Kwanini Mungu hakumuua Shetani? Kuna haja sasa ya kuwepo na Bibilia ya Shetani?

Mfilisiti

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
342
1,551
Amani ya Bwana na iwe nanyi nyote, Wakuu moja kwa moja kwenye mada nina maswali yangu yenye aa,ba na che, ambayo nitayawasilisha kwenye huu Uzi na kama una uelewa nayo ni vyema ukayajibu.

1:MUNGU wetu ni mweza wa yote, Je kwanini hakumuua Shetani? Badala yake akamshusha Duniani akae pamoja na wanadamu,Je? Mapenzi ya MUNGU wetu kwa mwanadamu ni yapi?

(b) Kipi ni rahisi kumtoa mwanao wa pekee?? Na mwanae wa pekee ametolewa je dhambi zimeisha????Au kumuua Shetani ambaye tunaamini ndiyo chanzo cha uovu, je hili MUNGU hakuliona hili ili kusudi dhambi iishe?

2(a) Bibilia inasema MUNGU wetu ni MUNGU mwenye wivu, Je? Wivu sio viashilia vya kuwa na roho mbaya??? Mbona mwanadamu ukiwa na wivu au husuda inaonekana wewe ni mtu mwenye dhambi??? Sasa kama mwanadamu Wivu amerithi kutoka kwa muumba wake iweje wivu kwa mwanadamu ni kosa?(dhambi).

(b) Bibilia inasema Shetani(Lucifer) alikuwa ni Malaika mkuu wa kusifu na kuabudu,ndugu watumishi namaanisha alikua anasifu balaa sasa na hakujua chochote kuhusu dhambi, Je? Hiyo roho ya kujiinua kutaka kumzidi Muumba wake ilitoka wapi?

3: Bibilia inasema MUNGU akamuuliza Shetani unatoka wapi?
Shetani akajibu natoka huko Duniani,
Watumishi wenzangu hawa wanapata muda wa kukaa na kututeta sisi(inafikirisha)

Hivyo basi nadhani huu ni muda mwafaka wa kuwa na vitabu viwili,
Shetani hajapewa nafasi ya kujipambanua tu na kumwaga sera zake pia, huenda tungeyajua mengi yaliyofichika, hapa namaanisha kuwepo na Bibilia ya MUNGU na Bibilia ya Shetani.

Mwisho kabisa: Mimi mfilisiti ukinikuta na pokea sakramenti ya Bwana hutoamini kuwa ndiyo mimi?😀🙄 Mwisho wa siku haya mambo hayanabudi kutokea.
 
Iyo ni kwa upande wenu nyinyi kwa upande wetu cc tunajua lengo la kuumbwa kwetu sisi na majini ni kumuabudu tu muuba wetu hakuna kitu chengine na pia uwelewe sio majini wote ni waovu kuna wema pia kama tulivyo cc binadam.
 
Mkuu Naomba ufafanuzi kuhusu maswali yangu hapo juu👆
Essentially hayo sio maswali bali ni kumpangia Mungu cha kufanya. Hapo ndio panatia uvivu hata kuweka majibu ambayo ukijisumbua kidogo yako wazi. Shida ni kudhani unajua kilicho bora kuliko Mungu aliyeiumba akili yako. Kwa lugha rahisi kinaitwa kiburi au kupandisha mabega!
 
Iyo ni kwa upande wenu nyinyi kwa upande wetu cc tunajua lengo la kuumbwa kwetu sisi na majini ni kumuabudu tu muuba wetu hakuna kitu chengine na pia uwelewe sio majini wote ni waovu kuna wema pia kama tulivyo cc binadam.
Okay,kama lengo nikumwabudu Mungu iweje binadamu ana struggle kupata chakula ,yaani ile maana halisi ya kumwabudu Mungu haipo,ilitakiwa ukiamka asubuhi mwanadamu awe anasifu na kuabudu tu hadi usiku,badala yake mtu akiamka anawaza shida za Dunia,akilala anawaza unga hamna,
Utamwabudu vipi Mungu watoto wanalia njaa????
 
Amani ya Bwana na iwe nanyi nyote, Wakuu moja kwa moja kwenye mada nina maswali yangu yenye aa,ba na che, ambayo nitayawasilisha kwenye huu Uzi na kama una uelewa nayo ni vyema ukayajibu.

1:MUNGU wetu ni mweza wa yote, Je kwanini hakumuua Shetani? Badala yake akamshusha Duniani akae pamoja na wanadamu,Je? Mapenzi ya MUNGU wetu kwa mwanadamu ni yapi?

(b) Kipi ni rahisi kumtoa mwanao wa pekee?? Na mwanae wa pekee ametolewa je dhambi zimeisha????Au kumuua Shetani ambaye tunaamini ndiyo chanzo cha uovu, je hili MUNGU hakuliona hili ili kusudi dhambi iishe?

2(a) Bibilia inasema MUNGU wetu ni MUNGU mwenye wivu, Je? Wivu sio viashilia vya kuwa na roho mbaya??? Mbona mwanadamu ukiwa na wivu au husuda inaonekana wewe ni mtu mwenye dhambi??? Sasa kama mwanadamu Wivu amerithi kutoka kwa muumba wake iweje wivu kwa mwanadamu ni kosa?(dhambi).

(b) Bibilia inasema Shetani(Lucifer) alikuwa ni Malaika mkuu wa kusifu na kuabudu,ndugu watumishi namaanisha alikua anasifu balaa sasa na hakujua chochote kuhusu dhambi, Je? Hiyo roho ya kujiinua kutaka kumzidi Muumba wake ilitoka wapi?

3: Bibilia inasema MUNGU akamuuliza Shetani unatoka wapi?
Shetani akajibu natoka huko Duniani,
Watumishi wenzangu hawa wanapata muda wa kukaa na kututeta sisi(inafikirisha)

Hivyo basi nadhani huu ni muda mwafaka wa kuwa na vitabu viwili,
Shetani hajapewa nafasi ya kujipambanua tu na kumwaga sera zake pia, huenda tungeyajua mengi yaliyofichika, hapa namaanisha kuwepo na Bibilia ya MUNGU na Bibilia ya Shetani.

Mwisho kabisa: Mimi mfilisiti ukinikuta na pokea sakramenti ya Bwana hutoamini kuwa ndiyo mimi? Mwisho wa siku haya mambo hayanabudi kutokea.
Kwanini ukishavimbirwa wali maharagwe unakuwa na kiburi cha uzima kiasi hicho?
 
Biblia ya shetani ipo tangu kitambo kabla hata ujazaliwa,hata kwa pdf unaidownload
 
Mungu ana wivu kwa mtu au kiumbe kinachotaka kuchukua mamlaka yake, mfano zumarid anaadhibika sasa, baba godi wa mwanza alishapotezwa hawezi rudi tena duniani, soon manabii wa uongo wanaolichafua kanisa kwa kuwaibia watu masikini wataanza kulipwa mshahara wao.
 
Kabla ya wanadamu majini yaliumbwa kwanza baada ya kugoma kumuabudu Mungu akaona na amuumbe Mtu kwa mfano wake. Majini yakaambiwa yamsujudie mwanadamu yakagoma ndipo uasi ulipoanza. Mungu akawapa wanadamu uwezo wa kuvitawala viumbe vyote vinavyoonekana na visiovyoonekana.
 
Je mwanadamu akiwa na wivu labda kwa sababu kazidiwa jambo Fulani ni dhambi?????
Wivu unazungumziwa ni ule wa kutaka kuchukua utukufu wa Mungu.
Wivu ni definition pana Sana kuna wivu wa maendeleo,wivu wa husuda au kijicho
 
Back
Top Bottom