kuwepo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuwajengee watoto wetu kuta za kuwalinda na mabaya lakini kuta zisije kuwa jela wakija kuishi maisha tofauti na tunayowazoesha

    Mtoto anakosea na kurudia na humchapi kwa kuiga dunia ya mbele kwamba asiumie lakini mzazi anajizima data kwamba hapa bongo adhabu zake huwa ni vipigo kwa mtu anaezingua, mtoto kaiba huko akidhani kwamba ataonywa kama ilivyo kwa daddy na mommy, matokeo yake anapokea kichapo kizito sana ambacho...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mlango umefungwa hakujawahi kuwepo na safari ya mwezini

    Mwenyezi ni Mkubwa na daima uwongo hauwezi kukaa juu ya ukweli, Gwiji mkuu wa teknolojia na safari za anga anayejitegema Ellon Musk ambaye pia ni mmiliki wa satelite za space X ameufunga mlango huo baada ya kusema safari ya kwenda mwezini mwaka 1969 ilikuwa ni kitu kisicho cha kawaida na ni kama...
  3. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nani anajua historia ya nini chanzo cha kuwepo kwa mti wa Xmas?

    Wakati tukielekea kwenye sherehe kubwa inayoadhimishwa na waumini wa dini ya kikiristo ulimwenguni kote Christmas. Nimekuwa nikiona watu wanapamba nyumba zao na mti almaarufu Christmas tree. Naomba kujuzwa historia ya matumizi ya xmass tree, kuna uhusiano gani wa tukio lenyewe na mti huo.
  4. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuwepo kwa single mother

    Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wanawake wanao lea Watoto wenyewe katika jamii zetu. Sio kwamba ni sifa mbaya lahasha, bali ni moja ya mfumo unaoanza kuzoeleka na kufanywa kuwa kama ndio mfumo wa Maisha. Na nikisema wanalea wenyewe namaanisha bila kuwa na baba kama msimamizi. Lengo kuu la...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge ya Miundombinu yataka kuwepo kwa haki ya kusahaulika

    Akiwasilisha mapendekezo Juu ya Muswada wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso amesema baada ya kufanya mapitia ya muswada huo na kusikiliza maoni ya wadau mbalimbali wakiwemo JamiiForums amesema ni muhimu kwa sehria hiyo kutambua haki ya...
  6. May Day

    JamiiForums Tanzania Kuwepo utaratibu kuwalinda watoto viwanjani wakati wa mechi

    Mara kadhaa nimeshuhudia watoto wadogo walioambatana na wazazi au walezi wao uwanjani wakiwa katikati ya watu huku akiwa amezungukwa na ile midude wanayopuliza almaarufu kama vuvuzela. Nilikuwa sijui kero ya haya madude mpaka wakati fulani Bwana mmoja alikuja nalo mahali nilipokuwa nafuatilia...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hii ni milio mbalimbali (Beep noise) inayoashiria kuwepo hitilafu kwenye computer yako

    Mara nyingi kwenye kompyuta kumekuwa na milio mbalimbali kuonyesha kwamba Kompyuta kuna hitilafu mbalimbali, na hali hii inapotokea inakuwa ni vyema kutambua tatizo lipo sehemu gani hasa. 1. Sauti kidogo tu (very short beep) sauti hii huonesha kuwepo kwa tatizo kwenye Ubaomama (motherboard) Pia...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nashauri kuwepo pia kwa Mkapa Day, ameifanyia hii nchi makubwa sana, isiwe mapumziko

    Tuna Nyerere Day kuenzi mambo makubwa aliyotufanyia Nyerere (legacy) kama vile Uhuru wa nchi yetu pamoja na umoja na mshikamano Lakini Nyerere pia alikuwa na mapungufu makubwa yaliyopelekea nchi kuwa na hali mbaya sana kiuchumi Mtu aliyechukua maamuzi yaliyofufua uchumi wetu ni Mkapa, mkapa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa kanda ya ziwa hawana uelewa wa kuwepo kwa makabila mengine nchini

    Niko kanda ya ziwa, Nimeshangazwa na kitu kimoja Watu huku hawajui kama kuna makabila mengine ukiacha yale yanayopotikana kanda yao Ukisema wewe ni mgogo utaulizwa wagogo kwao ni wapi?makabila makubwa kama wasambaa,wahehe,wangoni,walugulu hawajulikani huku. Watu hawajuihata Tanga iko wapi...
  10. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Kusudi la mimi kuwepo duniani ni lipi?

    Ndugu zangu wanajamii forum,kwanza napenda kuanza na Salam ile pendwa kazi iendelee Hili swali linaibuka kutokana na watu kujikuta ghafla tupo duniani,bila ya kikao cha makubaliano na wazazi wako wote kukuleta hapa duniani. Basi tutaishi mwisho wa siku ghafla tutaondoka(kufa) bila ya...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Unapokuwa unawaambia watu kuwa “Forex inalipa”, basi kuwepo na uhalisia japo kidogo

    Hii ni ofisi ya wanaochimba mgodi wa utajiri kwenye Forex. Yale mambo ya ma Bitcoin, na kadhalika, ku trade na kila aina ya utajiri rahisi ndio hapa training centre yao, namna ya kuupata utajiri kirahisi hufundishwa hapa.
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yakiri kuwepo uhaba wa vifaa tiba vya Saratani na Kisukari

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema watu 25,000 walifariki kwa ugonjwa wa Saratani ndani ya mwaka 2020 pekee na kuufanya ugonjwa huo kuwa tishio zaidi ya Uviko-19 ilioua watu chini ya 1,000 hadi sasa. Waziri Ummy pia amekiri kuwepo kwa uhaba wa vifaa tiba na dawa kwa wagonjwa wa Saratani na...
  13. Mfilisiti

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hakumuua Shetani? Kuna haja sasa ya kuwepo na Bibilia ya Shetani?

    Amani ya Bwana na iwe nanyi nyote, Wakuu moja kwa moja kwenye mada nina maswali yangu yenye aa,ba na che, ambayo nitayawasilisha kwenye huu Uzi na kama una uelewa nayo ni vyema ukayajibu. 1:MUNGU wetu ni mweza wa yote, Je kwanini hakumuua Shetani? Badala yake akamshusha Duniani akae pamoja na...
  14. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Sensa ya watu na makazi: Maswali ambayo hayakupaswa kuwepo kwenye dodoso

    Hii ni sensa ya watu na makazi, lengo kuu la sensa ni kupanga maendeleo ya muda mrefu. Unapoingiza siasa kwenye dodoso utaishia kupata data ambazo ni useless ndani ya mwaka tuu. Pia kuna data zingine ambazo tayari serikali na vyombo vyake wanazo, sikuona haja ya kuwepo kwenye dodoso, ni...
  15. Tonytz

    JamiiForums Tanzania SoC02 Hongera Serikali kwa mikopo ya Halmashauri: Kuwepo na elimu zaidi, ufatiliaji na uboreshwaji wa kanuni wenye kuendana na mazingira na uhitaji

    Utangulizi Mkopo ni fedha zipatikanazo kwa makubaliano ya kuzirudisha (maana kutoka kamusi ya Kiswahili sanifu, toleo la tatu-2014). Lakini kuna mikopo ya thamani kama vile nyumba, magari na ardhi. Mpango wa pili wa Taifa wa maendeleo wa miaka mitano(2016/17-2020/2021), pamoja na malengo...
  16. Tonytz

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kuwepo na sera ya elimu nchini Tanzania yenye kuboresha na kutekelezeka kwenye vituo vinavyotoa elimu katika mfumo usio rasmi(tuition centers)

    Utangulizi Sera ni matamko yatokanayo na masuala ya msingi yenye dhamira ya kuelekeza namna ya kukabili changamoto kwa ajili ya maendeleo katika jamii. Aidha, inaweka wazi dira na dhima na kuelekeza juu ya utekelezaji wa majukumu ya wizara, idara, taasisi, sekta binafsi na jamii kwa ujumla. Sera...
  17. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hatujachelewa kwenye sensa kuwepo na kipengele cha uhitaji wa katiba mpya .

    Sensa ni data Kama ni data kuna uhitaji wa kuwepo kipengele cha kupata mawazo ya wananchi kuhusu katiba mpya na mgombea huru wa uchaguzi wa uraisi . Siasa zimezidi sana Raisi,wakurugenzi,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya ....kila mahali...siasa. au siyo ndungu zangu.
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Paroko Msaidizi wa Parokia ya Magomeni (Dar), Christopher Fosudo afukuzwa nchini, Askofu Mkuu atoa maagizo

    Taarifa ikufikie kuwa hili ndilo tamko lililotolewa na Chancellor Fr. Vincent Mpwaji wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, japokuwa kisa hakijatajwa lakini hizi ndiyo taarifa za uhakika kutoka katika kanisa hilo, jisomee mwenyewe uone Inasomeka hivi... Waheshimiwa Mapadre Wote, Jimbo Kuu la Dar es...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Sensa kufanyika bila watu kuwepo nyumbani haitaathiri zoezi?

    Nawaza kama siku ya sensa haitakuwa siku ya mapumziko, Je zoezi la sensa litaenda vizuri kweli? Nawaza kitofauti kwamba endapo watu hawatabaki nyumbani hasa hasa watumishi ambao baadhi ya familia hawana mtu anayebaki nyumbani hii imekaaje kupata taarifa za familia husika. Hii siku waifanye iwe...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Taliban wanadai hawakujua kiongozi wa Al-Qaeda aliyeuawa alikuwa akiishi katika Mji wa Kabul

    Baada ya kuuawa kwa aliyekuwa kiongozi wa Kundi la Al-Qaida, Ayman- Zawahiri katika Mji wa Kabul ambapo Jeshi la Marekani lilitumia ndege zisizo na rubani "Drone", Uongozi wa Taliban umetangaza kuwa haukuwa na taarifa za uwepo wa kiongozi huyo katika mji huo. Tangazo hilo limetoka baada ya Rais...
Back
Top Bottom