kabweza
Member
- Feb 3, 2017
- 11
- 23
Wakuu wa jukwaa,
Leo nataka niongee kitu ambacho naamini kinaweza kubadilisha namna tunavyoendesha biashara zetu za kila siku hasa sisi wafanyabiashara wadogo na wa kati.
Ukweli ni huu
Biashara nyingi Tanzania zinaendeshwa kwa mazoea. Tunatumia daftari, kumbukumbu za kichwani, au wakati mwingine hata WhatsApp kuhifadhi taarifa. Mwisho wa siku unakuta
Obiashara ni nini?
Obiashara ni app (mfumo wa simu) uliotengenezwa kusaidia wafanyabiashara kusimamia biashara zao kwa urahisi kabisa.
Kwa lugha rahisi:
Ni kama “msimamizi wa biashara yako ndani ya simu”.
Kupitia mfumo huu unaweza
- Unafanya kazi hata bila mtandao wa internet.
Ingia hapa obiashara kupdata maelezo kina.
Kwanini mfumo kama huu ni muhimu sana?
Hebu tujiulize kidogo...
Ni wafanyabiashara wangapi
Tatizo ni usimamizi wa biashara.
Kwa kutumia Obiashara
Unaanza kuendesha biashara kama “mtaalamu”, sio kwa mazoea
Obiashara inatofautianaje na mifumo mingine?
Soko lina mifumo mingi ya biashara, lakini ukweli ni kwamba mingi ina mapungufu mengi.
Kwa mfano, mifumo mingine
Mfano halisi
Fikiria una duka la jumla au rejareja
Namna bora ya kuitumia Obiashara
Ili uone matokeo makubwa, fanya hivi
Obiashara ni kwa nani?
Mfumo huu unafaa kwa
Kwa kifupi
Kama unafanya biashara yoyote - unauhitaji huu mfumo
Leo hii dunia inabadilika.
Biashara zinaendeshwa kwa data, sio kubahatisha.
Kama bado unatumia daftari pekee, ukweli ni kwamba unajichelewesha mwenyewe.
Obiashara ni hatua ya kutoka
“biashara ya mazoea”
kwenda “biashara ya kisasa”
Anza leo
Pakua app hii sasa Hapa
Asanteni wanajamii forums naimani biashara yako utoifunga sasa!

- Hujui faida yako halisi ni kiasi gani
- Hujui bidhaa gani zinaenda sana
- Hujui pesa imepotelea wapi
Obiashara ni nini?
Obiashara ni app (mfumo wa simu) uliotengenezwa kusaidia wafanyabiashara kusimamia biashara zao kwa urahisi kabisa.
Kwa lugha rahisi:
Ni kama “msimamizi wa biashara yako ndani ya simu”.
Kupitia mfumo huu unaweza
- Kusajili bidhaa zako zote bila kikomo
- Kufuatilia stoki (bidhaa kuisha au kubaki)
- Kurekodi mauzo na matumizi
- Kufuatilia madeni ya wateja
- Kupata ripoti za biashara yako
- Kusimamia biashara zaidi ya moja kwa wakati mmoja
- Unafanya kazi hata bila mtandao wa internet.
Ingia hapa obiashara kupdata maelezo kina.
Kwanini mfumo kama huu ni muhimu sana?
Hebu tujiulize kidogo...
Ni wafanyabiashara wangapi
- Wanaishia kufunga biashara bila kujua walikosea wapi?
- Wanauza sana lakini hawana faida?
- Wanakosa bidhaa bila kujua ziliishaje?
Tatizo ni usimamizi wa biashara.
Kwa kutumia Obiashara
- Unajua kila kitu kinachoingia na kutoka
- Unafanya maamuzi kwa kutumia data, sio kubahatisha
- Unapunguza hasara zisizoonekana
Unaanza kuendesha biashara kama “mtaalamu”, sio kwa mazoea
Obiashara inatofautianaje na mifumo mingine?
Soko lina mifumo mingi ya biashara, lakini ukweli ni kwamba mingi ina mapungufu mengi.
Kwa mfano, mifumo mingine
- Inahitaji internet muda wote
- Ina features chache
- Haijaendana sana na mazingira ya Tanzania
- Haina uchambuzi wa kina
1. Inafanya kazi hata bila internet
Hili ni muhimu sana kwa mazingira yetu ambapo mtandao sio wa uwakika sana.2. Inasimamia kila kitu sehemu moja
- Mauzo
- Stoki
- Matumizi
- Madeni
- Ripoti
3. Rahisi kutumia (Kiswahili ndio lugha mama)
Imezingatia mtumiaji wa kawaida kabisa kwa kutumia lugha aliyoizoea, Pia anaweza kuchagua lugha ya kiingereza.Mfano halisi
Fikiria una duka la jumla au rejareja
- Mteja akinunua -> unaandika kwenye app
- Bidhaa ikipungua -> unapewa alert
- Mwisho wa siku -> unaona faida yako
- Mwisho wa mwezi -> unaona biashara imekua au imeshuka
Namna bora ya kuitumia Obiashara
Ili uone matokeo makubwa, fanya hivi
- Weka bidhaa zako zote kwenye mfumo
- Rekodi kila mauzo (hata madogo)
- Rekodi matumizi yote
- Angalia ripoti kila siku au kila wiki
- Tumia mapendekezo ya mfumo kuboresha biashara
Obiashara ni kwa nani?
Mfumo huu unafaa kwa
- Wenye maduka (rejareja & jumla)
- Wafanyabiashara wa mitandaoni
- Wauzaji wa bidhaa mbalimbali
- Wenye biashara zaidi ya moja
- Hata wanaoanza biashara