min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,706
- 175,724
Nyie vijana mtambue kuwa hakuna umri wa mafanikio, mimi ni kati ya vijana nilianza kufanikiwa nikiwa na miaka 33 , yani hapo kwa umri huo buku sina , nilichokua nacho ni mind setting na akili ya pesa tu .
Leo hii nikifilisika kabisa nikawa na 50 elfu tu , nitampita ambae anajiona yupo vizuri na umri wa miaka 18 tu🤔
Pesa ni mtazamo , mafanikio hayaji bila kutegemea akili yako ipoje, na mtazamo 🤔
N.B mimi siwapi njia nawapa mwanga tu .