kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kilio cha walimu na CWT kimekuwa kilio cha samaki machozi kwenda na maji.

    Hao jamaa kwa kitendo cha kugomea nafasi waliopewa na mh Rais kwenda kumsaidia kutekeleza ilani ni tatizo kubwa sana. Na chakushangaza maafisa utumishi katika Halmashauri mbalimbali nchini wanawaunga mkono hao majamaa kwa kuisapoti CWT. Wanaikandamiza CHAKUHAWATA ambayo kimsingi ipo kumsaidia...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Shirika la Ndege la Tanzania anzisheni safari za Madagascar na Shelisheli moja kwa moja; naona fursa ya utalii kubwa

    Mashirika ya ndege yanayopeleka ndege kwenye visiwa maarifu Afrika ni machache sana. Nimejaribu leo kutafuta ndege ya Kwenye Madagascar au shelisheli kuwatembelea baadhi ya wafanya biashara wanaokula raha huko nimekosea hadi niende Dubai au Ethiopia au Kenya. Ikabidi nisome fursa zilizopo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna mazingira ya rushwa kwa Askari wanaoomba kwenda Kozi

    Nimeamua kuandika hapa kwa kuwa JamiiForums inafuatiliwa na watu wengi ndani na je ya Nchi, mtandao huu unafuatiliwa na watu wa kawaida, Viongozi na Watu wengine mashuhuri. Ningependa kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa kabisa andiko langu hili liende hewani. Ikiwezekana andiko hili lifikisheni...
  4. JamiiForums Tanzania Kigoma: Shule ya Mvinza Kagerankanda haina Madarasa na Madawati. Waandikia Majivu

    Shule ya Msingi Muvinza iliyopo Kata ya Kagerankanda, Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma ina changamoto ya upungufu mkubwa wa madarasa na madawati hali nayowafanya wanafunzi wengi kusoma nje na wengine kusoma wakiwa wamekaa chini katika madarasa machache yaliyopo. Wanafunzi ambao wameanza elimu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mtanzania usijiroge kwenda kutafuta maisha nje ya nchi. Tanzania kuna maisha yote

    Hii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni. Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na nusu unainjoi kuliko anayelipwa mamilioni huko nje. South Africa vijana wa kitanzania wanakufa kama...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Marufuku ruhusa za kwenda Dodoma.

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewaagiza Maafisa Utumishi wa Halmashauri zote nchini kuacha tabia ya kukaa ofisini badala yake watembelee ofisi za watumishi zilizopo katika Kata na Vijiji ili kutatua changamoto za watumishi...
  7. JamiiForums Tanzania Tunaosafiri leo kwenda Kigali tabia zetu za wizi, kukojoa, kuvuta bange na 'kuukweka' hovyo tuziache Dar es Salaam

    Tunajuana na ndiyo maana nimeamua kutoa tahadhari mapema nikiamini wanaoenda Ndola Zambia ni Wastaarabu mno. Kuukweka ni Kujisaidia Haja Kubwa. Ni Lugha ya Wazaramo hiyo na Mimi GENTAMYCINE ni Mzaramo Mzanaki Mmakuwa.
  8. JamiiForums Tanzania Gharama za makato kutoka Skrill kwenda Airtel money

    Habari wakuu Kwa wale watumiaji wa E-wallets haswa Skrill , ninaona wameongeza huduma ya kutoa pesa kwenda Mobile money! Nimejaribu kuangalia makato (Fee) yake kwa kupitia Airtel money naona kama charges zipo juu sana. Vipi ni njia gani nafuu mnazotumia ndugu zangu?
  9. JamiiForums Tanzania Hatuwezi kwenda Uchaguzi wa 2024 na 2025 bila marekebisho ya Sheria za Uchaguzi

    HATUWEZI KWENDA UCHAGUZI WA 2024 NA 2025 BILA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UCHAGUZI Watawala wamekuja na mbinu ya medani wengi hawaijui katiba iliyopo, vyama vya siasa siyo wamiliki wa Katiba na ubora wa katiba siyo lazima haki ikatendeka. Hivi ni visingizio vya kukwepa kurekebisha mfumo wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kumbe kipaumbele ni kwenda kwa PK na Msafara wa Mabasi 800 na siyo Kujipanga Kumfunga Mwarabu?

    Taratibu sasa naanza kumuamini Haji Manara kuwa Wenye Akili timamu Kwao ni Wawili tu Baba yake na Rais Mstaafu Kikwete. Mkiambiwa ni Washamba mnanuna.
  11. JamiiForums Tanzania Hili Vibe la Wanaosafiri kwenda Pele Stadium Kigali Rwanda liwepo hata mkirejea Dar baada ya Kufungwa na Msudani

    Ndugu yangu Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima (Fabregas) kawajazeni Upepo ( Kawasifieni ) nanyi mlivyo Mapimbi na Maboya mmejaa na Kujiamini mkidhania Msudani ni Mjibuti mliyemuonea kwakuwa Kwao kuna Utapiamlo na Wachezaji wao Wote walikuwa na Njaa + huo Utapiamlo. Mwanamume ws Shoka ( Mumewe...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna wadada wakija ghetto wanachukua kitu chochote cha kwenda kuturogea. Nimefunga camera wameanza kuumbuka vibaya kabla hawajaondoka najisanua

    Wasalaam, Nawakumbusha tena camera ambazo ni ngumu mtu kujua zimejaa tele , kuondokana na hii vita ya wadada ama wanawake kuwa na mpango wa kuturogea kimapenzi. Mimi najisanua kila mara nawaumbua, mpaka sasa wengi wanashangaa maana hakuna dalili za kuona camera popote pale, kamanda nimefunga...
  13. JamiiForums Tanzania Usithubitu kutoa fedha benk kwenda halopesa Kwa NMB Mobile inakula kwako

    Wakuu this is the second time yananikuta. Nilifanya transaction kweny 🏧 pesa niipokee Kwa wakala ikakwama ilikuwa miez kadhaa myuma. Wakati mwingine nikajitoa ufaham nikaweka fedha ndefu kutoka mwenye ATM kwenda Kwa halopesa kuepuka kutembea na banch of money. Yakanikuta tena jaman huu...
  14. JamiiForums Tanzania Cuba yalalamika kwa Urusi kutumia raia wake kwenda kupigana Ukraine

    Urusi inavyotapatapa mpaka sasa inahamisha watu kutoka mataifa tofauti kwenda kufia Ukraine maana wanajeshi wake wamefyekwa kama senene... A human trafficking ring that coerced Cubans to fight for Russia in Ukraine has been uncovered, the Caribbean island's government says. The Cuban...
  15. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu ana C mbili na D tatu ila ana division 4 form four, ataweza kwenda advance ya hata private?

    Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four. Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya private, nataka kujitolea niwekeze kwake hata aweze kusoma kama ataweza kwenda form five. Kingine kama...
  16. JamiiForums Tanzania Chelsea yakubali kumuachia Lukaku kwenda Roma kwa mkopo

    Mshambuliaji huyo raia wa Ubelgiji anatarajiwa kutua Roma kwa mkopo wa Pauni Milioni akiungana na kocha Jose Mourinho waliyewahi kufanya kazi pamoja miaka kadhaa iliyopita. Kukamilisha usajili huo, Chelsea imekubali Pauni Milioni 5 badala ya 8 iliyotaka awali ili kumruhu Lukaku (30) kwa mkopo...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Putin kukacha kwenda Sauzi kulikoni kimya hiki kutokea Buza?

    Ilikuwa makelele moja kwa moja ooh, mwamba Putin atatinga Sauzi kwenye mkutano wa BRICS. Kwamba hatishiki wala kukuruka. Ajabu na kweli tumesubiri wee hakuna cha Putin, Yeriko wala wale warusi nguli kutokea Buza walioweza kuyarejelea majigambo yao. Kwamba alikuwa busy na Yevgeny Pighozin...
  18. JamiiForums Tanzania Njia gani ni bora kwa mtumishi kuhama kutoka halmashauri (local government) kwenda Taasisi zingine?

    Jamiiforums kisima Cha maarifa. Mimi ni mtumishi Mwalimu, Nilisoma PCB advance nikapata division II point 12, nilichaguliwa computer and software engineering Lakini sikwenda, nikazamia Chaka la ualimu wa Physics Nilisoma kwa sababu ya kukosa washauri pamoja na umaskini wa home na nilitaka...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kuoa Zanzibar

    Habari zenu wana jamvi. Nisiwachose sana. Ni hivi, sauti yangu ya ndani inanishuhudia nioe mwanamke wa kizanzibari.. Kuhusu dini Mimi ni Mkristo mwenye vinasaba vya uislamu. Nipo tayari kusilimu wakati wowote ule. Kwanza I am not even a church going person. Ukristo wangu ni ukristo wenye...
  20. JamiiForums Tanzania ONYO: Hata maisha yakubane kivipi, usije jaribu kwenda kutafuta utajiri wa mashetani, pesa za mashetani hata waganga hawazitaki

    Ndio maana kuna waganga wengine wana hali za kawaida kiuchumi ila watu wanajiuliza kama huyu mganga anaweza kutajirisha watu kwanini yeye hatajiriki, kuna siri kubwa sana! Ipo hivi, hata hao waganga wenyewe wenye huu utaalam, wao wanachoweza ni kukuzikutanisha pande mbili tu na kuwa mkalimani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…