Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,779
- 18,747
Tuna Nyerere Day kuenzi mambo makubwa aliyotufanyia Nyerere (legacy) kama vile Uhuru wa nchi yetu pamoja na umoja na mshikamano
Lakini Nyerere pia alikuwa na mapungufu makubwa yaliyopelekea nchi kuwa na hali mbaya sana kiuchumi
Mtu aliyechukua maamuzi yaliyofufua uchumi wetu ni Mkapa, mkapa aliupandisha uchumi wetu mara dufu na kupandisha pato ka taifa kwa mara tatu (three fold) kwa miaka kumi.
Sera zake za ubinafsishaji na uwekezaji japo zilikuwa na kasoro lakini zilileta manufaa makubwa sana kwa nchi
Makampuni makubwa kama CRDB, Vodacom, NMB, TBL pamoja na taasisi muhimu za kiuchumi kwa nchi kama TRA zote ni matunda ya sera za Mkapa
Yafaa tumpe siku yake japo sio ya mapumziko