kwenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hali ya biashara huko kwenu ipoje.....

    Najiuliza tu kwa mikoa mingine huko Hali ipoje ndugu zangu. Sisi huku tunaangalia tu madukani . Tunajihoji ni mkoa wetu tu au na huko hali ipoje.
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ni wazo ila ni msaada kwenu TRA

    Naanza kwa kuwaponda viongozi wanaosafiri kwenda nchi za nje na kisha kurudi wakiwa na mashudu kichwani. Ina maana gani ya kwenda nchi za watu mkarudi kichwa cheupe hata mjifunzi makosa au mbinu. Hii sio kwa TRA ni kwa idara zote mpaka serikali nzima. Mfumo wa TRA ulikuwa na njia rahisi ya...
  3. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri kwenu machama yangu Argentina, Morocco, Spain na Algeria

    Ingawa mimi ni shabiki mkongwe wa Albiceleste, na bado naimani kubwa sana na chama langu kubeba kombe hili (Back to Back) Lakini kwa upande wa Afrika nipo na chama langu The Atlas na mabingwa wa Afrika CAF CHAMPIONS LEAGUE 🇲🇦 MOROCCO 💪🏽, niwatakieni kila la kheri katika mchezo wenu wa kwanza...
  4. Mbabani

    JamiiForums Tanzania Kwenu wazazi wenye watoto wa kike

    Wazazi kuna jambo ambalo inabidi leo mlielewe ama mlizingatie wakati wa kuozesha binti zenu. Kuna kasumba ya kutajiana mahari kubwa halafu mnaanza kuvutana kama vile mnauziana bidhaa. Sasa ni hivi mnapotaja mahari za watoto wenu muwe mna uhakika zinaendana na thamani ya binti yako, usitaje...
  5. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Songwe nipo kwenu toka Jumatano nimekuja kubalizi kidogo na majini wenzangu 😂😂 karibuni mnaotaka kuonana na mimi

    Wakazi wa Songwe nipo kwenu toka Jumatano nimekuja kubalizi kidogo na majini wenzangu 😂😂 karibuni mnaotaka kuonana na mimi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kama umeajiriwa na kazini kwenu hakuna lunch wala hela ya usafiri, wewe na boss wako tafuteni kazi nyingine!

    Hii serikali unaguzi hauishi. Wote na degree moja, ila mwingine kapewa nyumba, ana posho /hela ya nauli na mshahara wa moto. Wewe uko na basic ya 1.2m na unavimbishiwa na boss, mkuu wa hidara, mkuu wa section nk. Mahala pako na shida. Kama vipi tuwe tuna reshuffle. Si wengine ata kaunda suti...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kila jamii inatabaka, kuna tabaka ambalo walishajichagua wenyewe, tabu na mateso yenu ni ya kwenu wenyewe ingawa hawawezi survive bila nyie

    Atakutesa lakini atakulaumu kwa nini unalalamika unaumia. POLENI SANA. Historia ya masikini inaandikwa chooni, historia ya mshindi inaandikwa kwenye vitabu. Mshana Jr min -me ngara23
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA na wanaharakati leo ikibidi msilale majumbani kwenu

    Top mmoja kateleza katika maongezi kavujisha Taarifa sehemu kwamba Report ya Chande Tayari imewataja watu fulan na wanaweza wakapotea hivo wakamatwe kabla ya Juma kuisha na ikibidi wakamatwe leo usiku hivi inabidi mkae kwa rada sana !!! Najiuliza kwani kumbe report haikuwa ya maana yeyote ni...
  10. Etwege

    JamiiForums Tanzania Kwenu CCM mtandao

    Ni dhahiri sasa, kuwa unaweza kumunywesha sumu mtu lakini hauwezi kabisa kunywesha sumu ukweli aliokuwa anaufundisha. Unaweza kumteka mtu anayewafundisha watu ukweli lakini hawezi kuuteka ukweli uliowaingia mamilioni ya watu. Kwa Magufuli mlishangilia na kula nyama mkidhani mmeshinda, kiko...
  11. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Hivi hili tatizo la Twitter (X) kutokufanya kazi ni kwangu tu au na kwenu lipo?

  12. medyh99

    JamiiForums Tanzania Nakusanya mawazo kwenu wana familia

    Je, utafanya nini ikiwa una mahusiano na mwanamke na unampenda sana ila kila mkikosana wewe na yeye, unapokea vitisho na meseji za ajabu kwa wazazi wa mtoto ili hali wewe hujawahi kujitambulisha kwa wazazi wake? Je utaamua kumuacha na umegundua unampenda sana? Au utavumilia??
  13. A QUEEN

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    Ni aibu sana kitu unafanya kwa siri ghafla kikajulikana hadharani🙌. Upande wangu kama ambavyo ilivyo kwa watoto wengi hasa wa kike nilikatazwa kutumia simu mpaka nifike kidato cha nne,jambo ambalo binafsi sikukubaliana nalo.Nilipewa hela ya tuition nikanunua simu kiswaswadu nikawa natumia kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu Wanaume, Mwanamke akikuletea Zawadi jua ni mtego, atachukua kwako mara 2 yake

    Naam, hawa viumbe acha tu, Waliosema ishini nao kwa akili hawakukurupuka, haikumaanisha kuwa hawana akili bali upeo wao ni mkubwa sana na usipokuwaa na akili za kudeal nao, rafiki yangu umeisha. Sasa basi Mwanamke akikuletea zawadi wewe Mwanaume iwe ya sikukuu au yoyote ile, iwe fedha au zawadi...
  15. David Harvey

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwenu uongozi wa Temeke hospital

    Juzi nimempoteza ndugu yangu tena kizembe kabisa ni kwa vile sikuwepo,Competent doctors wote mmeondoka hospital imeshikiliwa na intern doctors! Hospital ya rufaa inashikiliwa na interns mko serious kweli??? Kuna mtu niliwahi kumsikia kuwa temeke hospital ni kijiwe cha interns kweli nimeamini...
  16. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Simba msikubali hizi faini mnazopigwa na bodi ya ligi, wanaibeba timu masikini halafu pesa wanachukua kwenu

    Hapo vip! Ukitazama kwa jicho latatu unaona kabisa hizi faini wanazopigwa Simba sio haki,ila nikwasababu wanajua club ya Simba inapesa hivyo wanatengeza faini za kijanja ili hiyo bodi inayongozwa na viongozi maskini wapate mkate wa chai. Ni wazi bodi inaibeba Yanga katika vitu vingi ila Simba...
  17. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Mlokole upo hapa jukwaani, chukua ujumbe huu peleka kanisani kwenu

    (i) Tanzania sio nchi ya KILOKOLE Mnapopita kila nyumba kuhamasisha watu waje kanisani kwenu mna maana gani?? Yani unakuja unagonga unafunguliwa, tunasalimiana, bila hata kuuliza mimi dini gani unaanzA kunikaribisba kanisani kwenu, hiyo ipo sawa?? Kwamba nyie akili zenu zinawatuma kila mtu ni...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kilimo Cha maharage chenye Tija (faida)

    Kabla ya yote ni kiri wazi kuwa Elimu Haina mwisho na hata maarifa pia. Nakuja kwenu ninyi wabobevu wa kilimo Cha maharage kuomba njia Bora ya kilimo hiki. Ukizingatia mbegu, upandaji, Mbolea na madawa hata booster ni zipi nzuri? Kwenye mbegu ni mbegu Gani (zipo mbegu za hybrid kama za...
  19. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kwenu TRA, StarLink ina kodi tamu, wahini mshiko haraka, Elon Musk analipa kodi nzuri tena kwa wakati na analipa in USD

    TRA msipitwe na gari la mshahara TRA kataeni siasa chukueni Pesa TRA mleteni mjomba StarLink msipoteze muda kwenye pesa Nchi zilizochelewa kuipokea zimegundua kuwa zilijikosesha mamilioni ya USD kwasababu Elon Musk analipa kodi kwa wakati na jambo kubwa zaidi hana longo longo kipengele mje...
  20. DesertStorm

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri kwenu Morocco 🇲🇦 Algeria 🇩🇿

    Wale mnaowatakia ama kuwaombea mabaya waarabu waondolewe kwenye mashindano haya ya AFCON na wabakie weusi tu mmefeli, tena sio kidogo, hakunaga duaa mbaya kwa mwenzio na ikakubaliwa.... huo ni ubaguzi na chuki ya wazi kabisa, wewe kama una imani haswaa na khofu ya Mwenyezi Mungu huwezi kufanya...
Back
Top Bottom