Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 949
- 2,865
Ushindi wa magoli 4-0 wa Yanga dhidi ya CR Belouizdad umechangiwa kwa ukubwa na Pacome Zouzoua aliyeonyesha performance nzuri sana yenye spirit ya hali ya juu sana katika siku yake ya "Pacome Day" ilikuwa ni shoo ya Pacome Zouzoua aliyeonyesha kiwango kikubwa kwenye mchezo huo akiwapa raha mashabiki huku akipiga chenga mabeki watatu hadi kipa na kutoa assist ya bao.
Yanga imetinga hatua ya robo fainali klabu bingwa barani Afrika huku bado wakiwa na mchezo mmoja ambao sasa utakuwa wa burudani tu kwa mashabiki,niseme tu Yanga imetinga robo fainali bila bwana majini Mayele,No top scorer Mayele,no MVP Bangala,No top defender Djuma,No best Midfielder Feisal,No best Winger Morrison,No Profesa Nabi,and No Problems,hizi ni Salaam kwa bwana Majini Mayele.
Yanga ndio timu ya kwanza kuifunga timu ya waarabu mabao mengi 4-0 ikiwa pia ndio timu pekee iliyofunga magoli mengi kwe hatua ya makundi,kipigo hicho cha aibu kilimuacha kocha wa Cr Belouizdad akilia na al manusula ampige mchezaji wake na kopo la juice baada ya mchezaji huyo kumlaumu kocha huyo kwa kumuacha benchi huku timu yake ikifungwa 4-0
Shukrani nyingi kwa "attack minded midfielder" Pacome Zouzoua ambaye harakati zake za hatari kwa mpinzani ziliwachanganya Cr Belouizdad na kutepeta, shukrani kwa wafungaji Mudathir Yahya,Aziz Ki, Kennedy Musonda na Joseph Guede,Salamu hizi ziende kwa Al Ally tunapokwenda kwao kuwapiga hamsa,tano,v.Pacome hana baya,hata akikosea hasilaumiwe,Pacome halaumiwi,akilaumiwa basi kwa vii pasi za magoli ya kuudhi sana.
@#PacomeDayImefana