kuzungumza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Naibu katibu mkuu TEC: Hata akija kiongozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibada

    Wakuu, TEC wapo serious si kidogo Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania-TEC limetoa Limetoa mwongozo mpya kuwakumbusha Waamini taratibu na kanuni kwenye Ibada kanisani ambao unapiga marufuku wageni kuzungumza kanisani isipokuwa paroko/padri kama tukio ni la Kiparokia, Askofu wa Jimbo...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi ya Raha kusikia kuwa Mwamba Netanyau atazungumza na Rais Trump baadaye Leo

    Wadau hamjamboni nyote/. Hakiki ni Raha kubwa kwangu kujua kuwa Mwamba wa ukweli Benjamin Netanyau yuhai kabisa. Yes indeed he's very much alive. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is set to speak to US President Donald Trump later today, according to an Israeli official. Netanyahu...
  3. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Kremlin yasema hakuna mipango ya Putin kuzungumza na Trump

    Msemaji wa Ikulu ya Urusi Dmitry Peskov, amesema rais Vladimir Puin hana mipango yoyote ya kuzungumza na rais wa Marekani Donald. Hivi Karibuni Trump ameonesha hadharani kukasirika kwake na rais huyo wa Urusi, akionya wiki hii kwamba Putin anacheza na moto kwa kukataa kujihusisha na mazungumzo...
  4. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Nimeitazama video ya Maria Sarungi akizungumza huko Oslo, Norway Kazungumza vizuri tu ila alichofanya sio kitu cha kipekee

    Nimeitazama video ya Maria Sarungi akizungumza huko Oslo, Norway. Kazungumza vizuri tu. Ila, sitokuwa kama wengine na kuanza kummwagia sifa tele na kana kwamba alichokifanya ni cha kipekee sana. Watanzania wengi wamezoea vitu vilivyo chini ya viwango na ndo maana akijitokeza mmoja na kufanya...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Rais wamuelekeze namna ya kuzungumza kwenye hadhara. Kuna maneno anatamka anaji icriminate

    Sio kila muda lazima uongee Sio kila jambo linalotokea lazima uzungumze. Serikali inatuhumiwa kwa mambo mengi ikiwemo kuwapoteza na kuwateka wapinzani wako wa kisiasa ( Kidnaping na Enforced Dissaperrance). Kama hujui haya ni makosa dhidi ya Binadamu chini ya Sheria za Kimataifa. Unapofanya...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mbowe kufanya mkutano na waandishi wa habari Mei 19, 2025

    Wakuu, Hiki kipeperushi ndio kimeanza kusambaa, yaani jamaa akaona katika siku zoteeeee leo ndio aje kufanya press, kwenye kesi ya Lissu? Kama ni kweli jamaa atakuwa na chuki iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) na ameamua kweli kukibomoa chama.... ila ni kama vile vijana wa mama wapo kazini...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mitandaoni wameanza kuzungumza kulipa visasi-Hivi Samia anatupeka wapi?

    Nimekuwa nikisoma mitandao ya kijamii, maneno ya wananchi yameanza kuniogopesha na kwa kweli kama hili jambo halitafanyiwa kazi hii nchi inaenda kubaya, tena inaenda kubaya kwelikweli. Nchi hii matendo ya mauaji ya watu kama (Mzee Kibao), Kutekwa kwa watu kama vijana (Deusdedith Soka)...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mussa Zungu: Sioni sababu ya Wasiohusika na mechi ya Simba kuzungumza zaidi humu ndani (Bungeni)

    Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema haoni sababu ya baadhi ya wabunge wasiokuwa na uhusiano na Klabu ya Simba kuwa ndio wanaozungumza zaidi kuhusu mechi ya Simba wakati mchezo huo umepangwa kuchezwa kesho. Ametoa kauli hiyo leo Bungeni wakati wa maswali na majibu.
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi wamzuia Heche Kuzungumza na wananchi Mbarali

    Jeshi la Polisi limemzuia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche kuzungumza na wananchi wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya Jumanne tarehe 25 Machi 2025, siku ambaye alikuwa na ratiba katika jimbo hilo kuendelea na Operesheni No Reforms No Election.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hakukuwa na sababu ya Profesa Mkenda kuzungumza aliyoyazungumza hadharani. Kiongozi ni kuwa na Kifua na Uvumilivu

    Ndugu zangu Watanzania, Sote tumeyasikia maneno na kauli za Waziri wa Elimu Mheshimiwa Profesa Adolph Mkenda akilalamika kuwa alizungushwa kupata nafasi ya kuonana na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Mimi...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha. Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na JKT afanya ziara Wilayani Monduli kuzungumza na viongozi wa jamii ya wafugaji

    Januari 24, 2025, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Tax (Mb) amefanya ziara ya Kikazi katika Wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kimila wa jamii ya Kimasai, Viongozi wa Vijiji na Madiwani, katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Video: Lissu na Mbowe mambo shwari, tazama wakiingia pamoja kuzungumza kuhusu tathimini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe akiongozana na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho upande wa Bara Tundu Lissu kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari.
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Aishi Manula: Siumwi chochote, ila wao ndio wanajua nini kinaendelea

    Baada ya jana Klabu ya Simba kutoa taarifa kuwa mlinda mlango wao, Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Haya ndio majibu ya Tanzania One "Siumwi chochote, ila wao...
  15. L

    JamiiForums Tanzania CPA Amos Makala azungumza na Waandishi wa Habari leo asubuhi saa nne

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa Itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makalla anatarajia kuzungumza masuala mazito na waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi muda wa saa nne Asubuhi ya Leo Ijumaa ya tarehe 29. Ambapo msemaji huyo wa CCM chama kiongozi Barani...
  16. Magical power

    JamiiForums Tanzania Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapi

    Unalipi la kuzungumza au ushawai kula hii kitu wapi
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Golikipa Aishi Manula ukipewa au ukielekezewa Mic Kuzungumza jifunze Kuzungumza kwa ufupi na vya maana tupu sawa?

    Sijui kwanini ukielekezewa tu Mic na Waandishi wa Habari jambo la kusema Sekunde 45 utalisemea dakika 17 Unaboa.
  18. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Je, unajua ni kwa namna gani maks zako zinapatikana usaili wa kuzungumza bila upendeleo ikiwemo sekretariate?

    👉One of the biggest concerns people have during interviews is the fear of being unfairly judged by the interviewer based on attitude and perception. Today, I will share how your marks are protected. Naaam! Mchakato wa utoaji maksi umedhibitiwa vizuri kwa kiasi hasa pale sekretariate ya Ajira😁...
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA, F. Mbowe kuzungumza saa 5.30

    Kwa mujibu wa taarifa ya John Mrema kupitia mtandao wa X muda huu saa 5:30. Fuatilia Updates hapa: Mbowe akizungumza na Taifa
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah kutoa hotuba nzito mbele ya waandishi wa habari duniani kesho alhamisi Septemba 19

    19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024 LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH: Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks Israel has launched air strikes on southern Lebanon as Hezbollah leader Hassan Nasrallah condemns this week’s...
Back
Top Bottom