Jinsi ya kumvutia Mwanamke unapokutana naye mara ya kwanza (First Date)

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
382
661
Wanawake wanachukua muda kupenda.

Hivyo ni muhimu kwa kila muda unaopata pamoja naye uongeze mvuto wake kwako. Aone kwamba we ndo ‘wa kipekee’. Aone kwamba kwenye maisha yake yanahitaji awe na mwanaume kama wewe.

Sasa unapokutana naye, mpatie muda mzuri mfanye ajisikie furaha. Mfanye aone hajapata muda wa kutosha kuwa nawe.

Atakua na hamu ya kukuona tena, hivyo utakutana naye kila utakapo.
Ila kama hamjafurahia, lisaa linaweza kuonekana kama mwezi.

Kama mmefurahi pamoja lisaa linaonekana kama dakika 5.

Muulize maswali sahihi
Ni kweli wanawake wanapenda kuulizwa maswali na kujiongelea.
Lakini kama maswali si mazuri na ni mengi utaishia kumboa. Itaonekana kama mpo kwenye mahojiano. Na mwanamke atajisikia kufungwa badala ya kujisikia usalama na amani pamoja nawe.

Epuka kuuliza maswali juu ya maswali.
Uliza swali kisha muongelee icho ulichouliza na wewe uongee kidogo kuhusu upande wako. Jaribu kuwa na mazungumzo naye. Mazungumzo yana, maswali, stori, maswali kwa kuotea kitu kuhusu mwenzako.

Maswali sahihi ni yale yanayokusaidia kujuana zaidi. Kujuana, vitu vinavyokusukuma kimaisha, motisha zenu, vitu mnavyopenda, vitu mnavyoogopa na malengo yenu.

Jiachie
Mwanamke anaongozwa na wewe.
Atajiachia kwako kadri/ kwa kiasi ulichojiachia wewe. Ukiwa siriaz sana naye atakua siriaz sana.

Msikilize kwa umakini.
Ukisha muuliza swali, msikilize.
Ukisiliza utapata maswali/ utagundua kitu kwenye jibu lake. Utapata kitu kingine cha kuongea, na hamtaishiwa stori. Usifikirie kuhusu swali linalofuata.
We kaa sikiliza maswali yanakuja yenyewe.

Mfano, anajibu swali la nini kimemvutia kuwa msusi, akajibu “shuleni kulikua na marafiki zangu wanapenda kufanya sanaa lakini walikua hawana hela ya kusuka. Asa siku moja nkawaambia wakae niwasuke, walikataa mwanzoni lakini baadae wakakubali. Nliwasuka kama nlivofundishwa na bibi. walipendezea kwenye maonesho”

Mpaka hapo kuna vitu kadhaa unaweza muuliza, alianza lini kusuka, bibi yako alikufundisha msuko gani, inaonesha umemmisi bibi yako, (unaweza kumtania) hao rafiki zako nao walikosa mkono wa kuwasuka kweli/ shule yenu ilikua na uhaba wa wasusi kweli kweli, ayo maonesho ulifurahia kiasi gani, unakumbuka nini kuhusu hayo maonesho n.k.
Yote hayo ukisikiliza kwa umakini yanakua rahisi. Ila usikae kwenye mada moja kwa muda mrefu.
.
Kuwa na stori zako
Unaweza sema huna stori. Au stori zako sio nzuri, hazichekeshi. Lakini usipate shida, lengo la stori sio kuchekesha.
Moja ya lengo la stori ni kuongoza mada. Unaweza toa stori yako baada au kabla ya kuuliza swali.

Mfano, unamuuliza nini kimekuvutia kuwa msusi, lakini kabla hujamwachia ajibu unaweza kumpa stori yako nini kilikuvutia kuwa fundi au kilichokusababisha kuwa fundi.

Ila stori yako isiwe ya huzuni sana. Na kama ina huzuni tafuta njia ya kuelezea kuonesha kwamba uliishinda hiyo huzuni. Kwake atakuona mshindi.
.
Usiope kumgusa
Kama unaona unaogopa kumgusa mwanamke tafuta sababu.
Inaweza kuwa alama aliyonayo mkononi, ishike hiyo alama (mkono) muulize kuhusu hiyo alama.
Pia angalia utayari wake ukimgusa.
Kama anaonesha hataki kuguswa mwache kwa muda huo, mguse tena baadae.

Kama unaona anakubali umguse endelea kumgusa na kadri muda unavozidi kwenda mguse sehemu zinazosisimua.

Ila sio umshike mwanamke moja kwa moja, mguse/ mshike mwachie, baada ya muda mguse tena mwachie ivo ivo mpaka naye akuguse pia.
Ukiona mwanamke anakugusa/ anakushika ujue naye amevutiwa zaidi.

Pia, ukiona mnaenda vizuri mbusu mdomoni. Ila mbusu baada ya kuwa mmeshikana naye unaona yupo tayari kushikana zaidi.

Ni vizuri ukambusu kati kati ya muda wetu (sio lazima mwishoni), alafu mnaendelea na mengine, baadaey kidogo unambusu tena hadi anakua tayari kuondoka nawe.
.
Panga vizuri
Panga muda na sehemu nzuri.
Sehemu na muda ambao unachochea mapenzi. Hasa jioni. Panga sehemu ambayo hautapata shida kurudi naye kwako/ lodge.

Kama ukimuongoza vizuri ni rahisi naye kuja hadi kwako na mkafanya mapenzi.
Ila kama haitawezekana, usilazimishe.

Lakini usijaribu kuigiza kwa lolote. Usimdanganye. Kama hutaki kumpa jibu la kitu fulani badili mada au mwambie “bado sijisikii amani kukuambia kuhusu hilo”. Na usikubali mwanamke akuendeshe, atakujaribu hapa na pale kukupima ujasiri wako lakini usiyumbishwe.

Pia usimlazimishe kwa lolote. Akikataa kitu saivi mwache endelea kufurahi naye alafu baadae tena mwambie, yani unamlainisha.

Nikutakie Weekend Njema, Na Maandalizi Mema Ya Wiki Ijayo.
 
IMG-20230207-WA0001.jpg
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Wanawake wanachukua muda kupenda.
Hivyo ni muhimu kwa kila muda unaopata pamoja naye uongeze mvuto wake kwako. Aone kwamba we ndo ‘wa kipekee’. Aone kwamba kwenye maisha yake yanahitaji awe na mwanaume kama wewe.
Sasa unapokutana naye, mpatie muda mzuri mfanye ajisikie furaha.
Mfanye aone hajapata muda wa kutosha kuwa nawe.
Atakua na hamu ya kukuona tena, hivyo utakutana naye kila utakapo.
Ila kama hamjafurahia, lisaa linaweza kuonekana kama mwezi.
Kama mmefurahi pamoja lisaa linaonekana kama dakika 5.
.
Muulize maswali sahihi.
Ni kweli wanawake wanapenda kuulizwa maswali na kujiongelea.
Lakini kama maswali si mazuri na ni mengi utaishia kumboa. Itaonekana kama mpo kwenye mahojiano. Na mwanamke atajisikia kufungwa badala ya kujisikia usalama na amani pamoja nawe.
Epuka kuuliza maswali juu ya maswali.
Uliza swali kisha muongelee icho ulichouliza na wewe uongee kidogo kuhusu upande wako.
Jaribu kuwa na mazungumzo naye.
Mazungumzo yana, maswali, stori, maswali kwa kuotea kitu kuhusu mwenzako.
Maswali sahihi ni yale yanayokusaidia kujuana zaidi.
Kujuana, vitu vinavyokusukuma kimaisha, motisha zenu, vitu mnavyopenda, vitu mnavyoogopa na malengo yenu.
.
Jiachie.
Mwanamke anaongozwa na wewe.
Atajiachia kwako kadri/ kwa kiasi ulichojiachia wewe.
Ukiwa siriaz sana naye atakua siriaz sana.
.
Msikilize kwa umakini.
Ukisha muuliza swali, msikilize.
Ukisiliza utapata maswali/ utagundua kitu kwenye jibu lake.
Utapata kitu kingine cha kuongea, na hamtaishiwa stori.
Usifikirie kuhusu swali linalofuata.
We kaa sikiliza maswali yanakuja yenyewe.

Mfano, anajibu swali la nini kimemvutia kuwa msusi, akajibu “shuleni kulikua na marafiki zangu wanapenda kufanya sanaa lakini walikua hawana hela ya kusuka. Asa siku moja nkawaambia wakae niwasuke, walikataa mwanzoni lakini baadae wakakubali. Nliwasuka kama nlivofundishwa na bibi … walipendezea kwenye maonesho”

Mpaka hapo kuna vitu kadhaa unaweza muuliza, alianza lini kusuka, bibi yako alikufundisha msuko gani, inaonesha umemmisi bibi yako, (unaweza kumtania) hao rafiki zako nao walikosa mkono wa kuwasuka kweli/ shule yenu ilikua na uhaba wa wasusi kweli kweli, ayo maonesho ulifurahia kiasi gani, unakumbuka nini kuhusu hayo maonesho n.k.
Yote hayo ukisikiliza kwa umakini yanakua rahisi.
Ila usikae kwenye mada moja kwa muda mrefu.
.
Kuwa na stori zako.
Unaweza sema huna stori.
Au stori zako sio nzuri, hazichekeshi. Lakini usipate shida, lengo la stori sio kuchekesha.
Moja ya lengo la stori ni kuongoza mada.
Unaweza toa stori yako baada au kabla ya kuuliza swali.
Mfano, unamuuliza nini kimekuvutia kuwa msusi, lakini kabla hujamwachia ajibu unaweza kumpa stori yako nini kilikuvutia kuwa fundi au kilichokusababisha kuwa fundi.
Ila stori yako isiwe ya huzuni sana. Na kama ina huzuni tafuta njia ya kuelezea kuonesha kwamba uliishinda hiyo huzuni.
Kwake atakuona mshindi.
.
Usiope kumgusa.

Panga vizuri.

Hela hela hela!
Hii ndio inaongeza mvuto kwa wanawake, hizo nyingine ni stori tu!
 
Jinsi sahihi ya kumvutia ni PESA, MONEY, SHEKELI, RUPEE, DOLLAR, SHILINGI, FEDHA, MKWANJA, MAWE.

#YNWA
 
Madini tunaomba na ya upande mwingine..
 
Sasa unasura kama hamorapa huna hela,utamvutiaje??we mwenyewe sema jamaa angu..haya mambo hayanaga ufundi aseee
 
Back
Top Bottom