kuzungumza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari kesho 14/07/23

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwamba Freeman Mbowe, atahutubia Taifa la Tanzania kupitia Mkutano wake na Waandishi wa Habari utakaofanyika kwenye Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Dar es Salaam. Mkutano huo uliobeba Mustakabhali wa nchi na Dira ya Taifa...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwenu Watanzania wenzangu: Hekima ni pamoja na kujua la kuzungumza kwa wakati ufaao na kwa kiasi kifaacho

    Neno la hekima kwa wanajamii forums, wanasiasa, viongozi, watendaji wa serikali na watanzania wenzangu. "Hekima ni pamoja na kujua la kuzungumza kwa wakati ufaao na kwa kiasi kifaacho."
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Baba mzazi hamtaki mtoto wake wala kuzungumza na mzazi mwenzake

    Habari za Jumatatu, Naomba ushauri kuhusu rafiki yangu huyu. Huyu rafiki yangu alizaa na mpenzi wake miaka ya tisini mwishoni, lakini hawakufanikiwa kuwa pamoja, Baba alioa mwanamke mwingine, akabaki kuhudumia mtoto wake tu japo alikuwa anaishi na mama yake. Ila huyu mzazi mwenzie ambaye ni...
  4. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Watakupa Uhuru wa kuzungumza, lakini je watakuhakikishia Uhuru baada ya kuzungumza?

    Uhuru wa kuzungumza ni muhimu katika mfumo wa kisiasa wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa kisiasa unaowezesha wananchi kushiriki katika uchaguzi na kuwa na sauti katika maamuzi ya serikali. Uhuru wa kuzungumza ni moja ya vipengele muhimu vya demokrasia, kwani unawezesha wananchi kutoa maoni...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mgeni Mkubwa akitua tuongee nae Kiingereza cha Kuzungumza na siyo cha Kuandikiwa au kusaidiwa na Mkalimani

    Si mnasema miaka ya nyuma mkiwa katika NGO's kama Watendaji mlikuwa mkiishi na kutembea mno Ulaya na Marekani? Sasa Mgeni Mkubwa wa Wiki hii akitua tu tunataka tuzungumze nae Kiingereza bila msaada wa Script, Kuandikiwa na Mkalimani Kukutafsiria.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi atua Singida kuzungumza na Vijana makundi matatu

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM Taifa (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi kuanzia leo Alhamisi na kesho Ijumaa Machi 02-03/03/2023 atakuwa mkoani Singida na kufanya matukio matatu:- ✅ Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Bodaboda na Bajaji. ✅Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Chuo...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe elimu nzuri sio kuzungumza Kiingereza

    Mikutano imeruhusiwa na Mama lakini mchague kwa makini nini mtakwenda kuwaambia wananchi kwenye majukwaa ya kisiasa. Mbowe aliwaambia wananchi wanaomsikiliza kuwa Watanzania hawawezi kwenda kutafuta kazi nchi za nje zikiwemo Ulaya na Marekani kwakuwa hawajui kuongea Kiingereza kama ushahidi wa...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mbowe warudishe Halima na wenzake kundini kwanza

    Mgogoro wa CHADEMA na akina Halima ulipangwa kama mkakati wa kujiua chama cha chadema. Chadema msikubali kunaswa na mtego huo. Warudisheni kundini makamanda wetu akina Halima na wenzake. Hii itaifanya CCM itetemeke na CHADEMA iheshimiwe kimataifa. Kama CCM imewarudisha kundini Lowasa, Sumaye...
  9. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Mcheza Filamu Maarufu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa (IFAD), Davos, Uswizi akutana na Rais Samia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Ujerumani inaizunguka Marekani kwa kuzungumza na China

    Ziara ya hivi karibuni ya Olaf Scholz nchini China ni ujumbe kwamba Washington haiwezi kulazimisha sera ya nje ya Berlin. Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anatazamiwa kuzuru China wiki hii. Ni alama ya safari yake ya kwanza kabisa katika nchi ya Asia, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Rais Samia na Rais Ruto, Ikulu Dar es Salaam Oktoba 10, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ampokea na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kenya William Somoei Ruto Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Oktoba, 2022. Mambo yaliyojadiliwa ni pamoja na; Rais Samia Suluhu Hassan Kukuza na kuimairisha uhusiano kati ya...
  12. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chebukati: Mahakama ya Juu imethibitisha Haki Yetu

    Baada ya Rais Mteule William Ruto kuzungumza na wanahabari muda mchache uliopita, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) anazungumza na wanahabari muda huu Fuatilia hapa sasa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imesema hukumu ya Mahakama ya Juu ni ushahidi kwamba mchakato wa...
  13. Ivyson

    JamiiForums Tanzania SoC02 Almasi katikati ya miiba

    Vipi nikikuambia kuwa leo hii inawezekana kutumia viumbe hai vidogo visivoonekana kwa macho kama Bakteria au Kuvu kutengeneza kinga ya mwili, dawa kwa ajili ya kutibu magonjwa yanayaothiri afya zetu, au kusafisha mazingira, au kutengeneza bidhaa mbalimbali kama pombe, maziwa, sabuni, dawa za...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo arejea Jijini Manchester kuzungumza na Ten Hag

    Cristiano Ronaldo amerejea Jijini Manchester na alitarajiwa kuwa na mazungumzo na Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag kuhusu hatma yake. Mreno huyo ambaye amekosa wiki tatu za kwanza za maandalizi ya msimu ya timu kutokana na sababu za kifamilia ilielezwa kuwa aliiambia klabu yake kuwa...
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Joaquim Chissano: Siwezi kuzungumza Kiswahili kama mnavyodhani

    "Ahsante sana kwa kukumbusha watu kuwa nilizungumza kwa Kiswahili kule Umoja wa Afrika, na ile ilikuwa tu kuwakumbusha watu kwamba Kiswahili ilikuwa ni lugha rasmi ya Umoja wa Afrika kipindi kile na watu wakaamini kuwa nilikuwa nafahamu Kiswahili vizuri. Lakini si kweli kwamba nafahamu Kiswahili...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania uwezo wao ni kuzungumza watu sio masuala muhimu, tatizo ni nini?

    Ukifuatilia kwa makini mijadala ya vijana wengi kwenye majukwaa makubwa hasa siasa utagundua kuna kitu hakipo sawa ( something amiss ). Katika hali isiyo ya kawaida maoni mengi yamejikita sana kuzungumzia watu badala ya masuala muhimu yanayopaswa kuwekwa wazi. Tatizo hili limezaa machawa...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kagame, Tshisekedi kukutana kuzungumza tofauti za Rwanda na DRC

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC), Felix Tshisekedi anatarajiwa kukutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame Nchini Angola kwa ajili ya mazungumzo kutokana na mgogoro unaoendelea baina ya mataifa hayo. Haijawekwa wazi watakachozungumza katika mkutano huo utafanyika Jijini Luanda lakini...
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Kuzungumza na wenzetu

    UHURU WA KUZUNGUMZA WA WENZETU Filamu, ''JFK'' iliyotengenezwa na kuogozwa na Oliver Stone ilinikuta niko mji mmoja mdogo Uingereza. Mwaka ni 1991. Huyu Oliver Stone ni Mmarekani na sifa yake yeye ni kule kutengeneza senema za kushambulia mamlaka. Oliver Stone akishambulia serikali yake ya...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Mila za wafu kuzungumza kupitia watu walio hai zipo makabila gani?

    Katika kabila la wahaya kuna mila inaitwa "nchweke" ambayo marehemu huzungumza kupitia watu walio hai. Je ni kabila gani unalolifahamu lenye mila kama hii
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mtu wa ajabu aliyeonekana kuzungumza na Rais Putin aibua tetesi za mwisho wa Putin kuwa karibu

    mtu wa ajabu aliyeonekana akizungumza na mbabe Putin wakati wa Parade ya ushindi jana amesababisha tetesi za watu kuhisi kuwa huenda ndie akawa mrithi wa Putin Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado kijana mdogo ametambulika kwa jina kuwa ni Dmitry Kovalev na kwa sasa anahudumu kama mkuu wa...
Back
Top Bottom