Kwanini unapenda Kusali misa ya kwanza?

Kwanini unapenda Kusali misa ya kwanza?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,293
Reaction score
27,020
Kristu Ni Tumanini Letu. Mapendo Daima.

Binafisi huwa napenda kusali misa ya 1. Ibada ya misa ya kwanza huanza mapema na kuisha mapema pia.

Baada ya hapo unaendelea na kazi zako za kila siku.

Je wewe huwa unaenda misa ya ngapi?
Screenshot_20260322_062712_Google.jpg


Nawatakieni ibada njema nyote wakristu wanzangu.
Bwana awe Nanyi
 
Muda ni ndani ya dakika 45 mpaka 60 misa inakua ishaisha na haina mambo mengi mengi mengi, ndio misa ya wazee wa zamani na vijana wa zamani. Unapenda mambo mengi nenda misa ya 3 au ya 4.
Nitaenda Misaa yaTatu
Misa ipi yenye thawabu nyingi? Sisi waislam ukiswali kwa jamaa daraja linaengezeka. Jee nyinyi misaa ipi iliokua bora zaidi?
 
Muda ni ndani ya dakika 45 mpaka 60 misa inakua ishaisha na haina mambo mengi mengi mengi, ndio misa ya wazee wa zamani na vijana wa zamani. Unapenda mambo mengi nenda misa ya 3 au ya 4.
Nitaenda Misaa yaTatu
Misaa ya tatu ya watoto sasa huyu jamaa Nitaenda Misaa yaTatu
Sijui umri wake kwakweli mara nyingi huenda wazee au vikongwe na wajukuu zao maana wanalala hadi usingizi unaisha ndo wanajianda kwenda kanisani
 
Tupe andiko wa maneno yako
Malaki 3:6
Kwa maana mimi, Bwana, sina kubadilika.

Yakobo 1:17
Kila kutoa kuliko kwema, na kila zawadi iliyo kamilifu, hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga, ambaye kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeuka.

Wewe kobazi haya mambo ni watu wenye upeo mkubwa kichwani. Elimu kubwa
 
Misa ya kwanza huwa haina matangazo mengi, chapchapu inafanyika na kupisha nyingine. Unapata muda wa kwenda kwenye mishe zingine mapema baada ya misa hiyo
 
Back
Top Bottom