kwasababu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Execute

    JamiiForums Tanzania Ukipigwa vitani kwasababu ulikuwa unampigania Mungu wako inamaanisha nini?

    Kila nchi hapa duniani kuna madhabahu na mungu wa hiyo madhabahu. Kila jamii ina ibada na kuna maagizo yakufuata. Wale ambao wanampigania mungu wao na kupigwa inakuwa na tafsiri gani? Yule mungu kashindwa?
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kadogosa: Safari za SGR kutoka Dar - Moro zimechelewa kwasababu ya hatuna Vichwa vya Treni

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha Dar es salaam - Morogoro umekamilika kwa 100% na mabehewa zaidi ya 45 tayari yamewasili nchini lakini kilichosimamisha safari kuanza ni kuchelewa kwa vichwa vya treni ambapo hadi sasa...
  3. Ben-adam

    JamiiForums Tanzania Tunawapenda na kuwakubali kwasababu hutuwajuwi!

    Tunawapenda na kuwakubali kwasababu hutuwajuwi! Kuna vitu vingi vinavyoweza kukufanya umpende mtu au vitu vya mtu fulani ambaye wala humjuwi na haujawahi kuonana naye, uandishi wake kama wengine wanavyosema, jokes, uchangiaji wa hoja na mengine mengi tu Wakati unaendelea kusoma alichoandika...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya wakurugenzi na wakuu wilaya (DC) na mikoa (RC) haitaisha kwasababu zifuatazo

    naomba kutumia mfano wa makinda ya ndege au watoto wa nguruwe! ukipita kwenye banda ukakuta pako kimya ujue vinanyonya! kila kimoja kinanyonyo lake mdomoni kinakamua! Hivi ndivyo ilivyo kwenye vyeo vinavyogongana maslahi kama hivi. TWENDE PAMOJA KWA SABABU ZIFUATAZO! Vyeo hivi vya Mkurugenzi...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Fake News zinatrend kwasababu zinakamata attention ya mtu

    Elias Patrick, mgunduzi wa Kitonga AI amesema mara nyingi taarifa zisizo sahihi hutrend kuliko taarifa sahihi kwa kuwa fake news zinashika attention ya mtu. Amesema hayo katika CSO week ambapo alikuwa session ya kuelezea jinsi AI inafanya kazi. Katika kipindi hiko amesema suala la AI...
  6. cold water

    JamiiForums Tanzania Mate kuruka kwasababu ya chakula kitamu

    Nimehaibika Leo ikabidi niache kuendelea kumkaribisha mgeni,nilitembelewa na mgeni Leo nikasema nipike ugali wa kutosha ni work mate wangu ,nikapika ugali na dagaa. Dagaa nilizikaanga tu na kuzitia limao nikatenga chakula ile kuanza kula mgeni akawa ananipigisha story nikawa namsikiliza huku...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Naona vijana wa sasa wataingia jehanam kwa sababu za kipuuzi sana. Inasikitisha

    Kwenye sabato ya leo nimepata muda kufikiria mambo ya kiimani hasa suala la motoni na peponi kwa mujibu wa imani yangu ya kikristo. Baada ya kujikumbusha zile amri 10 nimejiridhisha kuwa vijana wa sasa tunaweza kuingia motoni kwa sababu za kipuuzi ambazo nyingi zinatokana na amri ya USIZINI na...
  8. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mkatoliki anayeweza kupingana na TEC kwasababu ya mamlaka Yake?

    Kwa Wakatoliki, mapadre na maaskofu ni watu muhimu mno kiimani. Pamoja na malezi mengine, watu hawa ndiyo ambao huwaongoza wakatoliki katika sala ya toba na kutoa tamko la msamaha wa dhambi. Ifahamike ya kwamba hakuna mkatoliki makini anayeweza kupingana na mababa wake wa kiimani, hayupo. Hata...
  9. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Nimegombana na waifu kwasababu ya Mudi: Naombeni ushauri wakuu

    ...... ......... ............ Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam. Ipo hivi..... Jana wakati tunatoka shambani kidogo niliona mabadiliko kutoka kwa mamaenu (waifu). Alikua mtu mwenye hasira sana, basi nikamuuliza kipenzi changu kulukoni...?? Akanijibu kwamba hawezi akawa na...
  10. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Tanzania inakuwa kwa kasi kwasababu ya amani na utulivu

    Maendeleo makubwa ya kisekta yaliyoshamiri kila kona ya nchi, ni kwasababu ya Amani na Utulivu uliopo. Mipaka iko salama chini ya vyombo imara vya ulinzi na usalama. Uhuru wa maoni, habari, haki, demokrasia, upendo, usawa, utengamano, umoja na mshikamano miongoni mwa wa Tanzania ndio hasa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana upinzani unakuwa kwasababu ya kukuwa kwa demokrasia na sio kudhoofika kwa CCM

    Uelewa mdogo wa watu unachangia kwa hili kupotoshwa. Upinzani Tanzania unakuwa sana lakini sio kitu kibaya kwa nchi wala chama tawala. Kukuwa kwa vyama vya upinzani ni kukuwa kwa demokrasia na sio kweli kila kukuwa kwa upinzani kunatokana na CCM kufanya ubaya. Bila watu wa CCM kuelewa hili...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutamani Kuhama mtaa kwasababu ya mambo ya Majirani zako?

    Kwenye kuishi tunakutana na mengi sana. Unaweza kuwa na nyumba yako kali na maisha yako safi tu ila aina ya Majirani wanaokuzunguka wakafanya uone kero ya maisha na kutamani kuondoka eneo hilo ila unashindwa kwasababu ndio ushajenga hapo. Tupe experience yako eneo unapoishi au wewe naye ndio...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Sefue: Baadhi ya Wakuu wa Wilaya na Mikoa wanatumia vibaya Mamlaka yao

    Fuatilia yanayojiri kwenye Kikao cha Wajumbe wa Tume ya Haki Jinai, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Wahariri wa vyombo vya habari, leo Julai 20, 2024. Kikao hiki kinafanyika Ikulu ya Dar es Salaam. Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inaongozwa na...
  14. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Tunaonywea pombe nyumbani kwasababu mbalimbali ikiwèmo kuficha tabia yetu ya ulevi tuonane hapa

    Kama kichwaccha habari kinavyojìleza, wote tunaokunywa pombe za ķujificha tukutane huku tusingoje yatukute yaĺiyomkuta mzee wa upako, najua wengì tunatamani kuacha pombe lakini tumenaswa mahali. Tumeishia tu kusema hii ndio chupa yangu ya mwisho, kesho sinywi tena, na akili źikiturudia...
  15. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwasababu ni starehe ya mtu binafsi na maisha yake mwenyewe. Mtu amezaliwa mwenyewe na atakufa mwenyewe kwa wakati wake hivyo basi starehe zake binafsi aachiwe mwenyewe kwasababu hajalazimisha watu washiriki nae...
  16. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kununua shati Kariakoo kidogo nigeuzwe mwizi

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Wiki iliyoisha nilikuwa na mtoko wa kuelekea mahali fulani,nikasema siwezi kwenda huko bila kutupia mitupio ya Ki-Jentromeni,nikaona isiwe tabu nielekee Kariakoo ambako ningepata mavazi mazuri kwa bei nzuri iliyoendana na bajeti yangu. Sasa nilipofika...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: 'Tulipiga Kura za Wazi kwasababu Kulikuwa na dalili za Rushwa'

    Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chadema, Ruth Mollel amesema katika mkutano wa baraza kuu uliofanyika Mei 11 mwaka jana, walilazimika kupiga kura za wazi kwa kuwa kulikuwa na dalili za rushwa. Mollel alieleza hayo jana wakati akihojiwa maswali ya dodoso na Wakili Ipilinga Panya katika kesi ya...
  18. Sitaki kuamini

    JamiiForums Tanzania Nacte wameninyima nafasi kwasababu ambayo haipo kwenye Guidebook. Niwafanyeje?

    Form 4 & 6nimemaliza mwaka 2015 &18 respectively umri ni 26. Hawa jamaa wamekosa vigezo vyote vya kunizuia wakatafuta hata ambavyo havipo kwenye vigezo vyao wenyewe. Hii sababu haikuwepo na haipo kwenye guidebook ya mwaka huu Nawashitaki Is there any lawyer for hire out there?
  19. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Naanzisha vita Rasmi na huyu jamaa anayejiita GENTAMYCINE

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Sikupaswa kuandika hapa lakini kwasababu umeamua kuniblock huko pm kila nikikuandikia sms haziendi,sasa nimeona nije public ili ufahamu ya kwamba wewe unayejiita GENTAMYCINE nahitaji tukutane tukiwa wawili tu kwa ajili ya kutibitisha mimi na wewe nani...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tuache kutumia neno sukuma gang kwasababu ya aliyoyafanya Magufuli ambae hakuwa Msukuma

    Ndugu zangu naomba tuache kutumia hii phrase ya sukuma gang ni kweli magufuli alifanya mambo ya hovyo sana katika historia ya nchi yetu na ndipo waungaji mkono wake (wema kwa wabaya) wakaitwa sukuma gang lakini honestly magufuli sio Msukuma kwa kabila hivyo tuache kuwanyanyapaa wasukuma kwa...
Back
Top Bottom