Klabu ya Singida Fontaine Gate imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kiungo wake Bruno Gomes Barroso raia wa Brazil

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,747
Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii Bruno amesema kumekuwa na uvunjaji wa mkataba kwa upande mmoja kutoka kwa klabu hali inayopelekea uhusiano wa nyota huyo na wakulima hao wa Alizeti kumalizika.

“Uamuzi huu haukuwa rahisi, lakini ulifanyika kwa nia ya kuhakikisha tunaweza kuendelea mbele kwa njia ambayo ni chanya na yenye ujenzi kwa wote.”— Bruno Gomes

“Ingawa mkataba wetu umefikia kikomo, jua kwamba upendo na heshima niliyo nayo kwenu itabaki milele. Kamwe sitasahau athari mliyonayo kwangu kama mchezaji na kama mtu.”—Bruno
1709573118979.jpg
 
Hii Singida itashuka daraja, sijui walitofautiana nini hao Fountain gate na Papaa Madelu?.
Wana mechi tano hawajafunga hata moja Hawa wasipojiangalia wanatumbukia kwenye tope la kushuka DARAJA.
 
Back
Top Bottom