Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,611
Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza

Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele.

Kulingana na fox news zinadai alilengwa akiwa Negev ambapo humo kuna eneo la siri la underground la kuwaficha viongozi wa Israel

Kinacholeta maswali ni kuwa, tovuti ya waziri mkuu wa Israel ilipost ikiwaasa wananchi kuwa watulivu huku wakiendelea kutafuta mawasiliano na alipo waziri mkuu...Soon walifuta ile post[emoji44]

This marked Prime Minister Benjamin Netanyahu's last public appearance.

He was allegedly taken out by Iranian Missiles immediately after this.

His office is urging citizens to calm down and wait for official communication. Their efforts to establish contact since this day have failed.

Netanyahu is DEAD

View: https://x.com/i/status/2032542518181572943
UPDATE:14 march 2026:Netanyahu ashindwa kutokea kwenye kikao cha baraza la mawaziri cha kujadili hali ya kidharura ya usalama
⛔️The Confirmation ⛔️⛔️

🚨BREAKING: NETANYAHU MISSING AT ISRAELI SECURITY BRIEFING FOR THE FIRST TIME⚠️‼️
💥Israel's Defense Minister Israel Katz Led Today's Security Briefing- Bibi Was Noticeably Absent‼️
💥Rumors have been swirling that Netanyahu was killed in a March 9th strike.

20260314_015239.jpg
Screenshot_20260314-015750_X.jpg
 
Huyo huenda kweli kaliwa kichwa na ni ndio maana wamejibu hizo taarifa ni "UNCORFIRMED " badala ya kukanusa kuwa haujauwawa.

Huenda Mungu aliruhusu hii vita ili Netanyau auwawe na unwagaji damu ukome katika hilo eneo

US akishajua nguvu na uwezo wa Jeshi la Iran, atakuwa mpole ghafla na kuomba mazungumzo vita iishe

Muda utasema.
 
Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza

Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele.

Kulingana na fox news zinadai alilengwa akiwa Negev ambapo humo kuna eneo la siri la underground la kuwaficha viongozi wa Israel

Kinacholeta maswali ni kuwa, tovuti ya waziri mkuu wa Israel ilipost ikiwaasa wananchi kuwa watulivu huku wakiendelea kutafuta mawasiliano na alipo waziri mkuu...Soon walifuta ile post[emoji44]

This marked Prime Minister Benjamin Netanyahu's last public appearance.

He was allegedly taken out by Iranian Missiles immediately after this.

His office is urging citizens to calm down and wait for official communication. Their efforts to establish contact since this day have failed.

Netanyahu is DEAD

View: https://x.com/i/status/2032542518181572943

View attachment 3557705View attachment 3557706

Aisee
 
Kwasasa Iran kivyovyote iwe Netanyahu kafa au bado yupo !!!

bado Iran itaendelea naVita tu mpaka kieleweke tukumbuke chimbuko lote ni kuhusu PALESTINE

Sio Netanyau tu.
 
Huyo huenda kweli kaliwa kichwa na ni ndio maana wamejibu hizo taarifa ni "UNCORFIRMED " badala ya kukanusa kuwa haujauwawa.

Huenda Mungu aliruhusu hii vita ili Netanyau auwawe na unwagaji damu ukome katika hilo eneo

US akishajua nguvu na uwezo wa Jeshi la Iran, atakuwa mpole ghafla na kuomba mazungumzo vita iishe

Muda utasema.
Propaganda hizo Mzee ,, Israel hawwajajibu maana inajulikana ni ujinga tu

Hizo screenshot ni fabricated

Shida huku hakuna AI ya kukanusha na kuwasaidieni kama X ilivyo community notes

Ndio maana mandanganywa tu
 
So ile video clip Aliyopost kuwa anaongea ni AI kweli !? 😁
Propaganda za kitoto

Pro Iran wameuliwa viongozi wao karibu wote ,Motjaba anajificha

Hivo wanataman sana Waue hata balozi wa nyumba kumi wa Israel kitu ambacho Iran hana uwezo nacho

ili kujifariji wanazusha Netanyau kafa🤣

Amejitokeza wanasema ni AI
 
Kaa Kwa kutulia Mjomba Unaumia ukiwa wapi !?
 
Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza

Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele.

Kulingana na fox news zinadai alilengwa akiwa Negev ambapo humo kuna eneo la siri la underground la kuwaficha viongozi wa Israel

Kinacholeta maswali ni kuwa, tovuti ya waziri mkuu wa Israel ilipost ikiwaasa wananchi kuwa watulivu huku wakiendelea kutafuta mawasiliano na alipo waziri mkuu...Soon walifuta ile post[emoji44]

This marked Prime Minister Benjamin Netanyahu's last public appearance.

He was allegedly taken out by Iranian Missiles immediately after this.

His office is urging citizens to calm down and wait for official communication. Their efforts to establish contact since this day have failed.

Netanyahu is DEAD

View: https://x.com/i/status/2032542518181572943

View attachment 3557705View attachment 3557706

Hata kama ameuwawa hajafa kizembe kama Ayatollah Khomeini

Yaani makelele yote Yale
Unaliwa kichwa dk ya kwanza tu

Ni aibu sana
 
Back
Top Bottom