Waraka wa Kwanza wa Ukoo wa "WANYONGE" Walioko Tanzania

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,598
17,734
1 kwanza kabisa nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano Wa Tanzania.Nipo na Christopher Kweka tunawasalimu.

2 Imekuwa ni siku Nyingi sana Tangu kuonana na nyinyi ukoo wangu nikaona si vyema kwakuwa kuna malalamiko nimesikia kati yenu mkizozana kuhusu elimu ya yule na kisomo cha Huyu,Mara wale waliokuwa na kesi Hawakustahili kushinda,Hiyo inadhihirisha kweli nyinyi ni wanyonge.

3 Ndugu wanyonge, Jina lako halisi mtumwa hili mnyonge umeitwa na mtawala, kabla ya ukoloni mamboleo na mkoloni anatawala, hukufundihswa kujiajiri we ni kazi na mshahara,
Mnyonge hujui akiba maana mwisho wa mwezi una msafara

4 Kabla ya unyonge baba yako alikupa uhuru,Bila ya kumwaga damu wala bila ya kudhuru,Mnyonge ukapata bendera safi,
Demokrasia iko juu ila kikubwa haukuasi,

5 Toka sitini na moja,We ulikuwa ni muoga,
Mnyonge ulishindwa kushindana hata kwa nguvu ya hoja,

6 Sio muhalifu ila ukaogopa hadi ma-soldier,Sitini na nne mkaunganisha nguvu ndo mkawa wamoja,

7 Mnyonge umeanza unyonge toka kitambo,Kipindi ya sera za ujamaa mlizoiga toka ng'ambo,Ya tv iko baba tu, Ukibambwa tu, Una kesi na kichapo juu,

8 Baada ya mshua wako kustaafu,Tukapumua kidogo, Mara akaja bamdgo kutoka kisiwa kidogo,Then sera ikachange sio ujamaa tena ikawa ruksa kumiliki hata tv ya antenna,

9 Ndo kauli ya mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,Wanyonge wapinzani ikawa ruksa hadi bungeni,

2 Then 95 wapinzani kwa kampeni,
Ndipo rasmi mnyonge akawa haogopi hata madeni, na mkakubali kuitwa wananchi na sio wenye nchi,huku wabunge ndio wawakilishi na wala hamkuhoji mbunge kuwa waziri,

2 Yaani mkaruhusu kipa wenu akadakie timu mbili,Yaani mbunge kawa mtetezi wa wanyonge halafu mbunge huyo huyo anateuliwa kujibu hoja za wanyonge

3 Eti swali la mbunge toka kongwe linaenda kujibiwa na waziri ambaye ni mbunge toka songwe,

4 We mnyonge jimbo la waziri nani alichunge au ndo uliompa sindano ukamkataza asidunge,

5 Na mkaruhusu mbunge eti kuwa speaker wa bunge ukawa muhimili na kazi yao sheria wazitunge,

6 Mara ukoo ukaanza kufanya biashara bamdogo ben uso wa mbuzi na wala sio wa masihara,Tra ikaanzishwa ikusanye kodi ichukue,

7 hotuba za beni kila mwisho wa mwezi ili tujue Ukoo unaenda wapi,ukoo una watu wangapi,ukoo una rasilimali nyingi tunakwama wapi,

8 Ghafla tukaanza na sheria ya soko huria mara mnyonge auze naye anunue anapofikiria,

9 Leo hii mnamuuliza mama yenu eti mnyonge nini, Wakati aliyetukuza unyonge wanyonge nyinyi,

10 Kama hamjiiti mashujaa sio unyonge nini matajiri mnakubali kuitwa nchi masikini,

11 We ni mnyonge na kutwa unataka connection picha na video ya utupu, Sawa umekuta bamia ,bilinganya upike supu au,

12 Wanyonge vijiwe vimegeuka magroup..Mnakataa jina wakati maisha yenu ni ya ku-loop

13 Mnyonge kuna muda we ujue unatia hasira,Shida yako unasubiria fanani aiambie hadhira,

14 Una ardhi haupandi mbegu unapanda hasira, we ndo mwajiri wa raisi bado unaulizia ajira

15 Mnyonge eti unafanya ngono zembe una michepuko minne halafu hauna hofu hata chembe,Unafatilia ubuyu nyumbani hawana sembe,Mnasubiria muokote tikiti tu kwenye miembe

3 Kuna wanyonge wana hoja za kibaguzi wanasema hawatapiga kura wala kushiriki uchaguzi,

2 Na mnademka na hotuba kisha muhoji,
Wazito wa kupekuwa mnapigwaje kama wamefoji

3 Mko radhi kuweka bando muende insta na jamiiforum ,ofisi zipo maendeleo hayatafutwi kwenye twitter,

4 Wanyonge sahivi ni time ya kufanya kazi,China wananunua mihogo bhasi na tusiwape nazi,Soko la mahindi ya njano bhasi tusifuge panzi,

5 Mnyonge unahoji haki ya Mtu kuuliza mjomba alipoenda kwa zaidi ya siku Thelathini wakati huo huo umesahau wewe ndio uliwapa watoto jukumu la kuwafatilia Familia yako na ukoo kujua wanafanya kazi gani na wako wapi ili kuhakikisha wako salama

6 usilaumu pale mtu anapokosa imani na wewe kwa sababu Ulimdanganya kabla, Hatakuaminije na wakati wewe kama kaka wa familia hutaki kuomba msamaha kwa makosa ya kudanganya uliyowahi kuyafanya,

7 Baada ya yule kaka Chongo kukataa kufanya kazi na Chama cha Vikoba cha familia mmeanza kumlaumu mdogo wenu paulo kwa sababu mnahisi kachangia kumdhalilisha kaka yenu,Je mmechukua muda kufanya uchunguzi

8 Mnyonge muogope anayeandamana chumbani,sera zake zinatekelezeka akiwa jukwaani,Sawa tunashida so,tukimbie nyumbani,we mnyonge kamwambia beberu haturudi utumwani.

9 huenda kweli anaelimu ndogo au hata alifoji lakini kulikuwa na haja gani ya kumuweka hadharani?

10 msalimie oddo mpe Hongera kwa huduma ya matibabu na bima ila mwambie ,Katika utekelezaji ni mgumu sana

11 mkumbushe mama akemee watu wanamsifia kila mara kwa kujiita ndorobo kupe chawa ,kwa ninavyojua Chawa hawana mutual benefit zaidi ya kukwapua na kumuacha pale tu atakapokuwa anahitaji mshauri wa maendeleo atakosa zaidi watamsifia hata kwa maovu na huenda likawa anguko lake

12 Kwanini sasa hivi, na hakupinga wakati akiwa mwandamizi wa polisi ,Wanyonge msinunue story zake za kilanguzi

13 Sikia Mnyonge kesha we Ibadani kila siku, Masahafu na Biblia vimeshaandika kila kitu,Dhambi ya mgawanyiko itawatoza kama kodi, Mnayemwita Prophets/mchungaji wiki ijayo ameagiza Range..! Maana sadaka za wanyonge hajengei hekalu, Ila mnyonge unahoji eti Mama kwenda kujenga kizimkazi?

14 Maproffesor Me nawauliza,Ajira mpya Vijana ndo vibanda umiza,Maana wanavyeti ila wanataka Tuzo " F", Ndo maana wanabet ila majumbani wasicheze rafu,

15 Uzuri wa Mama ye halimi pia anafyeka kila siku anawashangaza wanaosubiria mikeka. WANYONGE MSHAGEUKA MATEKA mlipambana COVID 19 wasishinde Ile kesi na Mkacheka Halafu, Leo hii mnahoji Sheria Eti Wanyonge nini,Wakati aliyetukuza unyonge, wanyonge nyinyi,Kama mkutaka washinde kesi sio Unyonge ni nini?
 
Mnyonge?? Mkoloni hakuondoka kwa watu kukaa na kulalamika, kuna watu walipambana kupinga udharimu. Chukua hatua muda ni sasa wa kumuondoa huyo anaekufanya mnyonge.
 
Alieelewa atufanulie tafadhali
 
Kweli kabisa nimeipenda hii
Ukisha mjua adui na mbinu zake ni rahisi kupambana nae. Ingawa huyu adui anaewafanya wanyonge keshatumia mbinu ya kuwalaghai na wengi mnaimba nyimbo za sifa lakini tukiwaona hali zenu leo afadhali jana. Mnaishi kwa matumaini ya kudondoshewa mkate kesho.

Vijana sauti zenu ziko kwenye sanduku la kura kama hamuwezi kupaza sauti. Lakini baadhi yenu mmekata tamaa na mmesusa kushiriki ktk chaguzi mkisubiri huyo anaewafanya wanyonge abadili katiba. Mabadiliko yataletwa na ushiriki wenu kivitendo ktk maamuzi.
 
Mkuu uko sahiji kabisa tena sana..
Na ndo maana kwenye (Wanyonge 2:13) ukiisoma tunategemea Eti shida zetu watusemee kima mwabukusi au kina Mbowe sisi tunaumia na machungu ya shida lakini..

Wakati huo huo tunasifia Kuwa shida hizo hazituusu japo moyoni tunaumia tungewaonyesha kwamba sisi sio wanyonge katika maboksi ya kura kwamba sisi ndo waajiri wao (wanyonge 2:14)

Na swala la kususa kushiriki Uchaguzi hilo ni kujinyima haki ya msingi Na vyama vya upinzani kutoshiriki pia wanatumyima haki ya msingi..

Na waraka wa wanyonge haujawaacha salama wanaojiita chawa wao kila kitu ni kusifia (wanyonge 3:11)

Inabidi kama tukitaka maendeleo tujifunge mkanda tuonyeshe kuwa hatujalala na tunataka mabadiliko
 
Back
Top Bottom