kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kitu cha kwanza anachofanya Msambaa baada ya kupata kazi ni kumroga bosi

    1.Ndio kipaumbele cha kwanza cha Msambaa anapopata kazi mpya. 2.Msambaa anapenda gari Aina ya fuso kuliko Kitu chochote Duniani, ukimpa billion 100 na fuso yeye atachukua fuso. 3. Wanawake zao ni pisi sana
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Abiria wanaopanda bodaboda wasio na leseni nao watozwe Faini. Kabla hujapanda boda, uliza leseni kwanza

    ABIRIA WANAOPANDA BODABODA WASIO NA LESENI NAO WATOZWE FAINI. KABLA HUJAPANDA BODABODA, ULIZA LESENI KWANZA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Leseni ni kama kadi tuu. Inaweza kuwa softcopy kwa wenye simu kubwa, au hardcopy kwa wasio na simu. Sio mzigo mkubwa. Haya mambo mtu anajifunza...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti

    Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti. Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari kunyongwa. Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kwenye biashara, mauzo milioni 800

    Asanteni sana wataje wangu kutoka tanzania,Zambia,Rwanda na malawi kwa mwanzo huu wa mauzo mmnipa mwanga wa kufika mbali
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TONE LA MAJI LA KWANZA KILWA LAFUNGULIWA,WAZEE WAOMBA DUA KWA RAIS SAMIA

    Mradi mkubwa wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa katika Kijiji cha Mavuji kilwa Masoko umekamilika na wananchi wameanza kupata huduma ya maji na kuondokana na changamoto ya magonjwa kama kipindupindu ulokua unawakumba mara kwa mara kutokana na adha ya maji. Baada ya kufunguliwa kwa tone la kwanza...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Bentley wamezindua Gari yao ya Kwanza ya Umeme: Torcal Fastback SUV!

    Bentley nao wamejoin EV race, officially wamezindua Bentley Torcal, ambayo ni fastback SUV, na ni Bentley yenye torque kubwa kuwahi tengenezwa. Inakuja na 870 HP na 1,350 Nm za torque, zinazokupa acceleration ya 0-100 km/h chini ya sekunde 3. Namba ova za sports cars, ila hii ni SUV, Ina...
  7. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Wafamasia wafundishwe huduma ya kwanza huko vyuoni.

    Leo ni siku ya wafamasia duniani. Wataalamu hawa wa afya upande wa dawa ni wa muhimu sana. Kwa Tanzania hii ni sehemu muhimu ya huduma ya afya. Mtu akiumwa kwanza kabisa anakimbilia duka la dawa, na wengi wanaponea huko huko. Duku duku langu ni kuwa, hawa wakiwa moja ya watu wa kwanza kwanza...
  8. econonist

    JamiiForums Tanzania Hongera Lissu kwa kuwapasulia mahakama ukweli: kesi ilitakiwa kufutwa siku ya kwanza imeletwa mahakama kuu.

    Hongera sana Mheshimwa Lissu kwa kuipasulia ukweli mahakama kuhusu kusikiliza kesi za kupikwa. Mheshimiwa Lissu kaiambia mahakama ya kwamba kitu ambacho kilitakiwa kiamuliwe ndani ya wiki Moja, imechukua mwaka na nusu kuamua. Lissu ameyasema hayo katika Hali ya kuonesha masikitiko yake kwa...
  9. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Safari ya Misukosuko (2006) – Sehemu ya Kwanza

    Wakuu, leo nimekumbuka tukio la miaka 20 iliyopita. 😂 Nimeona si mbaya nikawasimulia ili tucheke kidogo, tufurahie simulizi, lakini pia tukumbuke kwamba maisha yanaweza kukugeukia kwa sekunde moja tu. Mwaka 2006 nilikuwa nasafiri kwenda mkoani Iringa, kisha niende Njombe kwa ajili ya kufuatilia...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Nigeria wametuheshimisha Afrika. Bilionea wa kwanza mpaka 20 ni ma-nigga weusi... wanapendeza wameng'ara.... hakuna baniani, shombe, mwarabu, nothing

    Rank & NameNetworthMain Sources #1 Aliko Dangote$28.5 BillionCement, Sugar, Oil Refinery #2 Abdulsamad Rabiu$11.2 BillionCement, Sugar #3 Mike Adenuga$6.5 BillionTelecom, Oil #4 Adebayo Ogunlesi$2.5 BillionPrivate Equity #5 Tope Awotona$1.4 BillionSoftware #6 Femi Otedola$1.3...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hebu Kwanza: Hawa Saudi Arabia Vipi?

    Kuna nchi duniani inayowashinda waSaudi katika ununuzi wa silaha za kivita, silaha za kisasa kabisa! Sasa hawa wa Houthi wanapata wapi hata uthubutu tu wa kuzozana na Saudi Arabia kiasi kwamba makombora yanapigwa hadi ndani mwa Riadh, na nusra mengine yaende Mecca! Kwa nini Saudi walielie na...
  12. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CDF na IGP walimwambia DCI Ramadhani Kingai, "nenda kamalizane na Tundu Lissu mwenyewe kwanza wewe ndiye uliyelianzisha!!"

    Ili uelewe hiki ninachokiandika, kwanza elewa majukumu ya DCI (Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya jinai) ndani ya Jeshi la Polisi ambaye kwa sasa ni huyo hapo kwenye picha Ramadhani Kingai... MAJUKUMU YA DCI Kusimamia Upelelezi: Kuongoza, kuratibu na kusimamia shughuli zote za kiupelelezi...
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Picha;-Wazungu waja na data kwanini ni nchi yao, kanuni wa kwanza ndiyo mwenye eneo!

    Ha ha ha !
  14. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    Huwa ni siku ngumu sana kwa mzazi kumpeleka mtoto shule kwa mara ya kwanza , umeshakaa na mtoto miaka 3 / 4 hajazoea na haujazoea mtoto kukaa na watu baki , yeye amezoea kukaa mazingira ya nyumbani na wewe umezoea kumuona akiwa home muda wote . So day one inakuwa ngumu sana watoto wengi wanakuwa...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania City leo anadundwa na United, hafu nafasi ya Kwanza ndio Hajikaa Tena hadi Msimu ujao!

    Yap. Man City mbele ya United leo hana cha kufanya. Anapigwa. Na hajikukaa Nafasi ya Kwanza Tena huu Msimu.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimefika Dar,hapa mtaani inaonekana kuna wanawake wengi kuliko wanaume

    Yaani kwa tathimi yangu niliyoiona kuna wanawake wengi sana mpaka nimebaki najiuliza sasa wanaishije,kila nikitoka inje ni wanawake tu, si wamama,vibiti,na vitoto vya kike, Tofauti na mkoani niliko toka hakuna mabinti wamejaa watu wazima hasa mabibi wajane,au ndiyo huwa wanakimbilia huku dar...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nyerere alisema mvua za kwanza ni za kupandia. Majira yamebadirika, subiri ,mvua za kwanza usipande, sikilizia.

    " vimvua" vilianza August, mpaka leo September hakuna mvua ya maana ya kupanda mazao. Hivyo majira yamebadirika. Ushauri wa Nyerere does mot hold any longer! Ila tayarisha mashamba
  18. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unataka kufanya biashara ya kukodisha nguo za harusi? Usikurupuke kununua nguo nyingi…Jifunze hii kwanza!

    Biashara ya kukodisha nguo za maharusi inaweza kuwa na fursa kubwa kwa sababu harusi, send-off na sherehe mbalimbali zinaendelea kufanyika kila siku. Lakini kuwa na nguo nzuri pekee hakutoshi kukufanya ufanikiwe. Unahitaji kuielewa biashara yako na kuisimamia kwa mfumo. 1. 🎀 Chagua nguo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kupiga story na mzungu

    Jana nilitoka zangu kawaida, bila hata kujua kwamba siku hiyo ningekutana na mtu ambaye angenifanya nicheke mpaka nikasahau nilikuwa naenda kufanya nini. Nikiwa njiani nikamuona mzungu mmoja amesimama pembeni, anaonekana kama amepotea. Nikajiambia moyoni, Kinsman, leo English yako itapimwa.😂...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Rais wa kwanza mgogo

    Tujiandae na Rais wa kwanza mgogo kwenye nchi muda wowote na saa yoyote ile!!!!!!!!!
Back
Top Bottom