kuzaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna namna naweza kupata kopi ya cheti cha kuzaliwa online?

    Habari, nipo Wizara ya Mambo ya Ndani hapa kuna jambo nafatilia wameniomba cheti cha kuzaliwa. Sina kwa hapa ila wameniomba hata copy tu au picha yake. Je, kwa mwenye kujua kuna tovuti naweza kuingia nikapata au ndio nijiondokee tu kinyonge kabisa?
  2. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, nilifuatilia cheti cha kuzaliwa Edina kule Rita Dar es Salaam na sasa nimechoka

    Katika kufanya marekebisho ya cheti cha Edina bint yenu, si nikapeleka kila kitu Rita.? Kwanza mchezo ulianza mwaka 2018, nimepigwa tarehe style ya kirudishwa wiki wiki. Piga ni wiki ya ngapi tangu 2018? Basi ndivyo ninavyofanyiwa hadi leo hii. Naelewa kuwa mkono mtupu haulambwi. Inatakiwa...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Nani mwingine kaona mabadiliko makubwa ya Mkuu wa Mkoa Chalamila? Very intelligent, kama kuzaliwa mjini form six, basi ataacha Dsm na Masters

    Dar ni mjini, na eti kuzaliwa mjini ni sawa na kuhitimu form six? Basi wana Darisalama watakuwa na masters kutokana na hotuba za kisomi za Chalamila. Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia hotuba za RC Chalamila, kwa kweli zina kiwango cha juu sana mpaka najiuliza nini kilimkuta miaka...
  4. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kuchagua kuzaliwa wapi na race gani, ungechagua hapo ulipo ?

    Challenge. Binafsi ungepata nafasi ya kuchagua uzaliwe wapi na race gani ? - Je, unge chagua kuzaliwa katika hiyo race uliyopo ? - Je, ungechagua kuzaliwa katika hilo eneo ulilopo( nchi & bara ) ? Binafsi hapana kwa maswali yote. Wewe je ? Na sababu zako zingekuwa ni zipi ?
  5. fareed uziel

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata cheti cha kuzaliwa cha mama

    Habari, Kijana wenu nahitaji msaada wa haraka wa kupata cheti cha kuzaliwa cha mama, mama ukazaliwa 1962 ocean road. Je, nawezaje kukipata kupitia Rita kwa njia ya haraka? Mwenye msaada anisaidie.
  6. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Tarehe kama ya leo miaka 47 iliyopita ndio tulihitimisha halaiki tulizocheza kwa miezi sita ajili ya kuzaliwa CCM na Azimio la Arusha

    Tarehe kama ya leo na mwezi kama wa leo miaka 47 iliyopita ndio tulihitimisha halaiki tulizocheza kwa miezi sita ajili ya kuzaliwa CCM na Azimio la Arusha kutimiza miaka 10. Nilikuwa nasoma UHURU Shule ya msingi Arusha nikiwa darasa la tano.Kwamaana hiyo darasa la nne sehemu kubwa hatukuwa...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Kuzaliwa kwa CCM na Ujenzi wa Maabara za Masomo ya Sayansi Kwenye Sekondari za Musoma Vijijini

    SHEREHE ZA KUZALIWA KWA CCM NA UJENZI WA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZA MUSOMA VIJIJINI Sherehe za Miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi zinaendelea kufana Musoma Vijijini. Leo, sherehe hizo zimefanyika Kijijini Bwai Kumsoma, Kata ya Kiriba. Washiriki wa sherehe hizi...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Musoma Vijijini - Sherehe za Miaka 47 ya Kuzaliwa kwa CCM Zafana Sana

    MUSOMA VIJIJINI - SHEREHE ZA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM ZAFANA SANA Sherehe za kuzaliwa kwa CCM zinafanyika sehemu mbalimbali ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini. Jumuiya zote za CCM zimekamilisha sherehe zake. Chama kinaendelea kusherehekea kwenye ngazi za Kata. Mbunge wa Jimbo, Prof...
  9. L

    JamiiForums Tanzania VETA wamemtakia Heri ya Kuzaliwa Rais mpaka leo hii tangazo lipo kwenye web yao

    Hivi ni sahihi kuendelea kuwa na Tangazo hilo mpaka leo? Mie ninafikiri Tangazo la hivi sio baya kutolewa just at the same Day kwenye Media na kisha siku zinazofuata basi lisiwepo! Haid nimejisikia vibaya pengine Taasisi yangu nimekosea kutoliweka kwa web Tangazo hilo! Twampenda Rais wetu...
  10. Heparin

    JamiiForums Tanzania Ofisi za RITA Kinondoni badilikeni, huduma ya kupata cheti cha kuzaliwa ni Mbovu sana

    Nimefika Ofisi ndogo za RITA Kindondoni mida ya saa 1:48 asubuhi kuchukua cheti cha Kuzaliwa cha Mtoto ukiwa umepita mwezi mzima tangu nitume maombi ya Mtandao na kuwa Approved. Kinachoshangaza ni kuwa kwanza hakuna eneo la kutosha kukaa watu wanaosubiria vyeti hivyo. Mathalani, leo imenyesha...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kongamano la UVCCM Kuelekea Miaka 3 ya Uongozi wa Rais Samia na Miaka 47 ya Kuzaliwa kwa CCM

    KONGAMANO LA UVCCM KUELEKEA MIAKA 3 YA UONGOZI WA RAIS DOKTA SAMIA NA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wamefanya Kongamano kubwa kuelekea Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani na Miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi lililofanyika...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uongozi ni karama ya kuzaliwa, Paul Makonda anaendelea kulithibitisha hilo

    Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi. Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni mkubwa kuliko hata Nafasi yake?. Ni sahihi kusema Makonda amezaliwa kua Kiongozi?. Katibu Mwenezi...
  13. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Mama yangu ana miaka 70. Je, anaweza kupata cheti cha kuzaliwa?

    Mama hajawahi kuwa na cheti Cha kuzaliwa kutokana na utamaduni wa kabila letu kutozingatia masuala ya documents. Sasa naomba kuuliza, je anaweza kukipata sasa? Nilikuwa nafuatilia passport nikapeleka affidavit baala ya cheti chake cha kuzaliwa lakini afisa uhamiaji wakaikataa. Msaada wa mawazo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kubadili tarehe ya kuzaliwa katika cheti cha kuzaliwa

    Habari za wakati huu wakuu, Naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kubadili tarehe ya kuzaliwa katika cheti cha kuzaliwa

    Habari za wakati huu wakuu naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je system ya RITA in tatizo?

    Hivi karibuni nimesajili vyeti vya kuzaliwa online na baada siku 14 unapata tangu siku uliyosajili na kulipia. Nina siku 24 tangu nmelipia system inaonyesha status ya cheti kwamba APPROVED IMna ilitakiwa iwe CERTIFICATE ISSUED SWALI LANGU: je system inasumbua au kuna tatizo?? Je nikienda rita...
  17. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

    Pamoja na mambo yote kuhusu Krismas, leo ni siku na tarehe ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru Mungu kwa baraka na uzima kwa kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu, daima nitamshukuru...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nawaalika nyote kuzaliwa upya kisiasa, kijamii na kiuchumi Krismasi hii

    Wapendwa sana, wanafamilia wa JF. Salamu. Mara baada ya salamu, Nashukuru Mungu kwa niaba yako na yangu, kwa kibali cha maisha, zawadi ya uhai na afya anazotujaalia. Karibuni sana nyumbani kwangu mkiwiwa kwa biriani la Christmas. Wapendwa, Christmas hii tukazaliwe upya kiroho na kimwili na...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Leo ni kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Ben Saanane, unakumbuka nini kutoka kwake?

    Siku chache kabla ya kupotea katika mazingira yasiyoelezeka, kada wa CHADEMA, Ben Saanane alifanya mambo mengi kama mawasiliano yake binafsi na pia ya chama chake. Hata hivyo, kati ya mawasiliano hakuna kilichosaidia kung’amua ni katika mazingira gani mwanasiasa huyo kijana alipotea na yuko...
  20. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha vifo vingi vya uzazi hiki hapa: Si afya mtoto kuzaliwa na uzito mkubwa

    Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mkubwa mitandaoni kuhusiana na watoto wanaozaliwa na uzito mkubwa. Mjadala huu umezuka baada ya Prof. Janabi kuelezea jambo hili wakati wa uzinduzi wa Foundation ya Prof J (Joseph Haule) Jambo hili limeonekana kuzua taharuki kwa baadhi ya watu ikichukuliwa kuwa...
Back
Top Bottom