kuuza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yaani Watanganyika tuwaombee viongozi wanaofisadi na kuuza bandari za Tanganyika! Haya ni majaribu

    Tuwaombee ili wazidi kuiba na kuuza rasilimali za Tanganyika?
  2. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuuza hii aina ya brush au anaefahamu mahali zinapoweza patikana, anifahamishe tafadhali

  3. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mtu akijishughulisha na kuuza madawa, utapeli, wizi huyo nae ni hustler/ mpambanaji?

    Hustler ni Mpambanaji au mtafutaji na hakati tamaa, akikata tamaa anazama chaka lolote lile kusaka Mabunda. Lakini je, hao mapusha, wezi, matapeli wanafaa kuitwa hustler?
  4. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Kila nikipiga ramli naiona Rwanda na Kagame kama dalali wa kuuza bandari zetu kwa DP World

    Rwanda ni nchi ndogo ya milima na isiyo na bandari pia ina idadi kubwa ya watu kulinganisha na eneo lake. Ni tofauti na Tanzania ambayo ni nchi kubwa ardhi ya kutosha mali asili kibao na ukanda wa bahari mkubwa wenye bandari nyingi. Rais Kagame ni mtu mwerevu sana kwenye kujenga uchumi wa nchi...
  5. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Makuwadi wa kuuza Bandari wanajaribu kutusahaulisha kupitia michezo

    Ni wazi tena pasipo shaka mpango wa kuuza Bandari zetu kwa Waarabu wa Dubai umekutana na upinzani mkali. Kwakuwa majibu na shaka shaka juu ya ufisadi huu uliotukuka umekosa majibu Makuwadi wamekimbilia Simba Day. Napendakuwahakikishia kwamba suala la kugawa Bandari zetu zote halitazimwa na...
  6. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Malema awashukia Viongozi wa Afrika Kusini kwa kuuza bandari ya Durban. Tanzania tujiangalie

    Kijana Machachari wa South Africa ameichana chana nchi yake kwa kuwaita watawala wajinga baada ya kuuza Bandari ya Durban kwa tamaa ya Pesa tu na haukuna kingine ikipita miaka kadhaa tunasema tumetawaliwa.. Viongozi wabovu wanashindwa kuongoza nchi wanaharibu mali za nchi kwa kulindwa kisha...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kuuza duka la jumla

    Sifa za mwombaji 1. Kijana anayejituma 2. Anayejua kuandika na kusoma 3. Mkazi wa kigamboni 4. Atakayeweza kufanya kazi kwa siku sita za wiki 5. Mwenye mdhamini aliyemkazi wa kigamboni na awe na mali isiyohamishika 6. Mwenye kitambulisho cha NIDA TUWASILIANE HAPA KWANZA*
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania CCM imeamua kuuza nchi harakaharaka kabla hawajatolewa madarakani 2025

    Umofia kwenu ... Tukianza na Lolliondo ambapo UAE wameshapamiliki na panasomeka ni eneo lao..... Wamasai wamelazimishwa kuondoshwa kwa nguvu na kisiasa Songosongo ilitumika kuokoa maisha ya prince. Sasa tunapangiwa mpaka bei ya gesi Vitalu vya uwindaji vimegeuzwa arena za kutorosha wanyama na...
  9. comte

    JamiiForums Tanzania Mbowe, kama ubia ni kuuza waondoe Protea Hotel kwenye uendelezaji, uboreshaji, na uendeshaji wa hotel yenu ya Aishi Machame

    Protea Hotel Aishi Machame ni hotel inayo milikiwa kwa urithi na Freem A. Mbowe. Kwa ushauri wa mtu ambaye si busara kumtaja hapa, Mbowe aliwapa Protea Hotel waiiendeshe ikiwemo na maana watumie brand yao kumtafutia wateja kwa ujira wa mrahaba wa mapato. Kwa vile Mbowe anajua faida ya kuwa...
  10. warzone

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kuuza juisi za matunda

    Habari za humu jf, nina tafuta kijana (akiwa wa kike itakuwa vizuri) kwaajili ya kuuza na kutembeza juisi za matunda maeneo mbalimbali. Umri: Chini ya miaka 24 Location Dar es Salaam (Kigamboni) Mshahara: Makubaliano kima cha chini ni 150,000/= kwa mwezi (kwa kama akiweza kuuza angalau dumu 3...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kutoka chuo kikuu hadi kuuza dagaa

    Habari yako mwanajamii, nina imani ulipo unaendelea vema, kama haupo sawa Mungu akutangulie katika jambo lako. Leo tena nimepata muda wa ku-share vitu nilivyopitia katika maisha yangu. Mimi ni mzaliwa wa Nyanda za Juu Kusini (Songwe -Mbozi) nimesoma shule ya primary Songwe Mwaka 2008 na...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kinana: Rais wa Tanzania aliyekula kiapo hawezi kufanya jambo ambalo halina maslahi na nchi yake

    Baada ya Uvumi mkubwa wa kumhusisha Kinana na Kupinga uwekezaji wa Bandari Kwa DP World, hatimaye afunguka. Akihutubia mkutano wa hadhara Mkoani Mara Kinana amesema Watanzania wasiwe na Wasiwasi Kwa sababu Rais Samia ameapa kulinda na kuhifadhi Katiba ya Nchi hivyo hawezi kuwauza Kwa kufanya...
  13. ikhlas

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa

    Kwema wazee, natafta kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa awe na sifa zifuatazo Chini ya Umri wa miaka 25 Awe mzoefu wa biashara ya juice ya miwa hasa eneo la Kariakoo na Mbagala Awe na ujuzi wa kuifanyia service mashine Awe ameshapoint eneo la kufanyia kazi lenye mzunguko mzuri ...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza nchi iongozwe kwa mfumo wa kampuni, kila mwananchi anakuwa mwanahisa, na akitaka anaweza kuuza hisa zake kwa yeyote

    Rasimali na mali zote za nchi. (Kampuni) zifanyiwe tathmini na zipatiwa thamani ya fedha, jumla ya ‘assets’ za nchi zigawanywe kwa idadi ya waTanganyika wote, na kila mtu apewe hisa zenye thamani sawia, hivyo kila mwananchi ni mwanahisa wa kampuni ya Tanganyika. Kiongozi mkuu wa Kampuni ya...
  15. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania Simba tengenezeni rekodi yenu ya kuuza mchezaji bei ghali kumzidi Mayele

    Siku za hivi karibuni tumezoea kuwaona wazee wa Robo Fainali CAF aka mwakalobo aka kolowizad aka boss wa kununanuna wakipika data mbalimbali ili tu wawapiku wapinzani wao wa jadi ambao kwa sasa ndio talk of the country, Yanga. Sasa inasemekama Mayele kauzwa kwa takribani 2.8B, record ambayo...
  16. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Profesa Tibaijuka, Apson Mwang'onda na Mradi wa Kuuza Kigamboni kwa Marekani

    Hayati Apson Mwang'onda akisalimiana na Mwamba Kuna wakati Profesa Tibaijuka, Waziri wa Ardhi wakati huo, alikuwa anaratibu mradi kabambe wa Kigamboni. Wamarekani ndio walitaka kuujenga kwa mfumo wanaoutaka wao ili wautumie kwa namna wanavyotaka wao. Ndani ya kivideo cha awali kwa ajili ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata soko la kuuza mkaa mbadala? Ujuzi wa kuzalisha ninao, mwenye kujua soko anijuze tafadhali

    Hello wapendwa! Nina ujuzi wa kutengeneza mkaa mbadala wa kupikia! Lakini tatizo sijui wapi nitapata wateja! Naomba mawazo nifanyeje ili nipate wateja ili nianze kuzalisha bidhaa hii. Ujuzi ninao, vifaa na mashine zipo lakini shida ni wapi nitauza hii bidhaa! Kwasasa napotaka kuanza...
  18. tpaul

    JamiiForums Tanzania Wabunge walihongwa na DP World; ushahidi huu hapa!

    Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe na maneno mengi. Ukimsikiliza huyu mbunge kwa umakini utakubaliana nami pasi na shaka kwamba wabunge wa CCM walihongwa na kampuni ya DP World ili kuwauzia nchi. Inauma sana. Kumbe mkataba ulisainiwa tangu mwaka jana, sasa hawa wezi wanatuchora tu...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wabunge Watoa Hoja Kuishauri Serikali Juu ya Wakulima Kuuza Mazao Nje ya Nchi

    WABUNGE WATOA HOJA KUISHAURI SERIKALI JUU YA WAKULIMA KUUZA MAZAO NJE YA NCHI Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe amewaongoza wabunge wanaotokea maeneo ya wakulima na wafanyabiashara kutoa hoja ya kuishauri Serikali namna nzuri ya kuwasaidia wakulima wanaouza mazao...
  20. carnage21

    JamiiForums Tanzania Timu ya kwanza Tanzania kumiliki app,Timu ya kwanza Tanzania kuuza jezi online kwa zaidi ya 70k.

    Nakumbuka baada ya mafanikio makubwa 2012/13 viongozi wengi kutoka Halmashauri za Miji tofauti mikubwa na midogo, walisafiri kilomita nyingi kwenda Mbeya kujifunza jinsi gani Halmashauri ya jiji la Mbeya ilivyofanikiwa kuitengeneza @officialmbeyacityfc hadi kupata mafanikio yale! Namna...
Back
Top Bottom