Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,152
- 10,862
Mwenyezi ni Mkubwa na daima uwongo hauwezi kukaa juu ya ukweli,
Gwiji mkuu wa teknolojia na safari za anga anayejitegema Ellon Musk ambaye pia ni mmiliki wa satelite za space X ameufunga mlango huo baada ya kusema safari ya kwenda mwezini mwaka 1969 ilikuwa ni kitu kisicho cha kawaida na ni kama kuishi muda wa mbele ambao mtu hajaufikia au kurudisha muda nyuma teknolojia ambazo hazijafikiwa.
Baada ya fedheha hiyo ya karne kwa Marekani gwiji huyo amesema yeye kwa sasa anayo teknolojia ya kufika huko na kwamba sasa tutakwenda mwezini na tayari ameshaunda chombo chenye uwezo wa kubeba mpaka tani 100 kupeleka mwezini. Baada ya kukamilika na matayarisho madhumuni ni kujenga mji maalum wa kitalii huko mwezini.