Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,143
- 5,665
Hauwezi kuvuta kitu usichokiweza, ukihitaji kuiweza fedha ifanye kuwa chini ya uwezo wako. Kuza uwezo wako kwa kutafuta nguvu kubwa zaidi kuliko nguvu ya fedha.
Matajiri wakubwa wanaitumia sana njia hii kwa kuhakikisha wanakuwa na nguvu kubwa kuliko nguvu ya fedha, wanapohitaji fedha huielekea nguvu hiyo moja kwa moja badala ya fedha.
Haushangai tajiri akimwaga fedha mjini lakini akitoa kafara kijijini? Tajiri aliyejikita kwenye mtazamo wa kafara, akihitaji fedha hatafuti fedha moja kwa moja ila anatafuta nguvu "kafara".
Tujiulize wewe na Mimi, tunapohitaji fedha tunatumia njia ipi? Tunaipa fedha nafasi ipi? huenda tukaona tofauti ilipo kati yetu na wenye nazo.
Sina shaka na ukweli huu utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na hayo yote mtazidishiwa. Kumbe mengine yote fedha ikiwemo ni ziada tu) ila jambo la muhimu kutafuta ni ufalme wa Mungu.
Fedha haiwezi kumfanya mtu kuwa tajiri, ila nguvu ndiyo iwezayo kumfanya mtu kuwa tajiri....rejea "atupaye nguvu za kupata utajiri".
Nimejaribu kupitia mijadala mingi ya matajiri hususani walipoulizwa swali "ni nini ya utajiri wao". Majibu yanayotolewa na matajiri wengi yamekuwa changamani sana na ni mara chache sana wametaja nguvu iliyopo nyuma ya utajirivlivha ya ukweli kuwa nguvu hiyo ndiyo siri yenyewe.
Ukikaa na mtu aliyefanikiwa na akakueleza kwa dhati nguvu ya mafanikio yake, msheshimu sana mtu huyo. Ni wachache sana wanaoisema nguvu halisi inayowapa utajiri. Tajiri hatafuti utajiri ila anatafuta nguvu ya utajiri.
Nimefanikiwa kuishi na Baba Mlezi ambaye niliweza kuongea naye sana juu ya ni nini hasa sababu iliyomsaidia kuwa alivyo. Bila choyo majibu aliyonipa yameifanya akili yangu kuutafsiti utajiri kipekee sana, siamini juu ya sababu yoyote nje ya nguvu nyuma ya mafanikio.
Nguvu iliyopo nyuma ya hali au tukio ina ukubwa kuliko tukio ndiyo maana imesababisha tukiovau hali, mtucakitaka kuwa katika hali fulani au kupata kitu fulani anachopaswa kutafuta kwanza ni nguvu na siyo kitu hicho, leo tunatafuta kitu ndiyo tunatafuta nguvu ndiyo maana hata tukipata havikai.