kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zanzibar kuwa ya kwanza kutumia bandari ya Lamu kupokeza/transhipment mizigo ya kwenda Ughaibuni

    Hayawi hayawi huwa....sio kuongea ongea bila vitendo, kimsingi boresha miundo mbinu yako tu, wateja watakuja.... Tunaandaa mapokezi ya meli kutokea Zanzibar itakayopokeza kontena 63 kisha zipakiwe kwa meli kubwa bandarini na kusafiri kwenda Ughaibuni.... The Lamu port will handle its first...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kuna athari gani kutumia mayai/ nyama ya kuku wa kisasa?

    KUNA ATHARI GANI KUTUMIA MAYAI/NYAMA YA KUKU WA KISASA? . Kumekuwa na imani kwamba nyama au mayai ya Kuku wa Kisasa vina madhara mwilini. Madhara ambayo yamekuwa yakitajwa sana ni pamoja na kunenepa kupita kiasi, kupungua kwa nguvu za kiume, n.k. Imani hii imekuwa ikihusishwa na dhana kwamba...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana kutumia ardhi kubwa tuliyonayo kwa Kilimo

    Habari JF, Tanzania kama zilivyo nchi nyingine tatizo la ajira limekua sugu kwa vijana . Takwimu zinaonyesha kundi la vijana linaongezeka; kutakuwa na ongezeko la vijana kufikia million 15 kufikia mwaka 2030 tofauti na sasa ambapo idadi ni million 11. Hili ongezeko la vijana linaweza kuwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini tunateseka kwa kuendelea kutumia Kiingereza kama lugha ya kujifunzia?

    Nimerudi tena na hii hoja dhidi ya matumizi ya kiingereza kama Lugha ya kujifunzia. Umewahi soma riwaya za kiingereza na kiswahili? Kama umewahi, utagundua kuwa utatumia muda mrefu sana kusoma riwaya ya kiingereza kuliko ya kiswahili. Riwaya ya kiswahili unayoweza kusoma kwa siku mbili, ikiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Julius Malema afungiwa kutumia Twitter kwa muda

    Kiongozi wa upinzani wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) nchini Afrika Kusini bwana Julius Malema amezuiwa kwa muda kuandika katika akaunti yake ya Tweeter kwa kukiuka miongozo ya Twitter, vyombo vya habari vya ndani vimeripoti. Mbuyiseni Ndlozi, mbunge na mwanachama wa chama cha EFF...
  6. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Akamatwa kwa kutumia sare za JWTZ kuwatapeli watu

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikiliia Daniel Ruzinokwa kwa tuhuma za kukutwa na sare za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ambazo amekuwa akizitumia kufanya udanganyifu na matukio ya uhalifu katika mikoa mbalimbali nchini. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Simon...
  7. JamiiForums Tanzania Askari kuanza kutumia nyumba za kisasa za Kunduchi na Mikocheni

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene ameruhusu askari polisi kuanza kutumia nyumba za kisasa zenye uwezo wa kubeba familia zaidi ya 300 zilizopo eneo la Kunduchi na Mikocheni mkoani Dar es Salaam. Pongezi kwa Wizara na Serikali.
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Siyo vibaya viongozi wa dini kuwa wanasiasa

    Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 Mjini Morogoro wakati akifungua mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) aliposema wakati mwingine dini na siasa vinaenda sambamba. Amesema licha ya kuwa unaweza kutumikia dini na kuwa mwanasiasa, lakini vibaya unapotumia...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi gari la umeme haliwezi kutumia umeme wa jua?

    Eti wakuu. Huku kwenye jua la kutosha, gari ya umeme haiwezi kutumia umeme wa jua? Inatembea na panels za solar juu.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

    Habari Wakuu, Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule? Yaani Bwana yule na watu wake wa karibu, wanaondoka mmoja baada ya mwingine, huku yule mwingine akiponea chupuchupu baada ya kudaiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kupima/kujua uzito wa nguruwe bila kutumia mizani

    nguruwe akiwa bandani kutambua uzito wake ni shughuli kwa sababu hakuna mizani za kuweza kumpima akiwa hai kwa sababu ni msumbufu. Naomba kufahamu ni mbinu zipi za kutumia kujua au kupima uzito wa mnyama huyu nguruwe, ili nikimnunua nijue baada ya kutoa utumbo na kichwa angalau nitabaki na kilo...
  12. JamiiForums Tanzania Je, tunaweza kutumia cheti kimoja cha kifo kuombea mkopo?

    Baba mlezi amefariki ila sisi tupo wawili yaani mimi na mwanaye wa kumzaa; wote tunaomba mkopo wa elimu ya juu. Je, sote tunaweza kutumia cheti kimoja cha kifo kuombea mkopo?
  13. W

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaa mbalimbali vya magari

    Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia, hivi ndivyo ambavyo unaweza kutumia BAHARI kuondoa tatizo la ukosefu wa Ajira nchini

    Sina maelezo mengi, PDF ya jamaa inajieleza zaidi. Sijui huyu ndio Kigogo au sijui ni nani. 1/10SHIRIKA LA KAZI TANZANIA (TANZANIA LABOUR CO-OPERATION) (Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa mitandaoni)Mama Shikamoo!Mama, nilifurahi uliposema unataka kufungua nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Junior anaonyesha uwezo wake wa kutumia mikono na miguu

  16. JamiiForums Tanzania Meza ya kulia kutumia miti iliyo shambani kwako

    Unaweza kutumia muembe au mfenesi ulio shambani kwako. Kumbuka kupanda miti miwili kabla hujakata mmoja.
  17. JamiiForums Tanzania Tunga maneno kwa kutumia herufi "fwa"

    Yaani hapa nimetoka kapa, tangu nazaliwa mpaka nakua sijawahi kufundishwa hiki kitu. Nisaidie kutaka japo maneno matano tu
  18. JamiiForums Tanzania Polepole: Watanzania tuendeleeni kutumia njia za asili kupambana na Corona

    Katibu mwenezi msitaafu wa CCM na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii? Bwana...
  19. JamiiForums Tanzania Tukiacha kutumia akili zetu tutaongeza umri wa kuishi duniani

  20. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa DPP: Kutekeleza nia njema ya Rais Samia, kuona Haki ikitendeka; je, tumchagize DPP kutumia Nolle kufuta kesi zote zinazosuasua?

    Wanabodi, Jumatatu ya leo, naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili, makala ya leo ni swali la ushauri wa Bure kwa DPP, kwa vile Rais Samia, ameishaonyesha nia njema ya kutaka Watanzania watendewe haki, Jee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…