kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwanini unapenda Kusali misa ya kwanza?

    Kristu Ni Tumanini Letu. Mapendo Daima. Binafisi huwa napenda kusali misa ya 1. Ibada ya misa ya kwanza huanza mapema na kuisha mapema pia. Baada ya hapo unaendelea na kazi zako za kila siku. Je wewe huwa unaenda misa ya ngapi? Nawatakieni ibada njema nyote wakristu wanzangu. Bwana awe Nanyi
  2. kabweza

    Kabla Hujafunga Biashara Yako, Soma Hii Kwanza.

    Wakuu wa jukwaa, Leo nataka niongee kitu ambacho naamini kinaweza kubadilisha namna tunavyoendesha biashara zetu za kila siku hasa sisi wafanyabiashara wadogo na wa kati. Ukweli ni huu Biashara nyingi Tanzania zinaendeshwa kwa mazoea. Tunatumia daftari, kumbukumbu za kichwani, au wakati...
  3. M

    Mchawi wa kwanza wa matatizo ya gari lako ni wewe mwenyewe, ni kitu gani huwa unakitatua mwenyewe au kumpa fundi maelekezo asilete ujuaji

    Kwenye oili ya usukani huwa nipo strict sana kuiweka mwenyewe, na nikipeleka kwa fundi huwa nampa maelekezo asiweke oili ya gearbox kama walivyozoea. Air filter – hii huwa naibadilisha mwenyewe au nikiwa kwa fundi namsisitiza aweke original, si zile za bei rahisi zinazoziba haraka. Engine oil...
  4. W

    Michael B. Jordan afuata Nyayo za 'Manguli', ashinda Oscar yake ya kwanza

    Katika kinyang'anyiro kikali cha kuwania tuzo ya Muigizaji Bora wa Kiume (Best Actor), staa wa filamu ya Sinners, Michael B. Jordan, ameibuka kidedea kwenye Tuzo za 98 za Academy (Oscars) zilizofanyika usiku wa kuamkia Jumatatu. Katika filamu hiyo, Jordan ameigiza uhusika maradufu kama mapacha...
  5. NGAYANIMO

    Check navyo flow- kwanza unit "K.U"

    D. ROB " VERSE " Oh Nakuja na Check na flow hi.!!👋 Hodi hi.!!👋 oooh/ Mlango uko wapi? Kama funguo ni Elimu niwe juli kama Mwalim/ Ni funge hizi takwimu/ Yoh..!! Rap mahesabu/ Isiwe Taabu/ Watu wamekula Kitabu/ Tuseme Ma - Book / Yoh..!! Ma - kilo ya Dhahabu/ Ninachokitaka mimi ni Karatasi...
  6. H

    Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.📍Songambele (Nsimbo)-Katavi🗓️Machi 15, 2026

    Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Songambele (Nsimbo)-Katavi 🗓️Machi 15, 2026 ———————————— Amesema hayo alipozungumza na wananchi wa kata ya Songambele, Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi kwenye mkutano wa hadhara.
  7. kimsboy

    Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

    Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele...
  8. A

    KERO Wanachuo wa Mwaka wa Kwanza (RADIOLOGY) Chuo cha Nkinga wamekuwa wakilipishwa pesa ambazo washalipa

    Mimi ni mmoja wa mzazi wa mwanachuo wa mwaka wa kwanza radiology kutoka chuo cha nkinga health institutes. Kumekuwa na gharama zisizo na tija na kuzijurudia, huko nyuma wanafunzi walilipishwa hela ya field sh Laki mbili ambayo unaingiza kwenye account ya chuo baadae hiyo hela hawakupewa bali...
  9. Waufukweni

    Mrithi wa Khamenei (Mojtaba) aamuru Kombora la kwanza

    Iran imerusha makombora yake ya kwanza kuelekea Israeli leo Jumatatu Machi 09, 2026 baada ya kuteuliwa kwa Kiongozi mpya mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu, Ayatollah Seyyed Mojtaba Khamenei. Kituo cha utangazaji cha Serikali ya Iran IRIB kimesema kwenye chaneli yake ya Telegram kwamba Iran imefyatua...
  10. J

    Chuo cha kwanza cha vinyozi Tanzania

    Napenda kuwatangazia juu ya Chuo Cha Kwanza Cha Vinyozi Tanzania, Tupo, Dar-es-salaam, Kinondoni, Morocco.Tunatoa Mafunzo Kwa Njia ya Vitendo.Mhitimu Atapata Cheti, lakini pia Tutamsaidia Kupata Ajira.Namba zetu-0652733553.
  11. J

    Chuo Cha Kwanza Cha Vinyozi Tanzania

    Nimeona Kuna Chuo Kipya Cha Vinyozi Tanzania,Kipo Dar es Salaam, Kinondoni.
  12. U

    Jenerali wa kwanza mwenye nyota nne mwenye asili ya Afrika ateuliwa jeshi la Navy Marekani tangu miaka 246 ya kuanzishwa jeshi hilo

    Semper Fidelis. In the Marine Corps, under President Donald J. Trump color does not matter. Merit does. For the first time in its 246-year history, the U.S. Marine Corps has promoted a Black officer to the rank of four-star general. General Michael E. Langley has made history. Commissioned...
  13. O

    HIV Jab Sio “Raha Pass!” CHP wa Dagoreti South Awa wa Kwanza Kupokea, Aonya Vijana

    Mutua, a father of two and a Community Health Promoter (CHP) in Dagoreti South, has made history as the first person to receive the new HIV prevention injection. Using his platform, he’s mobilising youth to embrace the jab while reminding them it’s added protection, not a free pass. “Nikiwa CHP...
  14. ELI COHEN

    Yani mtu anadhani akikuita kafir eti ndio amekuweza😁, no bro, kwanza hata hatujui neno linamaanisha plus ni compliment maana umenitofautisha na wewe

    "Tatizo wanadamu wa siku hizi ni wabishi sana" by smart 911
  15. ChoiceVariable

    Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  16. ChoiceVariable

    Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  17. A

    KERO Kuhusu Watumishi wa Mikataba Ilala. Mkurugenzi amedanganya!

    Mkurugenzi wa Ilala kasema uongo. Kwanza watumishi wa mikataba ni robo tatu ya watu wa cheki namba. Hao watumishi wa mikataba ndio wanaokusanya mapato yote ilala. Wanalipwa mpaka sasa 340,000 na serikali ilipitisha 500,000. Mshahara wanalipwa mpaka mwezi upinduke, kati ya tar 4, 6, au 8...
  18. MamaSamia2025

    CHADEMA someni katiba kwanza badala ya kudanganyana kuwa serikali inamwomba Lissu awe waziri mkuu.

    Siku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila...
  19. Waufukweni

    Taja nchi inayoanza na herufi ya kwanza ya jina lako tuone ulistahiri kuishi wapi

    Wakuu! Taja nchi inayoanza na herufi ya kwanza ya jina lako tuone ulistahiri kuishi wapi 😄✈️ Twende kazi! 👇🌎
  20. NGAYANIMO

    Ifahamu ‘Kwanza Unit’ Kundi la muziki la zamani lililotaka kuifanya Tanzania kuwa Taifa la Hip Hop

    CREW YA KWANZA UNIT . waanzilishi wa "Kwanza Unit" ilikuwa ni Muunganiko wa makundi matatu makuu ya hip-hop kwa kipindi hiko. Makundi hayo ni kama ifuatavyo.. 1. Villain Gangsters 2. Raiders Posse 3. na Tribe-X. Kwa mujibu wa Chuef Rhymson, mwanachama mwanzilishi wa kundi la Villain...
Back
Top Bottom