kuzalisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kuzalisha umeme wa ziada wakati huu, tuzime mashine za ziada tuhifadhi maji ukame unakuja

    Viongozi wetu wanatuambia sasa mashine 3 kati ya 9 za bwawa la umeme la Nyerere zinazalisha umeme na inavyoonekana mashine 1 hadi 2 zinazalisha umeme wa ziada ambapo ni 235MW kila moja. Taarifa za TMA zinaonesha kutakuwa na ukame kuelekea mwisho wa mwaka hadi mwanzo wa 2025. TANESCO ili...
  2. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Kitabu; Usimamizi wa fedha binafsi; mwongozo wa kupata, kutunza na kuzalisha fedha ili kuwa huru

    Rafiki yangu mpendwa, Umewahi kujiuliza kwa nini watu wawili, wanaoweza kuwa wanafanya kazi au biashara zinazofanana na kuingiza kipato sawa, mmoja anaweza kuwa vizuri kifedha na mwingine vibaya? Au umewahi kujiuliza kwa nini watu ambao kazi zao za kila siku wanahusika na simamizi wa fedha...
  3. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kuzalisha vioo Tanzania yawasha mitambo, itatumia malighafi za Nchini kwa 80%

    Kampuni ya KEDA (T) Ceramics Co. Ltd imefanya uzinduzi wa awali wa kuwasha mitambo ya kiwanda hicho kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, leo Agosti 19, 2024. Uzinduzi huo umefanywa na baadhi ya viongozi wa Kampuni pamoja wa Wafanyakazi wao wakiongozwa na Mkurugenzi wa Ceramics Co. Ltd, Wayne Zhong...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Kampuni ya Tembo Nickel Yafanikiwa Kusafisha na Kuzalisha Madini ya Nikeli, Shaba na Kobati Kwenye Kiwanda Kilichopo Kabanga, Ngara.

    WAZIRI MAVUNDE: TEMBO NICKEL YAFANIKIWA KUSAFISHA NA KUZALISHA MADINI YA NIKELI, SHABA NA KOBATI KWENYE KIWANDA KILICHOPO KABANGA, NGARA, HII NI HABARI NJEMA Kampuni ya Tembo Nickel ambayo Serikali ya Tanzani ni mbia, imepata mafanikio ya kihistoria - kwa mara ya kwanza! Tembo Nickel kupitia...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MORUWASA: Tuna upungufu wa uzalishaji maji kwa 49% ndio maana Morogoro kuna mgao

    Mkurugenzi wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira wa MORUWASA, Mhandisi Thomas Ngulika akielezea hali ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Morogoro amesema changamoto kubwa inayosababisha upungufu wa maji Mkoani hapo ni uzalishaji mdogo mbao hauendani na mahitaji husika Amesema “Mahitaji...
  6. S

    JamiiForums Tanzania CCM itakuja kugawanyika na kuzalisha chama kingine cha upinzani na hapo ndo itakua mwanzo wa upinzani imara

    90% ya watanzania wote ni ccm. ukichekiki mwenendo wa ccm watu wengi wanataka vyeo vya kuteuliwa au kuchaguliwa kwa kura. CCM kuna watu wengi sana ambao wanakosa teuzi ila wanavumilia tu.kwa machungu makada wote wa ccm wazee kwa vijana shabaha yao ni teuzi ili watafune keki ya nchi tatizo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namna Tanzania inavyoweza kuzalisha wataalamu bora katika vyuo vya sayansi na teknolojia nchini

    Tanzania tumekuwa na vyuo vikuu mbali mbali lakini bado hatufanyi vizuri kimataifa na kuzalisha wanasayansi ambao wanategemea kusubiri ajira na sio kugundua mambo. Hivyo serikali inatakiwa kuhakikisha inasimamia kikamilifu namna ambavyo elimu hiyo hutolewa. Mfano. Mwalimu anapotoa assigment kwa...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mabwawa ya Tanzania hayajengwa kukabiliana na mafuriko, bali kuzalisha umeme tu

    Mto Rufiji, unaoishia katika pwani ya kusini-mashariki mwa Tanzania, ulikumbwa na wimbi kubwa la mafuriko Aprili 2024. Mafuriko haya yalisababisha vifo vya kusikitisha na kuathiri watu 88,000. Zaidi ya hekta 28,000 za mazao ziliharibiwa. Tanzania ina historia ndefu ya ujenzi wa mabwawa, kuanzia...
  9. chakii

    JamiiForums Tanzania Serikali msizime mitambo ya kuzalisha umeme

    Nimemsikia Waziri wa Nishati Bw. Biteko akisema Serikali imelazimika kuzima mitambo ya kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mwl Nyerere kwa kuwa matumizi ya umeme nchini ni madogo kuliko uzalishaji. Nataka nimwambie Waziri Biteko kauli yake ya kuwa matumizi ni madogo SIYO KWELI bali ni kwamba UNIT...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuwasaidia Wajasiriamali Kuzalisha Bidhaa Bora Ili Kupata Soko la Uhakika

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amesema kuwa mpango wa Serikali katika kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika. Mhe. Kigahe amabainisha hayo Aprili 16,2024 katika Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma wakati akijibu swali la msingi la...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo malambo makubwa zaidi ya kuzalisha umeme katika Afrika

    Hii ni orodha ya malambo kumi makubwa katika Afrika kwa kuangalia kiasi cha umeme yanachozalisha: 1. The Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) – 6,450 MW -Ethiopia 2. Aswan High Dam – 2,100 MW-Misri 3. Cahora Basa Dam – 2,070 MW-Msumbiji 4. Gilgel Gibe III Dam – 1,870 MW-Ethiopia 5. Inga Dams...
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Yanga robo fainali klabu bingwa: Pacome Zouzoua mtambo wa kuzalisha mabao, hana baya

    Ushindi wa magoli 4-0 wa Yanga dhidi ya CR Belouizdad umechangiwa kwa ukubwa na Pacome Zouzoua aliyeonyesha performance nzuri sana yenye spirit ya hali ya juu sana katika siku yake ya "Pacome Day" ilikuwa ni shoo ya Pacome Zouzoua aliyeonyesha kiwango kikubwa kwenye mchezo huo akiwapa raha...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tanesco Temeke: Umeme upo wa kutosha, shida miundombinu iliyopo haiwezi kutawanya umeme kwa wakati mmoja

    Kama ulikuwa unafikiria kwamba baada ya umeme wa bwawa na Nyerere kuanza kupatikana basi matatizo ya mgawo wa umeme yatakuwa yamekwisha, basi sasa ni wakati wa kubadili mawazo yako. Tanesco wanasema kwamba, mgawo wa umeme Tanzania kimsingi hautokani na ukosefu wa umeme wa kutosha, bali ni kwa...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mafuta na gesi Tanzania afanikiwa kuzalisha gesi kutoka kwenye kitalu chake mwenyewe na kuandika andiko linaloelezea kile alichokifanya

    Mtaalamu wa mafuta na gesi Tanzania, bwana Elia Wilinasi ameitendea haki field yake ya mafuta na gesi baada ya kuzalisha gesi kutoka kwenye kitalu chake mwenyewe na kufanikiwa kuandika andiko zima ya kile alichokifanya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msumbiji kujenga Bwawa la kuzalisha umeme. Litakamilika kabla ya JNHP

    MAPUTO, Msumbiji: MSUMBIJI imesaini mkataba na muungano unaoongozwa na kampuni kubwa ya umeme ya Ufaransa EDF kujenga mradi mpya wa kuzalisha umeme wa Mphanda Nkuwa wenye thamani ya Dola bilioni 5. Bwawa na kiwanda cha kuzalisha umeme wa maji kitajengwa kando ya mto Zambezi katika jimbo la Tete...
  16. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO wataweza kuendesha Mradi wa kuzalisha umeme wa Rufiji kwa faida au tutatafuta wawekezaji wakuja kuusimamia?

    TPA wameshindwa kuendesha bandari na sasa imekodishwa kwa wawekezaji. SGR imekwama kukamilika kwa wakati kwa nchi kukosa wasimamizi wa ujenzi wenye ujuzi wanaothamini ukamilikaji wa miradi kwa wakati kuepusha hasara au kuongezeka kwa gharama Mwendo kasi wamejenga barabara nyingi huko DSM...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri kigahe: tbs, tmda & sido elimisheni wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amewaagiza wataalam wa uthibitisho wa ubora kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS), TMDA na SIDO kuwaelimisha wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora. Mhe. Kigahe amebainisha hayo Oktoba 18, 2023 alipozindua maonesho ya...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mashine 6 za kuzalisha umeme Kituo cha Ubungo 1 zapata hitilafu, Naibu Waziri atoa maelekezo kwa TANESCO

    Naibu Waziri Nishati, Judith Salvio Kapinga ametembelea vituo vya Kuzalisha Umeme, Ubungo 1 na Ubungo 2 ili kuona hali ya uzalishaji wa umeme katika vituo hivi kwa maelekezo ya Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko. Naibu Waziri anazungumza Kwenye Kituo cha Ubungo 2, mashine...
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania KWELI Roque Jose Florencio alikuwa Mtumwa aliyetumika kama dume la mbegu kuzalisha watumwa wenye nguvu

    Inadaiwa huyu jamaa bhana enzi za utumwa, alitumika na masta wake kama mbegu ya kuzalisha watumwa wenye nguvu. Inadaiwa kutokana na kuwa na nguvu, umbo maridadi na urefu wa futi 7 hivyo masta wake alimpa upendeleo wa kipekee wa kumpunguzia majukumu mengi huku kazi yake kubwa ilikiwa ni kulala na...
Back
Top Bottom