kuzalisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, karakana ndogo ya kuzalisha ‘transformer’ ndogo za umeme inaweza kuhutaji mtaji wa kiasi gani?

    Mfano karakana ya kawaida tu kama hiyo iliyopo kwenye video hapo, naweza kuikamilisha na ikaanza uzalishaji kwa milioni 50? Na je, wataalam kutoka VETA wapo nioweza kuwajiri na wakafanya huu uzalishaji? Na je, kuhusu soko, Tanesco bado wana sera ya kununua bidhaa za ndani kwanza kabla ya vya nje...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Juu umezimwa tena kwa Matengenezo

    Kwa mujibu wa Taarifa ya Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) mtambo huo umezimwa kuanzia leo Februari 23, 2023 hadi saa 6 usiku Februari 24, 2023 Maeneo yanayoathirika ni Chalinze, Mboga, Ruvu Darajani, Ruvu JKT, Vigwaza, Mlandizi, Mbwawa, Visiga, Maili 35, Misugusugu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunatarajia kuzalisha MW 5,000 mwaka 2025

    Leo katika hafla ya utiaji saini mikataba yenye thamani ya shilingi Trilioni 1.9 ya kuongeza usambazaji wa umeme kwa wananchi na maeneo ya kimkakati. Waziri wa Nishati January Makamba alisema Serikali inamkakati wa kuongeza uzalishaji umeme "Tunaposema tunazalisha umeme wa Megawati 1,700 na...
  4. Ntak

    JamiiForums Tanzania Ni matilio gani bora ya kufungia maduara ili kuzalisha kwa ufanisi?

    Habari zenu wakuu, niko kanda ya ziwa huku kwenye mgodi x, kazi kubwa ninayofanya ni kununua mawe na kwenda kusaga mwaloni, kukamua na kuuza marudio. Miongoni mwa changamoto kubwa zinawakabili wachimbaji wa mgodi niliopo, ni ufungaji wa maduara kwa kutumia matimba/miti. Kitendo cha kufungia...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Kiwanda kikubwa cha kijeshi Urusi chatiwa kiberiti

    Putin alipokua anapiga vyanzo vya umeme kule Ukraine, hakujua na kwake sio mbali kihivyo, kwamba hakufikiki, haya. --- Another suspicious fire has started in Russia as the country struggles amid the Ukrainian war. The military-linked Zvezda engineering plant in St Petersburg caught ablaze –...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kwenye miradi ya kuzalisha umeme ya gesi na mafuta mpaka iwe chanzo cha kuibia Watanzania na kuwapora nishati ya umeme?

    Kwa nini watawala wasio na nia njema na CCM hawataki mradi wa JNHP ukamilike na kutatua kero ya umeme hapa nchini? Kisingizio kinakuwa hali ya hewa. Tangu mlete miradi ya na majenereta ya mafuta na gas tukawa tunaibiwa na Dowans Aggrekoz, Iptl na utapeli wa Richmond nyie CCM vibaka mbona hamna...
  7. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Tanesco Kama mnaandaa hoja za kupiga dili kupitia mradi wa dharula wa kuzalisha umeme nazani mlishapata. Choteni mahela mtutoe kwenye mgao huu mkali.

    Kwanza hii nchi inawasomi wa kutosha. Inamaana hawakujiandaa kabisa kwa chochote kuhusu umeme maji yakipungua? Kwa uzoefu mgao ukiwa mkali hivi ujue Kuna Jambo linatafutwa. Mikataba ya haraka haraka ya Bei juu iliyojaa utata inataka kupitishwa ili watu wapige mahela. Kila kitu kimekamilika...
  8. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Huko Nyakato Mwanza tuliambiwa kuna mitambo ya kuzalisha MW 80 kwa kutumia dizeli. Kwanini sasa isiwashwe kwenye kipindi hiki cha uhaba?

    Nadhani ni kwenye awamu ya nne ya JK, mitambo ya kuzalisha MW 80 ilisimikwa huko Nyakato Mwanza ya kutumia mafuta ya dizeli kwa gharama ya mabilioni mengi ya pesa. Mahitaji ya umeme ya jiji la Mwanza hayazidi MW 3, hivyo MW hizo 80 zinatosha kwa matumizi ya kanda yote ya Ziwa Victoria ie mikoa...
  9. Mapand

    JamiiForums Tanzania Mchungaji aiomba Serikali kuzuia wananchi kuzalisha pombe za asili

    Habari wakuu...Katika hali ambayo kwa upande wangu nimeiona siyo ya kawaida Askofu mstaafu wa kanisa la Tanzania assemblies of God(TAG) Mch.Glorious shoo ameiomba serikali kuwazuia wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kutoendelea na uzalishaji wa pombe za asili na badala yake mazao yanayotumika...
  10. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika wa kuzalisha mkaa mbadala

    Habari nyote. Mimi ni Mjasiriamali na hivi karibuni nimeanzisha shughuli ya kuzalisha Mkaa mbadala kwa kutumia unga wa mbao, chenga za mkaa na makaratasi. Nahitaji Mtu au Watu wa kushirikiana nao, ikiwezekana Mtu Mwenyeji au aliye na wenyeji maana mimi sio Mwenyeji sana hapa Dar. Ninaamini...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nyerere alituuza na kuzalisha umasikini

    Habari ndugu wanajamii. Aisee kwanza Mimi Sio mtanzania ni mtanganyika. Kama Zanzibar ipo iweje Tanganyika? Je, mzanzibar ni mtanzania?? Hapa ndo utaona mwalimu Nyerere pamoja na sifa mnazompa ni batili. Huyu BABA alijenga mfumo wa nchiiii kutegemea mtu mmoja Yaani watu milioni 60 mnategemea...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ulikuwaje Ulivyokuwa Mtoto? Hivi ndivyo nilivyokuwa!

    ULIKUWAJE ULIVYOKUWA MTOTO? HIVI NDIVYO NILIVYOKUWA! Anaandika, Robert Heriel Shahidi! Moja ya sababu kuu zilizonifanya nikiwa mdogo nisipende kusafiri Kwenda kwa Ndugu Mjini, ni sababu ya Uvivu wangu. Nilikuwa mtoto mvivu wa kazi hasa za Kuosha vyombo😊, sipendi kutumwa tumwa hasa nikiwa na...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hii ndio mashine ya kuzalisha matairi ya pikipiki kwa kutumia takataka, Tz hazijafika bado?

    Kwakuwa mahitaji ya tairi za pikipiki na makubwa nchini Tz, Ke, bado hatuna hii mashine? Video ina maelezo
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mtoto wa miaka 14 anayemiliki kiwanda cha kuzalisha breki za pikipiki, tunaweza kuiga kwa hapa Tz?

    Mahitaji ya ‘brake shoe’ za pikipiki ni kubwa mno, tunaweza kuokoa mabilioni yanayotumika kuziagiza toka nje ya nchi na kutatuabtatizo la ajira kwa kuwapa vijana mazingira mazuri ya kufanya ‘start ups’, tozo ni kikwazo kikubwa kwa wajasiriamiali. Tuone kama tuna la kujifunza kwa huyu mtoto...
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni lini SIDO wataunda mashine hii ya kuzalisha ‘Sprocket’ za pikipiki?

    Soko la ‘Sprocket’ za pikipiki ni kubwa sana Tanzania, na uzalishaji wake ni rahisi na unawezekanika kwa teknolojia rahisi sana. Je, ni lini SIDO wataanza kuunda na kusambaza mashine na ujuzi huu kwa maendeleo ya taifa letu? Sehemu ya tozo itumike kwenye R & D badala ya kujenga Ikulu hadi...
  16. Diversity

    JamiiForums Tanzania KWELI Tanzania yaingia mkataba na Falme za Kiarabu kuzalisha Umeme jadilifu megawatt 2000

    Tanzania imeingia mkataba na Falme za Kiarabu kuzalisha Umeme jadilifu megawatt 2000. Kukamilika kwa miradi hii kutapelekea Bei ya Umeme kupungua sana.
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzalisha zaidi ya ng’ombe 300,000 kwa njia ya uhawilishaji

    Serikali imepanga kuzalisha zaidi ya ng’ombe 300,000 kwa njia ya uhawilishaji ili kuongeza ubora wa mifugo na tija kwenye uzalishaji pamoja na kupunguza migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki ameyasema hayo jijini Mbeya alipokuwa anapokea dume...
  18. LAETUS

    JamiiForums Tanzania SoC02 Changamoto ni fursa; Uchafu ni fursa kwa kuzalisha umeme, gesi ya kupikia, vilainishi pamoja na mbolea yenye virutubisho

    Uchafu ni kitu chochote ambacho hakina matumizi kwenye mazingira; mfano chupa zilizoishiwa matumizi, karatasi, makapi ya mazao mbalimbali,majani ya matunda, mabaki ya vyakula na vinginevyo. Kwa hiyo kutokana na uchafu, mazingira yanakua sio safi na salama kwa viumbe hai ndani yake. Asilimia 37%...
  19. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nafasi ya elimu ya Tanzania katika kuzalisha wataalamu wa Kiswahili duniani

    Kiswahili ni miongoni mwa lugha za kibantu zinazokua kwa kasi barani Afrika na duniani kwa ujamla ikiwa na watumiaji zaidi ya milioni 120 Kama alivyosema Audrey Azoulay " ikiwa na wazungumzaji kati ya milioni 120 na 150 ,lugha ya kiswahili ni moja ya lugha zinazoshamiri kuvuka mipaka ya kule...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Avocado oil press machine

    Salama humu ndani! natafuta mashine ya kukamulia mafuta ya parachichi yenye uwezo wa kuzalisha kati ya 10 na 20KG kwa siku.
Back
Top Bottom