi. Tukamshauri mpeleke pale nguvu kazi hospital tafuta Dokta anae fanya tohara msimamie am tahiri mwanao akasema lazima awapeleke kwa Dokta Juma. Picha Linaanza simu ya...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ujasusi: Ni lazima uwaze mbele ya wakati

    Wengi wanajiuliza Gwajima yuko wapi? Minong'ono ni mingi lakini ni wazi mpaka sasa hajaingizwa kwenye 'mikono salama'.. Na wakili wake Peter Kibatala kasema mteja wake yuko salaam Gwajima ni bingwa wa kupangilia matukio.. Nikikumbuka kipindi cha Magu alivyotaka kuwatoka police pale TMJ...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mawakili wamshauri MKITI Lisu kuepuka faulu na mitego isiyo ya lazima unawapa washitaki point za bure

    Mazoea sio kanuni Wala Sheria Lisu amewapa mawikili wake wakati mgumu Sana huku akiwapa washitaki wake point NYINGI Yawezekana walishajua mazoea yake ya kuongea kabla ya mahakama kuanza . Refer ametenda haki mazoea sio Sheria au kanuni
  12. Isenye

    JamiiForums Tanzania Tumeachana lkn kila ninachokiweka kwenye status yangu whatsapp lazima anihoji.

    Habari zenu Kuna mwanamke tumezaa watoto watatu, baada ta kuona chemistry haziendani tukaamua kuachana.sasa mwenzangu kila status ninayoweka whatsapp lazima anihoji ni nani na inahusiana na nini? Nifanyaje hapa wadau?
  13. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje kila nikivutiwa na mwanamke nikimtongoza basi lazima awe mchaga

    Mimi sio mchaga lakini toka nabalehe mpaka kufikia utuuzima huu list ya mabinti na wanawake niliodate nao wachaga wanaongoza kwenye list nawaza sometimes inawezeka ni energy ya kichaga labda inayofanya niwavutie hao nao kuvutiwa nami.. Wazee wa relational experience naomba mniambie hii imekaaje...
  14. Hharyson

    JamiiForums Tanzania "HUJUI? Mansion si lazima iwe ghorofa! Angalia hii 5-bedroom masterpiece yenye: 2-car garage Swimming pool unayoifikia moja kwa moja kutok

    SISI TUNAHUSIKA NA : DESIGN ,UJENZI NA UKARABATI OFISI ZETU ZIPO SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP US +255624004650
  15. H

    JamiiForums Tanzania Serikali ipitishe tu lazima kila raia mwenye NIDA awe na bima ya NHIF

    Habari, Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo. Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya...
  16. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Kwani wanafunzi wakimaliza kidato cha sita ni lazima waende JKT? Kwani JKT ni lazima?

    Kuna orodha imetoka kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima. Hii hapa ipakue. Sasa nauliza kwani ni lazima?
  17. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Video: Jerry Muro aropoka na kusema Rais ni wa ovyo

    Baada ya Gwaji boy kutupa jiwe gizani kupitia mkutano wake na waandishi wa habari , ambapo hoja zake zilienda moja kwa moja katika kuhoji uwajibikaji wa taasisi ya Raisi kufuatia kuongezeka kwa matukio ya utekaji , uteswaji na hata unyanyasaji wa kijinsia wa raia wa Tanzania na hata wale...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wazimbabwe lazima kulipa ushuru wa kusikiliza Redio kwenye magari yao, Sheria yatiwa saini na Rais Mnangagwa

    Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ametia saini mswada wa sheria unaowataka madereva wote wa magari nchini humo kulipia ushuru wa kusikiliza redio kabla magari yao hayajapewa bima ya magari. Kulingana na sheria hiyo mpya ya ushuru, madereva watatakiwa kulipia kiasi cha Dola 92 za Kimarekani...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nchi inapaa, kelele lazima zitasikika tu, mitano tena

    Tuliokuwepo tangu awamu ya kwanza tunafahamu kwanini kelele za huyooo huyooo, mchinjeee mchinjeee zinasikika kwa wingi. Nchi imepaa ndani ya muda mfupi tu wa awamu hii unexpected. Ukiona nchi inapaa kwa kutumia vyanzo na rasilimali zilezile walizonazo awamu nyingine maana yake Kuna mirija ya...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Movie scenario!, ni lazima awepo mtu ndani ya CCM, aonyeshe kutokubaliana na hali iliyopo!

    Balancing the equation, baadhi ya wakosoaji ni lazima watoke ndani ya ccm ili kutengeneza uwiano ulio mzuri, #Hata Wana ccm wenyewe hili jambo linawashangaza sana juu wahalifu, katika kuendeleza ualifu wao, Siamini ya kuwa hata chadema wenyewe wanaidadi kubwa namna hii inayodaiwa watu kupotea...
Back
Top Bottom