Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Leo nimeingia Instagram kuangalia wanaomfollow Rais wa Tanzania nikakuta ni milioni 2.3, wakati wanaomfollow Millard ni zaidi ya milioni 15, na wanaomfollow baba levo ni zaidi ya milioni 4.
Hivi watanzania kwanini hamumfollow rais wenu? Hadi itungwe sheria ya kumfollow Rais??
Hivi watanzania kwanini hamumfollow rais wenu? Hadi itungwe sheria ya kumfollow Rais??