kuwepo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli, CCM ingewezaje kuwepo madarakani mpaka leo hii bila uhuni na wahuni wake?

    Kwa sasa kumekuwa na vita kali ya maneno, dhihaka, majigambo, vitisho na kebehi mbalimbali baina ya makundi mawili ndani ya CCM, kundi moja likiunga mkono utawala uliopita wa Magufuli (huku likikosoa vikali utawala wa sasa wa Samia) dhidi ya kundi linalounga mkono utawala wa sasa wa Samia (huku...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Umuhimu wa kuwepo kwa Wanajeshi Wanawake katika Majeshi ya Ulinzi duniani

    Nipo hapa nchini Malawi ambapo ndipo yaliko Makazi yangu na nimetokea Kuvutiwa na Kumpenda Askari Mmoja wa Jeshi la Wananchi wa Malawi mpaka Kutamani Siku moja aje kuwa Mke wangu. Hata hivyo KEROZENE nimekatishwa Tamaa na Mmoja wa Wanajeshi wa hapa Malawi nilipo baada ya Kukitahadharisha na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Musa utaona ya Bunge kuoneshwa LIVE leo bila uwepo wa wapinzani bungeni

    Nimeona kwenye mitandao mbalimbali watu wakianza kusifia serikali ya awamu hii kuruhusu bunge live kama njia moja wapo ya kusahihisha makosa yaliyokuwa yanafanywa na serikali ya "Mwendazake". Jambo ambalo pengine hao wasifiaji wanatakiwa kuelewa kama kweli "hawajatumwa" kuwa kilichosababisha...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Livingston Lusinde: Amani na utulivu haviwezi kuwepo kama kuna wanaomsema vibaya Magufuli

    Mbunge wa Mtera Livingston Lusinde almaarufu kama Kibajaji, amewashukia kama mwewe Wabunge na Viongozi wa Serikali 'wanaomsema Vibaya Magufuli'. Akiongea kwa jazba huku na kutokwa povu, alijikita kwenye hoja hizi: 1). Amani na utulivu haviwezi kuwepo kama kuna baadhi ya Watanzania na Wabunge...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wamachinga walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo

    Makelele ya kwamba wanaonewa sio kweli, serikali ipo makini sana na inajua inachokifanya na kwa faida yao hao wanaojulikana kama wamachinga. Ukweli mchungu na unauma, wafanya biashara hawa kwanza ni wakwepa tozo wakubwa, japo wana vibali lukuki, vingi ni feki na wanapobanwa hutoa chochote ili...
Back
Top Bottom