kwao

The following is a list of radio stations and translators in the United States broadcasting Air1 programming, which can be sorted by their call signs, frequencies, state, city of license and broadcast area.

View More On Wikipedia.org
  1. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la wachimbaji wa kigeni na wakezaji kutoka bara la asia .Ni kipi Watanzania tumegundua kwao?

    Kuingia kwa wachimbaji wa kigeni na wawekezaji kutoka bara la Asia, hasa katika sekta ya uchimbaji, kunaweza kuleta fursa na changamoto kwa Watanzania. Idadi kubwa ya wachimbaji wa kigeni na wawekezaji wengi wanatokea bara la Asia, hususan China. China ni moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi...
  2. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dubai inaagiza mchanga Australia wakati upo kwa wingi kwao

    Dubai ni moja ya miji mikubwa duniani yenye majengo marefu na ya kuvutia. Ukuaji wake wa haraka umehusishwa sana na sekta ya ujenzi na maendeleo ya miundombinu. Kuanzia majengo ya kipekee kama Burj Khalifa, jengo refu zaidi duniani, hadi visiwa bandia kama Palm Jumeirah, Dubai imekuwa...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Siku moja kabla ya kifo chake Mafisango aliteketeza milioni 10 kwa starehe,cha ajabu hakuwa amejenga kwao

    Marehemu asemwi vibaya ila huyu mwamba alinifurahisha sana. Mmoja kati ya viungo bora kabisa wa enzi zake,siku moja kabla ya kifo chake,Isnsil Aden Rage akimpatia milioni zaidi ya kumi kama sehemu ya ada ya usajili wake. Mafisango akaita marafiki zake wakaitumbua aswaa,ilikuwa ni kuhama bar tu...
  4. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wanapataje leseni maana ajali kwao fasta

    Hivi bodaboda wanapataje leseni, maana uendeshaji wao upo rough sana mpaka unajiuliza huyu mtu amesoma sheria za barabara, Kwa namna moja au nyingine hii ndio sababu kubwa sana ya bodaboda nyingi jijini Dar es Salaam kupata Ajali. Mtu yupo kwenye foleni ila anakimbiza pikipiki balaa, mara...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC mnalalamika nini Serikali kuipendelea Yanga SC wakati nanyi kutwa mnajipendekeza kwao?

    Tokea mwaka jana GENTAMYCINE nimewaasa sana hapa JamiiForums kwa kuwataka ikataeni Serikali na Misaada yake ya Kinafiki Kwenu kwani wala haiwapendi mmekataa Kunisikia na Kunielewa. Wana Simba SC (baadhi yenu) mlivyo Majuha (Fools) tokea Juzi mnlalamika Kubaguliwa na Serikali kwa kuwasaodoa na...
  6. Kibiriti ngoma

    JamiiForums Tanzania Kwa kiwango cha Omar pa Jobe na Fred Michael, hata mimi enzi zangu nakiwasha ndondoni hawakunifikia, ila bahati iko kwao

    Habari wadau, nawatazamaga hawa jamaa wawili strikers wa simba sc, hata siwaelewi, kipindi hiki tunakuwaje na viongozi wa kubahatisha kwa upande wa uteuzi wa wachezaji!!! Unawezaje kutuaminisha fred na jobe na proffessional players ilhali kiwango chao ni zero? Hapana, hapa tumepigwa na kitu...
  7. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Makonda alikuwa sahihi sana kwao

    Kwa aina ya uongozi wa CCM hasa kipindi hiki cha awamu ya sita Makonda alikuwa sahihi sana katika nafasi ya uenezi. Bila shaka aliitendea nafasi hili hata wapinzani naamini wanafahamu kabisa. Sijajua kwa sababu gani kaondoshwa na yupi ataletwa kuzimba pengo. Aliifufua CCM wenda kuliko hata...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe arejea Jimboni Hai, Umati wajitokeza Bomang'ombe kumsikiliza

    Leo 25/03/2024 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ameonekana kwao Hai, Mkoani Kilimanjaro, ambako amehutubia mkutano kabambe wa Hadhara kwenye eneo la SHOW VIEW kata ya Bomang'ombe . Hali ndio kama mnavyoiona
  9. conductor

    JamiiForums Tanzania Heshima Idumu kwao.

    VIJANA WA ZAMANI MPO? Orodha ya majina ya watangazaji na ma-reporter mahiri wa RADIO TANZANIA DAR ES SALAM (RTD) enzi hizo. Tumetoka mbali tukumbushane. 1. Abdul Ngalawa 2. Abdullah Mlawa 3. Ahmed Jongo 4. Aloisia Maneno 5. Angalieni Mpendu 6. Absai Stephen 7. Ahmed Kipozi 8. Albert Msemembo 9...
  10. conductor

    JamiiForums Tanzania Heshima idumu kwao.

    VIJANA WA ZAMANI MPO? Orodha ya majina ya watangazaji na ma-reporter mahiri wa RADIO TANZANIA DAR ES SALAM (RTD) enzi hizo. Tumetoka mbali tukumbushane. 1. Abdul Ngalawa 2. Abdullah Mlawa 3. Ahmed Jongo 4. Aloisia Maneno 5. Angalieni Mpendu 6. Absai Stephen 7. Ahmed Kipozi 8. Albert Msemembo 9...
  11. Ester505

    JamiiForums Tanzania Malipo ya kufundisha tuition ni kiasi gani kwa mwezi mtoto akifatwa nyumbani kwao?

    Nawasalimu. Naomba kwa wazoefu wanifahamishe Bei ya kumfundisha mtoto tuition akifatwa nyumbani kwao.wa darasa la tano na darasa la kwanza. Msàada jamani.
  12. Championship

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanaona shape ni jambo muhimu kwao wakati wanaume hawapendelei kuoa wa hivyo?

    Mara nyingi kwenye suala la kuoa wanaume tunaangalia tabia na mtazamo wa mwanamke na sio muonekano. Asilimia kubwa ya wanawake wenye maumbo ya kuvutia huwa tunawatamani lakini hatuwawazii sana kuwaoa na kuishi nao. Sasa ninashangaa ni kwanini mwanamke aende kujibadilisha umbo wakati hapo...
  13. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyike kwao

    Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyikiwe kwao. Rais Ruto ameliagiza Jeshi pamoja na Wizara ya Michezo wajenge uwanja wenye hadhi ya Kimataifa unaobeba watu 60,000 jijini Nairobi tena Ukamilike ndani ya Miaka 2 tu. Tanzania inabidi tuchangamke, fainali ichezewe kwa Mkapa. Sisi wabongo...
  14. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Singida Fontaine Gate imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kiungo wake Bruno Gomes Barroso raia wa Brazil

    Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii Bruno amesema kumekuwa na uvunjaji wa mkataba kwa upande mmoja kutoka kwa klabu hali inayopelekea uhusiano wa nyota huyo na wakulima hao wa Alizeti kumalizika. “Uamuzi huu haukuwa rahisi, lakini ulifanyika kwa nia ya kuhakikisha tunaweza kuendelea...
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania Brazil imemfukuza balozi wa Israel, na kumrudisha wa kwao kutoka Israel

    Wanaukumbi. Brazil ilimfukuza tu balozi wao wa Israel, na kuwarudisha wa kwao kutoka Israel. Hili ni tendo la kupongezwa linalopaswa kurudiwa na mataifa yote. Israel na Netanyahu wapuuzi sana wanavyowapelekesha Ulaya na Marekani wanadhani wanaweza kufokea kila taifa Netanyahu na Mawaziri wake...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Salamu zikufikie Mrisho Ngassa, Feitoto hawezi kurushiwa majini kwa sababu michezo hiyo yote kule kwao ndio nyumbani kwao

    Nataka nikuhakikishie Mrisho Ngassa, mchezaji mwenye kipaji aliyeishia kuwa lofa kuwa Feitoto hakuna wa kumrushia majini. Feitoto kule kwao ndiko waliko hao majini, ushindi wa timu zetu unategemea sana wataalamu kutoka hukoooooo. Mayele ni mgeni wa mambo hayo lakini sio feitoto, kama...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mzungu aomba msaada wa kurudi kwao baada ya kufulia akitanua na mdada wa Kenya

    Sasa sijui huyu jamaa ni tapeli au ni mkweli. Anasema alikuja Kenya november mwaka jana kukutana na huyo mdada wa Kenya Eti wamespend nae pesa sana hadi zimekata na mdada nae amemkimbia baada ya kufulia. Anaomba msaada ili aweze kurudi kwao Ireland...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mzungu ataka uraia wa Tanzania, agoma kurudi kwao

    Hakuna binadamu anaependa Vita wala kubebeshwa silaha, huyu kijana toka Uingereza ameamua kuukana Uraia wake na kumuomba Rais Samia ampatie Uraia wa Tanzania. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  19. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Nawaonea sana huruma dada zangu. Kipindi wapo umri 25, uzazi upo rahisi kwao, hawapati wanaume wa kuwaoa. Wakifika 30s wakiwa na vihela ndio wanaolewa

    Habari wadau. Ukweli maisha ya kisasa sio rafiki kabisa kwa dada zangu ama wanawake wote. Wanawake wana biological age tofauti na wanaume. Dada zangu wanamaliza elimu mapema wakiwa ealy 20s tu wameshamaliza masomo. Hapo wapo hot. Sura nzuri. Mayai ya uzazi yapo vizuri ukigusa tu mimba...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel siku zote wanaichukia UNRWA. Haina uhusiano wowote na Hamas, wanaona ni kikwazo kwao kuwafadhili Palestina

    Wanaukumbi. Msikilize Craig Mokhiber, afisa wa zamani wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Mkurugenzi wa NY Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu (OHCHR) na mwanasheria wa Kimataifa wa haki za binadamu. Wafuatao 𝐬𝐞𝐯𝐞𝐧 𝐜𝐨𝐮𝐧𝐭𝐫𝐢𝐞𝐬 wamesitisha ufadhili wa Unrwa kulingana na madai ya...
Back
Top Bottom