Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,822
- 19,506
Salaam jamiiforum
Kuishi ni lazima,
Kuishi ni kuvifurahia vitu,kama Kula vizuri, Kulala pazuri na kuvaa vizuri.
Bahati mbaya vitu tunavyotamani havipatikani kirahisi lakini ,naamini kila mmoja anatamani kupata kilicho bora.
Bro,hata uwe bize na majukumu vipi usisahau kuishi,enjoy maisha Kula vizuri,vaa pendeza,kipato kikiruhusu basi fanya kila lililo jema,na hayo ni matunda ya bidii na juhudi zako.
Hebu fikiria account yako ina milioni 500 halafu huna hata Vitz,Passo,mmmh bro! Nyumba haieleweki, pombe hunywi,hutokei kwenye village mbalimbali kuenjoy life,wewe ni kukimbizana na maisha ,unakula sehemu mbovu,nini maana ya uwekezaji? Nini maana ya kuweka nguvu kwenye kutafuta pesa?
Bro,si kweli.
Zamani Mimi niliwahi kuona mtu fulani anavunja fence nzima ambayo tayari ilishasimama na kufanyiwa finishing,kuuliza akajibu ni mbaya haivutii,nilishangaa ila Leo sishangai,
Zamani nilikuwa nalala lodge au gesti za kawaida nikiamini usingizi ni uleule na nikuchezea pesa lakini nimejua, baada ya kujikuta miaka inavyosogea lazima uupe,au uulishe moyo kinachostahili siwezi Kulala kila sehemu, siwezi Kula kila mahali.
Jitahidi kuishi vizuri Acha kujikatili
Kula vizuri,
Lala pazuri,
Endesha usafiri mzuri,
Enjoy na furahia uumbaji wa MUNGU, watoto wazuri tumeumbiwa.
Anyway karibuni tupate vinywaji kwetu hakuna weekend maisha yanaendelea