kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ili tuendelee, tunachotakiwa kubadili ni mindset ya watu wetu kwanza

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi. Hakika, katika safari yangu hapa duniani, nimekua najiuliza maswali mengi sana ili kupata utambuzi wa identity yetu sisi watu weusi na kwanini tuko katika hali hizi zetu duni...
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Rais Samia kamgusa Mzee Jakaya Kikwete?

    Kurejeshwa Makalla ndani ya mfumo mwaka 2021 na kuwa RC Dar es Salaam tukubali ama tukatae ipo nguvu ya ushawishi wa JK ilitumika kumshawishi Rais Samia. Ieleweke, Makalla ni swahiba na mwandani lialia wa Jakaya Kikwete na duru zilitabanaisha baada ya JPM kumfuta kazi Makalla kipindi kile mwana...
  3. MTINGIJOLI

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia Zanzibar

    Wakuu nimepata ka-trip kuelekea Zanzibar, katika kutembea kwang kote, sijawahi fika Zanzibar, hii ni mara ya kwanza, sasa naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia (pasiwe gharama sana) sehemu za kwenda kupata kilaji na ku enjoy na totoz, kwa anayefahamu please ningeomba ange-share hapa nipate...
  4. Lumbi9

    JamiiForums Tanzania SoC03 Akiba ni kuweka kwanza inayobaki ndio unatumia na sio kutumia inayobaki ndio uweke

    Hii wala haihitaji aya nyingi ili ieleweke, ni maneno machache ya kutufanya tubadili mindset zetu kwenye kuweka akiba. Unapata hela unataka uitumie umalize shida zako ikibaki elfu tano ndio ukaweke kwenye simu, hapo ni marktime tu unapiga, akiba inatakiwa iwe ya kwanza unapopata hela halafu...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu yenye machozi ya raha: Mara yangu ya kwanza kupata penzi la mwanamke wa Kiyao toka Tunduru

    Hakika duniani kuna mambo matamu yenye, raha na ladha, ilikuwa mwaka 2008 pisi moja Kali sana akiuza duka la nduguye baada ya kupita geti kuu la shule ya msingi tandika ukitokea stendi. Hii pisi ilikuwa kali sana yenye macho matamu yenye asili ya aibu. Enzi hizo napiga kazi za ajira salalary...
  6. Atalanta

    JamiiForums Tanzania Sitosahau mara yangu ya kwanza kuingia Barbershop

    Katika maisha kila mtu anakuwa na matukio ambayo siyo rahisi kuyasahau hata akumbwe na changamoto ya namna gani. Leo na mimi nimeamua ku share na nyinyi Wana JF tukio hili ambalo sio la kutisha Bali Ni la kawaida tu Ila naimani linafunzo ndani yake, moja kwa moja tuanze Sasa.. Wakati...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanaoshauri vijana wajitolee ili wapewe kipaumbele kwenye ajira, onyesheni mfano wa ninyi kujitolea kwanza!

    Kuna wabunge wanatoa mawazo ya hila hadi wanakera!! Ni unafiki mkubwa sana!! Lengo lao ni kutaka kuwapitisha watu wao kwenye ajira ya utumishi wa umma kwa mlango wa nyuma wa "kujitolea". Hii itatesa sana wale watakaoingia kichwa kichwa kujitolea wakati wako nje ya kundi hili la wateule...
  8. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe, zuia mahindi kutoka nje kwanza nchi ijitosheleze

    Nimeona baadhi ya maeneo mahindi yameanza kuvunwa hasa mkoa wa Rukwa na nimeona malori kutoka Kenya na wanunuzi karibia wote wanapeleka shehena ya mahindi Zambia na Congo... Hatukatai watu kuuza nje lakini kwa kuwa maeneo mengi ya nchi hawakulima mahindi ya kutosha na mikoa mingine kama...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu unaopigiwa debe wa kujitolea kwanza ili upewe kipaumbele kwenye kuajiriwa ni unyanyasaji

    Ukiweka sharti la kujitolea ili mtu apewe ajira maana yake ni kwamba kila mwajiriwa mtarajiwa atataka kujitolea! SWALI: Je waajiriwa wote wanaweza kupata fursa ya kujitolea? Jibu la dhati ni HAPANA. Sasa hivi kuna vijana takriban 600,000 wanasaka ajira. Je tuna uwezo wa kuwapa wote hawa fursa ya...
  10. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo anasemekana kuwa 'feminist' wa kwanza

    Kwenye maandiko ya zamani sana ya kiebrania, kuna hadithi ya mwanamke ambae kwa sasa ndiyo amekuwa alama ya feminism na haki ya 50/50 kwa wanawake. Hadithi inaenda hivi. Kabla ya Eva kutolewa kwenye ubavu wa Adam, Mungu alimuumba mwanamke mwingine sio kutoka kwenye ubavu wa Adam, bali kutoka...
  11. Dcxkobe

    JamiiForums Tanzania Nimenunua friji kwa mara ya kwanza

    Nimenunua friji sijui matumizi yavi namba vyake viko 1 adi 7 Sasa cjajua 1 ndio inakua na Kasi au 7
  12. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

    Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2. Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kina Dada mnajua madhara na matokeo ya kupata watoto katika umri mkubwa kwa mara ya kwanza?

    Kati ya wadada 10 wenye umri zaidi ya miaka 35 wanaotafuta wachumba basi wadada 7 wanatoka mikoa ya kanda ya kaskazini. Kikubwa zaidi wadada wa ukanda huu mpaka miaka 38 anakuwa hajazaa.Tofauti na nyanda nyingine ndani ya Tanzania pamoja na kuwa hajaolewa na anatafuta mchumba lakini ameshawahi...
  14. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kuwaza kuua mtu? Hii ndiyo mara yangu ya kwanza kupata wazo la kuua mtu

    Waovu hawazaliwi wakiwa hivyo bali ni matokeo ya uminywaji wa haki na Uonevu katika Jamii. Hata magaidi au wanaotekeleza mauaji ya kinyama, lazima Kuna sababu nyuma yao. Miaka ya nyuma nilienda shuleni kuchukua cheti Cha O-level. Nilfunga bahasha kwenye baiskeli nikawa nikiendesha speed. Kuna...
  15. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki, mpe Rais Samia maua yake kwanza

    Nimesikiliza wimbo wa Roma Mkatoliki, napenda ila Chorus hasa kwa kuwa ameimba ABIUD ambaye wengi wanapenda anavyoimba mitaani. Roma amefanya vyema kumopa nafasi kuimba Chorus japo kweli Chorus na anachoimba Roma havifanani. Katika wimbo huu Roma anaomba kupewa maua yake ayanuse kabla hajafa...
  16. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Fanya malengo yako yawe ya kwanza sio mwanamke

    Ratiba zako, pesa zako na mawazo yako mengi yaelekee kwenye malengo. Alafu utengeneze muda kwa ajili ya mwanamke na familia pia. Na sio kinyume. Yaani ukaanza na mwanamke alafu ndo ufate malengo yako, hapana. Achana na wazo mwanamke ndo kila kitu kwako. Achana na wazo mwanamke ndo...
  17. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Tukomeshe kwanza matusi kwenye Jamii naamini hatutokuwa na Vijana wa ovyo au wazazi wa ovyo

    Hongera sana sana wachaga..matusi mmekomesha watu wamekaa mkao Kilimanjaro. Hii ingetakiwa iwe kila mkoa ingependeza sana.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tufundishe Kiswahili na English kuanzia darasa la kwanza kwa manufaa ya taifa

    Kiswahili kinakuwa sana na Tanzania tunapata heshima sana kwa lugha yetu hii. Hii naina maana tusifundishe watoto wetu kiingereza-English kuanzia darasa la kwanza. Inasikitisha sana viongozi wetu wana aminisha kwamba hakuna umuhimu wa kujua kufundisha English kwa elimu ya msingi wakati watoto...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kabudi: Tanzania imeweka historia, ndio nchi ya kwanza Afrika kusaini mkataba wa hisa isiyofifishwa

    Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  20. willpower

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kumjua mtu aliyejiua kwa sababu ya Mapenzi

    Hii tukio nimelikumbuka baada ya kutumiwa picha yangu ya zamani na mmoja wa watu tuliokuwa tukiishi mtaa mmoja. Nakumbuka nikiwa kidato cha tatu; asubuhi moja ya Februari 14, majira ya saa nne asubuhi, kilio kilisikika kutoka katika nyumba moja. Ilikuwa sauti ya kilio kikubwa kutoka kwa mama...
Back
Top Bottom