kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. Tukomeshe kwanza matusi kwenye Jamii naamini hatutokuwa na Vijana wa ovyo au wazazi wa ovyo

    Hongera sana sana wachaga..matusi mmekomesha watu wamekaa mkao Kilimanjaro. Hii ingetakiwa iwe kila mkoa ingependeza sana.
  2. K

    Ushauri: Tufundishe Kiswahili na English kuanzia darasa la kwanza kwa manufaa ya taifa

    Kiswahili kinakuwa sana na Tanzania tunapata heshima sana kwa lugha yetu hii. Hii naina maana tusifundishe watoto wetu kiingereza-English kuanzia darasa la kwanza. Inasikitisha sana viongozi wetu wana aminisha kwamba hakuna umuhimu wa kujua kufundisha English kwa elimu ya msingi wakati watoto...
  3. Kabudi: Tanzania imeweka historia, ndio nchi ya kwanza Afrika kusaini mkataba wa hisa isiyofifishwa

    Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  4. Mara ya kwanza kumjua mtu aliyejiua kwa sababu ya Mapenzi

    Hii tukio nimelikumbuka baada ya kutumiwa picha yangu ya zamani na mmoja wa watu tuliokuwa tukiishi mtaa mmoja. Nakumbuka nikiwa kidato cha tatu; asubuhi moja ya Februari 14, majira ya saa nne asubuhi, kilio kilisikika kutoka katika nyumba moja. Ilikuwa sauti ya kilio kikubwa kutoka kwa mama...
  5. Mama yangu kwanza

    Mama ndiye mwanamke wa kwanza kabisa anayekutana na mtoto wake tangu kuzaliwa, na hivyo kuwa na uhusiano wa kipekee na mtoto huyo. Mwanamke huyu anamlea mtoto wake kwa miaka kadhaa, akimpatia upendo, ulinzi, na kumwezesha kukua na kuwa mtu mzima. Kuna dhana potofu kwamba mke ndiye mwanamke...
  6. Nabi: Bao la kwanza la Simba sio halali

    Kocha Mkuu wa Yanga, Nasrdinne Nabi akihojiwa na waandishi wa habari baada ya mchezo wa leo amesema; bao la kwanza walilofunga Simba halikuwa halali na hivyo likawatoa mchezoni hali iliyopelekea timu yake kupoteza mchezo huo. "Kwa waliotazama mechi vizuri hasa waliopo nyumbani watakubaliana na...
  7. Setilaiti ya kwanza ya Kenya Taifa-1 yarushwa angani baada ya majaribio matatu

    Taifa-1, setilaiti ya kwanza ya Kenya ya kufuatilia dunia, imerushwa angani kwa roketi ya SpaceX Falcon 9 kutoka kituo cha Anga cha Vandenberg huko California, Marekani. Space-X ambayo makao yake makuu ni nchini Marekani, na hutengeneza na kurusha roketi za kisasa zaidi kwenye anga za juu zaidi...
  8. Chanzo cha uvunjifu wa maadili - Sehemu ya kwanza

    Leo Ponografia inazidi kubadilika. Profesa Gail Dines anaandika hivi: “Leo, picha zinazidi kuwa mbaya hivi kwamba ponografia iliyoonwa kuwa chafu sana imekuwa ya kawaida.” Wewe una maoni gani? Je, ni sawa kutazama ponografia, ni hatari, au huna msimamo wowote? Ni nini matokeo ya kutazama...
  9. Upekee wa bajeti ya kwanza ya serikali ya rais Samia mwaka 2021/2022 iliyokaguliwa na CAG

    Vitu vichache vya kipekee vinajionyesha katika bajeti ya Tanzania iliyofanyiwa ukaguzi na CAG. Kwa mfano, kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kwenye miaka ya hivi karibuni, mapato yaliyopatikana yalizidi makadirio ya bajeti. Kwenye vitabu vyake, CAG ameonesha kwamba ingawa serikali...
  10. Hivi ndo ilivyokuwa kwa mara ya kwanza nacheza GTA 5 kwenye PS5

    Hii video inaonyesha jinsi nilivyocheza mission za kwanza ambazo ni Prologue, Franklin and Lamar, Repossession Complicatio, Stolen Boat and Father Son ila mission ya stolen boat ndo ambayo imenitesa zaidi.
  11. Shairi: Mgeni siku ya kwanza

    1. Mgeni siku ya kwanza, mpe mchele na panza, mtilie kifuuni, mkaribishe mgeni. 2. Mgeni siku ya pili, Mpe maziwa na samli, Mahaba yakizidia, Mzidishie mgeni. 3. Mgeni siku ya tatu, Nyumbani hamna kitu, Mna vibaba vitatu, Pika ule na mgeni. 4. Mgeni siku ya nne, Mpe jembe akalime, Akirudi...
  12. Nilivyonusurika kutapeliwa milioni yangu ya kwanza kuishika hapa duniani

    Habari Hii ni pesa yangu ya mara ya kwanza kuimiliki nikiwa under 18 sikuipata kwa mkupuo hapana nilidunduliza kidogo kidogo kutokana na kibarua nilicho tafutiwa na mzee wangu Huyo tapeli tulikua tunawajibika wote katika kibarua hicho pia alikua na urafiki na mzee wangu wakikutana wanapiga...
  13. Uzalishaji wa chuma unatakiwa kuwa kipaumbele cha kwanza nchi hii

    Duniani hakuna nchi kubwa iliyopuuza uzalishaji wa chuma na ikaendelea. Nchi karibu zote za kiafrika zipo hohehahe sababu mojawapo ni kupuuza uzalishaji wa chuma. Kwa sasa(Pamoja na kusema tupo information age) chuma ndicho engine ya uchumi wa nchi yoyote ile. Makaburu wa South Africa...
  14. B

    23% tu ya wanafunzi ndiyo wanamudu lugha ya kiingereza kidato cha kwanza sekondari

    Mwanza, Tanzania Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Elimu - wizara ya TAMISEMI Dr. Charles Enock Msonde na Dr. Lyabwene Mtahabwa - kamnishna wa elimu kutoka wizara ya elimu wahimiza waalimu wa darasa la kwanza na darasa la tatu shule ya msingi wawe mahiri ktk masomo yao huku vigezo vya lazima...
  15. Jinsi ya kumvutia Mwanamke unapokutana naye mara ya kwanza (First Date)

    Wanawake wanachukua muda kupenda. Hivyo ni muhimu kwa kila muda unaopata pamoja naye uongeze mvuto wake kwako. Aone kwamba we ndo ‘wa kipekee’. Aone kwamba kwenye maisha yake yanahitaji awe na mwanaume kama wewe. Sasa unapokutana naye, mpatie muda mzuri mfanye ajisikie furaha. Mfanye aone...
  16. Kwa mara ya kwanza Watoto Wenye Vichwa vikubwa wafanyiwa upasuaji Tabora

    Historia imeandikwa mkoani Tabora na mikoa jirani ambapo kwa mara ya kwanza watoto wawili wenye vichwa vikubwa wamefanyiwa upasuaji kupitia kambi maalum ya matibabu ya kibigwa na bobezi inayoendesha na Madaktari bingwa, Wauguzi, Mtaalam wa usingizi kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) kwa...
  17. Vitu Vya Kuepuka Mnapotoka Na Mwanamke Mara Ya Kwanza (First Date)

    Maana ya date na mwanamke ni kukutana naye ili kutengeneza mazingira rahisi ya kufanya naye mapenzi, na mkiendana kuwa wapenzi. Ila ukiharibu unapokutana na mwanamke, maana yake unakosa penzi na nafasi ya kufanya mapenzi. Hivyo ni muhimu kuepuka haya ili kuongeza nafasi yako ya kupata penzi...
  18. Teknolojia ya Akili Bandia yaanza kumtisha Elon Musk, yeye na watafiti wengine 1000 wataka isimamishwe kwa muda

    Zaidi ya viongozi na watafiti 1,000 wa teknolojia, akiwemo Elon Musk, wamezitaka maabara za ujasusi za bandia kusitisha maendeleo ya mifumo ya hali ya juu zaidi, na kuonya kwamba zana za AI zinaleta hatari kubwa kwa jamii na ubinadamu. Barua hiyo ya wazi, iliyotolewa na Taasisi isiyo ya Faida...
  19. D

    Siku ya kwanza huyu mtangazaji nilihisi mwanaume

  20. Kabla ya kuvuja TTCL, Serikali ifanye haya kwanza...

    Kabla ya kuvunja TTCL serikali ingefanya haya kwanza. Kuhakikisha zoezi la kampuni zote za simu zinauza hisa Kwa wananchi kama ambavyo sheria inataka na iwapo wananchi wakishindwa kununua hisa hizo basi serikali inunue hisa hizo Kwa niaba ya wananchi...kama ambavyo serikali ina hisa NMB, puma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…