Ili uwe na baby’s face ni lazima uwe na jicho jeupe

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,859
Nilikua naambiwa nina baby’s face ila nilijua ni general tu, sasa nimegundua sababu kubwa ni macho.
Macho yangu ni meupe ila yamekaa kma nimepaka wanja, wengine huniambia “ mi nimependa macho tu”.

Na watu wengi huanza kukuangalia machoni ndio huanza kuona uzuri wako, ukiwa na macho mazuri basi ushavuka kama asilimia 40 ya uzuri wasura.
Kama unajicho jekundu/ nyanya usijihesabie kabisa kwenye uzuri

1756694029495.jpeg
 
Nakazia ni swala la muda tu huyu ni wakike na katika ile idadi yngu ya wanawake jf ameongezeka huyu wako wa5 sasa
 
Nilikua naambiwa nina baby’s face ila nilijua ni general tu, sasa nimegundua sababu kubwa ni macho.
Macho yangu ni meupe ila yamekaa kma nimepaka wanja, wengine huniambia “ mi nimependa macho tu”.

Na watu wengi huanza kukuangalia machoni ndio huanza kuona uzuri wako, ukiwa na macho mazuri basi ushavuka kama asilimia 40 ya uzuri wasura.
Kama unajicho jekundu/ nyanya usijihesabie kabisa kwenye uzuri

View attachment 3460751
Mi nikiwaambia nipo SINGLE wanakata wananiambia hivyo ulivyo huwezi ukawa huna mtu,basi nabaki nawqshangaa tu😳
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom