Familia kwanza au kazi kwanza?

Familia kwanza au kazi kwanza?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,751
Reaction score
63,477
Wapo wanaosema, kazi ndio kila kitu; wapo tayari kuipambania kazi zao kuliko familia, wakiamini familia ikiharibika kazi itamsitiri kwa kumpatia fedha na kuanzisha familia nyingine.

Je, wewe kwa mtazamo wako, kwako ni kazi kwanza au familia kwanza?​
 
Life inahitaji balance ya kila kitu, kuanzia kwenye misosi ili afya yako iwe imara mpaka kwenye shughuli zako.Hata kwenye majukumu yako wewe ni mzazi pia ni mfanyakazi lazima ubalance, unaweza ukapata ushindi kazini ila ukapoteza familia yako and vice versa.

So balance muhimu halafu kwenye maisha kila unapokua majukumu ndio yanaongezeka kazini mpaka kwenye familia.Maana kwenye familia ulikuwa unawategea babu zako, baba zako sijui kaka zako, wakichukuliwa mbele ya haki then wewe ndiye unakuwa kiongozi wa familia na wa ukoo changamoto yoyote utasikia tusubiri kaka/baba/babu aje wanakusubiria ww kwa utatuzi.Yaani life ni fuuuuuull majukumu hayaishi yanaongezeka kila siku na kukwepa huwezi cha msingi ni kubalance. Hapo ndipo mtapo waona wazee wazamani walikuwa ,wapo vizuri sana kuanzia kazini mpaka kwenye familia sometimes unahisi walikuwa ma-genius.
 
Kwangu familia ndio kipaumbele namba moja, Ukigusa wazazi wangu, mke na watoto wangu Jua lazima nitakumwaga Ubongo Kwani najua nilipotoka na hao watu, uzuri ni kwamba akili zangu ndio zinazonipa vyuma.
Uko tayari upoteze kazi kwa ajili ya familia?
 
Wapo wanaosema, kazi ndio kila kitu; wapo tayari kuipambania kazi zao kuliko familia, wakiamini familia ikiharibika kazi itamsitiri kwa kumpatia fedha na kuanzisha familia nyingine.

Je, wewe kwa mtazamo wako, kwako ni kazi kwanza au familia kwanza?​
Familia haizai kazi ila kazi inazaa familia. Cha kwanza ni kazi.
 
Wapo wanaosema, kazi ndio kila kitu; wapo tayari kuipambania kazi zao kuliko familia, wakiamini familia ikiharibika kazi itamsitiri kwa kumpatia fedha na kuanzisha familia nyingine.

Je, wewe kwa mtazamo wako, kwako ni kazi kwanza au familia kwanza?​
Utaiendeshaje familia bila kazi inayokuingizia kipato ili uitunze hiyo familia? Unataka uwe unawakumbatia tu ndani na kuwaonesha upendo wa hali ya juu siku nzima huku matumbo yao yakikoroma kwa njaa kali? Fanya kazi upate pesa ya kuonesha upendo kwa familia yako. Kwa swali lako nadhani jibu umeshalipata kwa ujumbe wangu
 
Life inahitaji balance ya kila kitu, kuanzia kwenye misosi ili afya yako iwe imara mpaka kwenye shughuli zako.Hata kwenye majukumu yako wewe ni mzazi pia ni mfanyakazi lazima ubalance, unaweza ukapata ushindi kazini ila ukapoteza familia yako and vice versa.

So balance muhimu halafu kwenye maisha kila unapokua majukumu ndio yanaongezeka kazini mpaka kwenye familia.Maana kwenye familia ulikuwa unawategea babu zako, baba zako sijui kaka zako, wakichukuliwa mbele ya haki then wewe ndiye unakuwa kiongozi wa familia na wa ukoo changamoto yoyote utasikia tusubiri kaka/baba/babu aje wanakusubiria ww kwa utatuzi.Yaani life ni fuuuuuull majukumu hayaishi yanaongezeka kila siku na kukwepa huwezi cha msingi ni kubalance. Hapo ndipo mtapo waona wazee wazamani walikuwa ,wapo vizuri sana kuanzia kazini mpaka kwenye familia sometimes unahisi walikuwa ma-genius.
Kiuwajibikaji, familia na kazi unazipa asilimia ngapi? Mfano, kazini kwako wakakupangia kazi nje ya nchi, na uende peke yako ukakae kwa muda wa miaka 2 ndio urudi, Je utaweza?​
 
Back
Top Bottom