kuzaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Happy birthday Freeman Aikael Mbowe

    Mwamba tuvushe...
  2. Tetesi: UKAWA Mpya kuzaliwa, hakutakuwa na ACT

    Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanakusudia kuanzisha umoja utakao unganisha vyama vya siasa vya upinzani na jumuiya mbali mbali za kidini kudai katiba mpya sasa. ACT wametengwa kwa kuwa msimamo wao na ushiriki wao kwenye Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar unawafunga mikono. Baadhi...
  3. Ni ipi logic ya kupewa hela au zawadi yoyote siku ya kuzaliwa kwako?

    Yaani nimezaliwa tarehe kama ya leo unanipa zawadi au hela kwamantiki gani? Kwamba unanipa zawadi kwa kuzaliwa? Unanipa hela sababu nimezaliwa leo? Sijaelewa naomba kueleweshwa.
  4. Je, ni Akili za Kitaaluma pekee ndizo zinazokufanya uwe mwana Usalama wa Taifa mahiri, au ni zile Akili za Kuzaliwa nazo ( Nature ) tu?

    Nimedokezwa kuwa huko CIA na MOSSAD wao Kipaumbele chao kwa wanao wa recruit ni Akili za Kuzaliwa nazo pekee na hizo za Kitaaluma (za Darasani) nenda Katambe nazo kwa Washamba Wenzako huko Kijijini Kwenu. Na nimedokezwa pia nchi zingine nyingi (hasa Barani Afrika) ila Tanzania haipo Wao ili uwe...
  5. Inasikitisha, mrembo wa CHADEMA anasherekea siku ya kuzaliwa huku ana hofu ya kuuliwa na polisi

    Hivi ameolewa kwanza? Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuhusu kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa Alichoandika
  6. B

    Kuzaliwa na kuishi Dar ni fursa. Upo tofauti na wazaliwa wa mikoa mingine, usijichukulie poa

    Kuzaliwa na kuishi Dar ni fursa, upo tofauti na wazaliwa wa mikoa mingine, usijichukulie poa Mfano: Mbagala inafanana kiukubwa na mkoa wa KILIMANJARO, Manyara na Singida, pia imechangamka zaidi Dar is everything, ukishindwa kuwa tajiri, wewe ndio mwenye tatizo. NB: NI MTAZAMO TU, TUSIJENGE CHUKI
  7. Ungezaliwa upya ungependa kuzaliwa nchi gani?

    Je kungekua na uwezekano wa kuzaliwa upya, ungependa kuzaliwa nchi gani? Toa sababu?
  8. Ukitaka kujua ubovu wa serikali ya awamu ya sita, Yakupate haya utajuta kuzaliwa Tanzania.

    Kuna watu bado wana shadadia hii serikali ya awamu ya sita sijui ni kwa makusudi au kukosa uelewa, inshort naweza sema wengi wao ni wapiga dili, kama siyo mpiga dili hii serikali huwezi iunga mkono hata kidogo ina mambo ya ajabu ambayo hayajawhi kutokea tongu tupate uhuru. Sasa Mwananchi...
  9. Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa RITA

    Habari zenu wakuu, nataka kuhakiki cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya kuomba mkopo (HESLB) kwenye mfumo wa online eRITA. Nimejaza details zote lakini kuna moja "entry no" ndio sijui nijaze nini, naomba msasa tafadhali
  10. Leo sabasaba, tunakumbuka kuzaliwa kwa TANU, tarehe 7/7/1954

    Leo ni siku iliyozaliwa TANU, tushereheke birthday ya chama pendwa na kongwe iliyozaa CCM. CCM ni kama maji, usipoyanywa utayaoga. Leo hata Chadema hawajaenda maofisini wakisherekea kuzaliwa kwa chama hiki kilichoendesha Siasa za ukombozi Afrika. Nani alikuwa haijui code ya 7-7? Ndio hiyo, lift...
  11. Mikataba haikuanza leo, ni miaka mingi kabla hata ya kuzaliwa kristo, angalia mkataba huu kati ya Israel na Lebanon ndio utaujuwa ukweli

    MKATABA WA KALE WA KIUCHUMI KATI YA ISRAEL NA LEBANON U SAWA NA MKATABA WA BANDARI KATI YA TANZANIA NA DUBAI? Mkataba wa kwanza wa kimataifa kurekodiwa katika Biblia ni Mkataba wa kiuchumi baina ya Israeli na Lebanon uliosaniwa mwaka c. 950 BK (miaka 2973 iliyopita). Mkataba ule ulihusu Lebanon...
  12. S

    Ex wangu ndiye mtu wa kwanza kunitakia heri katika siku yangu kuzaliwa huko Facebook. Hii tunaiitaje??

    Akiiona mwenzi wake wa sasa? Au hampendi? Akiiona mchumba wangu? Au ananiharibia? Hiii imekaaje na tunaiitaje?
  13. B

    Ukipoteza cheti cha kuzaliwa cha Form Four na Form Six unaweza kupata kingine?

    Nimepoteza cheti changu cha form four, kuzaliwa na cha form six Wana JF, naomba mnishauri nitumie njia zipi kupata vyeti vyangu tena. Nimeshaenda police kutafuta loss report
  14. M

    RITA kuthibitisha wenyewe nakala za vyeti vya kuzaliwa ina maana cheti kikithibitishwa mahakamani/ kwa wakili hakitakubalika?

    Naomba kuuliza kwa wenye uhakika na hili: Je nakala ya cheti cha kuzaliwa kikithibitishwa mahakamani au kwa wakili kitakubalika? Uthibitishaji wa vyeti vya kuzaliwa unatakiwa sana hasa kwenye kuomba ajira, na kwenye uombaji wa mikopo ya elimu ya juu. Nauliza hivi kwa sababu mchakato wa...
  15. T

    Kuzaliwa Tanzania nao ni ujasiri!

    Ni nchi yenye uajabu wake! Ni nchi yenye rsilimali zake nyingi, ila huwa hazitoi faida kwa wananchi! Utasikia kiongozi akisema, hiki na kile, kimetutia hasara ya mabilioni kadhaa, tuwape wageni wakiendeshe! Cha ajabu... hata hao wageni wakipewa! Nao hawaingizi faida! Kama sio ujasiri wa mtu...
  16. Siku Muhimu ya Kuadhimisha Siku Yangu ya Kuzaliwa

    Rafiki yangu mpendwa, Leo ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwangu. Tarehe 06/06 ndiyo siku ambayo nilizaliwa, hivyo leo tarehe 06/06/2023 nimetimiza miaka kadhaa ya kuwa hai hapa duniani. Kwa miaka hiyo michache, nimejifunza mengi sana na pia nimekazana kuwa na mchango kwa wengine kadiri ya uwezo...
  17. Kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa online RITA

    Nauliza je, utaratibu wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa ONLINE RITA kwa mwaka 2023 / 2024 umeanza au bado? Nimejaribu ku-create account ili nianze mchakato wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa vya wateja na watu wangu wa karibu. Lakini hata hatua ya kwanza ku-create account...
  18. Heri ya Kuzaliwa Rais Ali Hassan Mwinyi 😄

    Wakuu leo Mei 8, ni siku aliyozaliwa Rais wa Awamu ya Pili Mh. Ali Hassan Mwinyi. Mh. Mwinyi alizaliwa Mei 8, 1925, hivyo leo ametimiza miaka 98. Tunamtakiwa Mzee Mwinyi heri na baraka kwa siku yake ya kuzaliwa.
  19. Nabii mkuu Dkt. Geordavie asheherekea kumbukizi yake ya kuzaliwa, watu maarufu wahudhuria

    Tarehe 25 Mwezi April ni kumbukizi ya Nabii Mkuu Mh Dokta GeorDavie kukumbuka siku yake ya kuzaliwa ambapo Maelfu ya waumini wa huduma ya Ngurumo ya Upako walisherekea kwa pamoja huku wageni kutoka nchi mbali mbali kutoka nchini Congo, South Africa, Kenya na maeneo mbali mbali ya pembezoni...
  20. Korea Kaskazini yaadhimisha miaka 111 ya kuzaliwa kwa mwasisi wake

    Leo Jumamosi inatimia miaka 111 tangu kuzaliwa kwa mwasisi wa Korea Kaskazini, Kim Il Sung. Jana Ijumaa usiku, runinga ya serikali ya nchi hiyo ilionesha video ya bango lenye maneno “kiongozi wa milele” likipandishwa juu jijini Pyongyang. Wanawake waliovalia nguo za kitamaduni walionekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…