kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Derby ya Simba vs Yanga itakosa mvuto na mapato kwa sababu ya ulofa wa Simba

    Kila shabiki na mwanachama pamoja na viongozi wa Simba hawana tena hamu na mpira, mara ya kwanza akina Jaribu Tena walikuwa wakidanganya watu kuwa Simba ni dude kubwa, Simba ndio timu bora Tanzania, wengi wakaingia mtumbwi wa kibwengo, mara Yanga inabebwa, Yanga mbovu, cjui nini sasa leo ukweli...
  2. JamiiForums Tanzania Breakup ya kwanza ilikuaje?

    Mwaka jana mwishoni niliexperience hio kitu, asikwambie mtu. Acheni mapenzi yawe kitu chenye nguvu kubwa duniani. Mimi nimekua nikiona watu wanalizwa na mapenzi, ila niliwachukulia wanyonge wa hisia na kuwaona wajinga kulilia mtu mwingine. Nilikua nasema huku nikijihisi ushupavu kua kamwe...
  3. JamiiForums Tanzania Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

    Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..? Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japan. Funguka Mkuu..!
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaro unaharibiwa sababu ya kupitisha malori ya mchanga, anayetuhumiwa na uharibufu huu anajulikana, achukuliwe hatua

    Nafikisha lalamiko langu juu ya mkazi huyu wa Mbezi Beach kwa Dokta Hiza. Huyu bwana anafanya ujenzi wa nyumba yake, na kuacha malori yanayopeleka mchanga na vifaa vya ujenzi yapite hapa kwenye mtaro wakati mtaro huo hauwezi kustahimili uzito huo na kupelekea kuanza kumegua mtaro huo. Njia...
  5. JamiiForums Tanzania Nini kesho ya mbuga ya Selous?

    'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?' Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wazungu wapewe maua yao na si lawama, Utumwa ulikuwepo Dunia nzima, Wao ndio walikuwa wa kwanza kuanzisha harakati za kuufuta

    Tunaanza na hapa kwetu Afrika, utumwa ulikuwepo hata kabla ya waarabu na wazungu kuja, hapo badae soko la watumwa wa kiafrika lilikuwa kubwa na kutufanya sisi kwa sisi waafrika tuanze kuuzana kwa wageni, hivyo nasi tulishiriki kwa kiasi kikubwa sana kwenye utumwa Warabu walikuwa na watumwa na...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tuliozaliwa Dar na kukulia Dar, mara ya kwanza kwenda kijijini ilikuaje?

    Wakuu, Tumesikia na tunaendelea kusikia story nyingi vituko na mikasa inayosimuliwa na watu wanaokuwa wamefika Dar kwa mara ya kwanza, jinsi jiji lilivyowakaribisha na kupata ile maana halisi ya msemo "Mjini shule". Sasa tusikie kwa upande wa Dar na experience zao walivyofika kijijini kwa mara...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kuja mjini (Dar) jiji lilikukaribisha kwa style gani ukikumbuka kwa jinsi ulivyokuwa mshamba unakufa mbavu?

    Salaam Wakuu, natumai kaubaridi mwororo kawapapasa vyema huko mliko, twende kwenye mada. Sehemu yoyote mjini inachukuliwa kama sehemu ya kutolea ushamba, kutokana na kupiga hatua kwenye mambo mengi na muingiliano mkubwa na watu kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni. Naona ndio hata mababu zetu...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza naskia chuo kinachoitwa FETA

    Hivi hiki chuo kinadahili watu wa aina gani na waliofaulu vipi? Au div four wote wanaishi huko?
  10. JamiiForums Tanzania Iran imesema Kipaumbele cha kwanza ni kuiteka Jerusalem

    🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Jeshi la Iran limesema kipaumbele cha kwanza wakati likitoa mkong'oto kwa Israel ni kuteka mji wa Jerusalem kutoka kwa Magaidi ya kiyahudi (LGBT) 🇮🇷 Iran says liberating Jerusalem is our first issue in the Islamic Republic.
  11. JamiiForums Tanzania Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

    Aliyepandikizwa figo ya nguruwe aruhusiwa Taarifa ya hospitali imesema mtu huyo alikuwa akipambana na ugonjwa wa figo na alihitaji kupandikizwa kiungo hicho, ili kuokoa maisha yake. Massachusetts. Richard Slayman (62) kutoka Massachusetts aliyepandikizwa figo iliyobadilishwa vinasaba kutoka...
  12. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako akikukosea jitahidi usiwe wa kwanza kumtafuta ili kulinda heshima yako

    Wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi suala la kugombana ni kitu cha kawaida na mkiona mna zaidi ta miaka miwili au mitatu hamjawahi hata kugombana basi ujue kuna tatizo katika mahusiano yenu. Inawezekana kwakua unampenda sana mwenzako inafikia wakati hata mkigombana kwa kosa...
  13. JamiiForums Tanzania TRC: Seti ya Kwanza ya Treni ya Kisasa ya EMU, Vichwa Vitano vya Umeme na Mabehewa Matatu ya Abiria imewasili

    TAARIFA KWA UMMA KUWASILI KWA SETI YA KWANZA YA TRENI YA KISASA EMU Dar es Salaam, Tarehe 03 Aprili 2024 Shirika la Reli Tanzania TRC linautaarifu umma kuwa Seti ya kwanza ya treni ya kisasa ya EMU, vichwa vitano vya umeme na mabehewa matatu ya abiria yamewasili katika bandari ya Dar es Salaam...
  14. JamiiForums Tanzania The Bee Gees: As long as you're having fun, that's the key, Sehemu ya Kwanza

    Leo kwa heshima kubwa naomba nikupe simulizi ya ndugu watatu kutoka Uingereza ambao walitupatia vionjo matata sana katika nyimbo zao, ni kaka watatu ambao ukiwatazama utaona ni kama hawafahamu chochote katika muziki ila wakianza kurekebisha sauti na kutoa mashairi yao kwa hakika utabakia mdomo...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali isiyotimiza wajibu wake wa Kikatiba tunaiwajibishaje? Hapo ni baada ya kuiba kura kama dhambi ya kuu ya kwanza

    Kila kinachofanywa na serikali yetu pendwa ni utekelezaji yakinifu wa ilani ya chama kilichopo madarakani. Wananchi ndiyo wanaoiweka serikali madarakani kwa kuchagua chama kitakachoiendesha. Lakini haki hiyo imepokwa kikatiba kwa sababu Katiba ya sasa inaelezea uwezo na utaratibu wa wananchi...
  16. JamiiForums Tanzania Simba ndiyo timu pekee iliyofungwa kwenye round ya kwanza ya robo fainali CAFCL

    Wenzao wote wamekazana wametoa sare. Ni "Nyuma Halali" pekee ndiyo waliofungwa. Hii ni aibu. Katika timu nane ufungwe we mwenyewe tu! Una gundu gani?
  17. JamiiForums Tanzania Round ya Kwanza Robo Fainali ya CAF Championship

    CAF Championship mwaka huu inaonekana kuwa ngumu sana. Mpaka sasa bado mchezo baina ya ES Tunis na ASEC Mimosas bado unaendelea na bado hawajafungana; nitakuja kuhariri post hii baada ya mchezo huo kuisha. Katika timu sita ambazo zimeshamaliza round ya kwanza ya robo fainali ni timu moja tu...
  18. JamiiForums Tanzania Mchumba wangu kaniambia "Mimi ni mzuri bwana nitaolewa na mwanaume wowote yule tena kwa mahari juu"

    Huyu mwanamke sasa anakoelekea nampiga chini kimya kimya na kumpotezea mazima japo nimetoa mahari kubwa aisee kwanza kwenye uchumba ndugu zake walikuwa waongo waongo sana just imagine mpaka leo sijawahi kuona call yoyote ile kutoka kwa mzazi wake wala ndugu yake yoyote yule je likitokea tatizo...
  19. JamiiForums Tanzania Elimu ya biashara, uchumi na ujasiliamali ingeanza kufundishwa darasa la kwanza mpaka Phd

    Na sio hii kitu elimu ya dini, yaaaani serikali inafikia hatua kutilia mkazo tahahusi yza kidini wakati masuala ya umuhimu kama hapo juuu mtuu unakutana nayo secondary taifa tungekuwa mbali. Nawasilisha. Habari za jioni from Moshi town
  20. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Sukari wa Zuchu umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube

    Wimbo wa Zuchu Sukari umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube, hii ni historia mpya kwenye ukanda wa Africa. Sukari unakuwa wimbo wa kwanza ulioimbwa na msanii mmoja (Solo artist) Wenye views wengi Africa Mashariki na Kati kwenye mtandao wa YouTube. Na pia anaingia kwenye orodha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…