Kwenu wazazi wenye watoto wa kike

Kwenu wazazi wenye watoto wa kike

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
2,464
Reaction score
7,043
Wazazi kuna jambo ambalo inabidi leo mlielewe ama mlizingatie wakati wa kuozesha binti zenu.

Kuna kasumba ya kutajiana mahari kubwa halafu mnaanza kuvutana kama vile mnauziana bidhaa.

Sasa ni hivi mnapotaja mahari za watoto wenu muwe mna uhakika zinaendana na thamani ya binti yako, usitaje mahari ili hali binti yako sio bikra ( yani mtu ashatumika, anajua kila aina ya staili mbaya zaidi wengine hata marinda hakuna)

Wazazi wanajiamulis tu eti "mimi bila mahari ya 3,000,000/= mwanangu haolewi.

Binti asiye bikra hapaswi kutolewa mahari.

Over.
 
Kwa mtizamo wangu, thamani ya mwanamke haipo kwenye bikra ndo sababu inatoka hata kwa mazingira fulani tu. Thamani ya kweli ipo kwenye uwekezaji wa kimalezi, waliofanya wazazi/walezi.
Sawa labda unahitaji bikra vipi ukishaitoa itaendelea kumfanya awe na heshima, upendo, utulivu wa akili, mwenye akili ya maisha, mwenye kujitambua na kuwa mke na mama bora wa familia?
Wanaume wengi wanaojitambua wana "angukia penzini mwa akili ya mwanamke", sio bikra, umbile, rangi , elimu kubwa, n.k. unaweza kuwa kwenye uhusiano na mwanamke hata ukiambiwa mahari mamilioni unasema nn pesa hata wangesema nitoe moyo na "mawashi washi" yote niliyonayo tumboni natoa kwa sababu sio pisi kali ya kupigia picha ila pisi kali kichwani na kila ukiwa nae haboi hapoi unajihisi upo salama na future ile pale, Yaan unasema moyoni we ndo wangu unanifaa.
 
Wazazi kuna jamabo ambalo inabidi leo mlielewe ama mlizingatie wakati wa kuozesha binti zenu.

Kuna kasumba ya kutajiana mahari kubwa halafu mnaanza kuvutana kama vile mnauziana bidhaa.

Sasa ni hivi mnapotaja mahari za watoto wenu muwe mna uhakika zinaendana na thamani ya binti yako, usitaje mahari ili hali binti yako sio bikra ( yani mtu ashatumika, anajua kila aina ya staili mbaya zaidi wengine hata marinda hakuna)

Wazazi wanajiamulis tu eti "mimi bila mahari ya 3,000,000/= mwanangu haolewi.

Binti asiye bikra hapaswi kutolewa mahari.

Over.
Mahari ni ujima, ni kuendekeza umasikini, ni biashara ya utumwa.

Msikilize Mbaraka Mwinshehe hapa anakupa kitu na box kuhusu figisu za mahari.

View: https://youtu.be/9cXNeJtZ6zM?si=VVKXeKGkOfArbhkt
 
Wazazi kuna jambo ambalo inabidi leo mlielewe ama mlizingatie wakati wa kuozesha binti zenu.

Kuna kasumba ya kutajiana mahari kubwa halafu mnaanza kuvutana kama vile mnauziana bidhaa.

Sasa ni hivi mnapotaja mahari za watoto wenu muwe mna uhakika zinaendana na thamani ya binti yako, usitaje mahari ili hali binti yako sio bikra ( yani mtu ashatumika, anajua kila aina ya staili mbaya zaidi wengine hata marinda hakuna)

Wazazi wanajiamulis tu eti "mimi bila mahari ya 3,000,000/= mwanangu haolewi.

Binti asiye bikra hapaswi kutolewa mahari.

Over.
Mwanao,unamkaguaje uchi kuwa bikra au sijakuelewa?!!!!!
 
Wazazi kuna jambo ambalo inabidi leo mlielewe ama mlizingatie wakati wa kuozesha binti zenu.

Kuna kasumba ya kutajiana mahari kubwa halafu mnaanza kuvutana kama vile mnauziana bidhaa.

Sasa ni hivi mnapotaja mahari za watoto wenu muwe mna uhakika zinaendana na thamani ya binti yako, usitaje mahari ili hali binti yako sio bikra ( yani mtu ashatumika, anajua kila aina ya staili mbaya zaidi wengine hata marinda hakuna)

Wazazi wanajiamulis tu eti "mimi bila mahari ya 3,000,000/= mwanangu haolewi.

Binti asiye bikra hapaswi kutolewa mahari.

Over.
lakini mahari hua haiishagi gentleman, unaweza kupunguza nyingine ukamalizia baadae kidogo kidogo. Au sikuizi unalipa complete?🐒
 
Back
Top Bottom