Zanzibar kuwa ya kwanza kutumia bandari ya Lamu kupokeza/transhipment mizigo ya kwenda Ughaibuni

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,900
2,000
Hayawi hayawi huwa....sio kuongea ongea bila vitendo, kimsingi boresha miundo mbinu yako tu, wateja watakuja....
Tunaandaa mapokezi ya meli kutokea Zanzibar itakayopokeza kontena 63 kisha zipakiwe kwa meli kubwa bandarini na kusafiri kwenda Ughaibuni....

The Lamu port will handle its first transshipment cargo today as a ship from Zanzibar will be calling at the facility to deliver freight meant for the Far East.

The Kenya Ports Authority (KPA) says the AMU 1, a Kenyan owned ship from Tanzania carrying 63 containers of goods is expected to dock at the facility.

Transshipment is where cargo or container get moved from one vessel to another while in transit to its final destination. It mainly happens when there are no direct connection between two ports.

On Wednesday next week, a CMA CGM ship will pick the consignment from the Lamu facility and ferry it to Dubai and the Far East country.

β€œWe are receiving our first transshipment cargo on Thursday and it will give us an opportunity to test-run the new systems that we have put in place,” said KPA.

The newly built port, which will mainly deal in transshipment, comes at a time nearly all the ports in the region are undergoing upgrade to meet growing demand.

The customs facilities by the Kenya Revenue Authority are already at the site, and these are some of the things that KPA will be testing to see if they are working efficiently.

KPA has waived some of the charges in order to attract more ships at the new facility that was launched in May. For instance, all transshipment cargo has been given a $10 waiver that is normally charged on all the containers that transit through the port.

MV CAP CARMEL and MV SEAGO BREMERHAVEN were the first ships to dock at the Port of Lamu in May when the facility was commissioned by President Uhuru Kenyatta.

The port is mainly targeting transshipment cargo to countries along the Indian Ocean Islands such as Seychelles and Comoros among others.Kenya is also targeting Ethiopia and South Sudan, as key destinations on goods coming out of Lamu Port. At the moment, most of the sea cargo to Ethiopia use the port of Djibouti.

The new facility is now one of the largest port in sub-Saharan Africa and will target countries along the Indian Ocean Islands such as Seychelles and Comoros among others.

The depth of the port, which is 17.5 metres makes it ideal for handling large ships that cannot dock at the port of Mombasa whose depth is 15 metres.

The port is a key part of the wider Lamu Port South Sudan-Ethiopia Transport Corridor, which is being implemented at a total cost of Sh2.5 trillion ($24 billion).

1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
5,162
2,000
Tanzania wanawaza kukamua pesa za wauza mchicha kwenye simu ,na mafuta ya petroli wanayoweka mabomba yao kwenye nyumba zao ili wauze bila kodi kisha wananchi wabebeshwe mzigo wa kodi.

Kila awamu inakuja na sarakasi za kukamata bomba la mafuta kuunganishwa kwenye nyumba za watu.
Lakini akiyeunganisha hahukumiwi kifungo au kutungiwa sheria ya kunyongwa au kufungwa kifungo cha maisha au kufilisiwa kama Mbowe mwanasiasa akivyofilisiwa kwa sababu ya kujenga chama chake.

Hongera sana wachumi wa Kenya kwa kuona mbele miaka 100 badala ya kuangalia kura tu za wanasiasa. Kura zitakua ni matokeo ya uchumi kuimariaka sio blabla za majirani zenu wenye kila rasilimali lakini ni maskini.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
170,369

Tanzania wanawaza kukamua pesa za wauza mchicha kwenye simuHii kitu wametoa boko
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
11,763
2,000
Kuna Mbongo fulani Mr Wivu alikuwa anasema kwamba Tanzania kamwe haiwezi kutumia Lamu port kama transhipment hub. Nadhani mnamjua huyo mtu. Jina lake linaanza na herufi G na linaishia na herufi e. Sasa amebaki kimya baada ya kuona Tanzania ndio nchi ya kwanza kuwa customer ya Lamu port transhipment business.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,900
2,000
Serikali dhalimu ya CCM imeshindwa kuzitumia rasilimali zote tulizonazo na kuzifanya ziingize pesa, matokeo yake inamrundikia mwananchi mzigo wa makodi, wamekosa kabisa ubunifu wa mapato.

HONGERA KENYA, HONGERA UHURU KENYATTA NA WAKENYA WOTE HASWA MK254, Lewis254, Tony254 Kafrican NA KADHALIKA

Tatizo bunge limejaa wabunge wa mlengo mmoja, wanapitisha chochote kwa kwenda mbele, hamna mwenye jeuri ya kuhoji tena.
 
Babaguy

JF-Expert Member
May 19, 2017
473
250
The pucking cunt you are refering to is maullana Geza ulale
Serikali dhalimu ya CCM imeshindwa kuzitumia rasilimali zote tulizonazo na kuzifanya ziingize pesa, matokeo yake inamrundikia mwananchi mzigo wa makodi, wamekosa kabisa ubunifu wa mapato.

HONGERA KENYA, HONGERA UHURU KENYATTA NA WAKENYA WOTE HASWA MK254, Lewis254, Tony254 Kafrican NA KADHALIKA
Itifandi yako imepokelewa. Big up!!!
 
Naton Jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
7,854
2,000
Meli hii imetoa mizigo Zanzibar na kuileta Lamu for transhipment.

Mbona hakuna hiyo transhipment unayosema? Naona mwalo upo na ngalawa unapakua shehena kutoka kwenye ngalawa kwenda kwenye gari au hiyo ndio transshipment ya Kunyaland? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ndio elimu yenu ilipowafikisha?

Yaani mmezoea kudanganywa na wanasiasa wenu mpaka mmekua addicted, nani asiejua hiyo ni white elephant? Kibandari kimetafuna mabilioni lakini kinapokea ngalawa tu, hakina barabara hakina railway πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Endeleeni kipiga musturbation 🀣
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
11,763
2,000
Mbona hakuna hiyo transhipment unayosema? Naona mwalo upo na ngalawa unapakua shehena kutoka kwenye ngalawa kwenda kwenye gari au hiyo ndio transshipment ya Kunyaland? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ndio elimu yenu ilipowafikisha?

Yaani mmezoea kudanganywa na wanasiasa wenu mpaka mmekua addicted, nani asiejua hiyo ni white elephant? Kibandari kimetafuna mabilioni lakini kinapokea ngalawa tu, hakina barabara hakina railway πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚i

Endeleeni kipiga musturbation 🀣
Kama hujui kitu sema uelezewe. Kuna meli kubwa inatoka Russia na itawasili juma tano kuja kuzichukua na kuzipeleka ulaya. Kiufupi meli hio ilikataa kuja zanzibar ikaona ni heri ije Lamu port. Ngalawa hio ndogo tuliituma iende Zanzibar kuchukua mizigo. Huenda ikawa hujui maana ya neno transhipment.
 
Naton Jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
7,854
2,000
Kama hujui kitu sema uelezewe. Kuna meli kubwa inatoka Russia na itawasili juma tano kuja kuzichukua na kuzipeleka ulaya. Kiufupi meli hio ilikataa kuja zanzibar ikaona ni heri ije Lamu port. Ngalawa hio ndogo tuliituma iende Zanzibar kuchukua mizigo. Huenda ikawa hujui maana ya neno transhipment.
Nimekuuliza swali dogo

Ni wapi kwenye hiyo video transhipment imetajwa na wapi kwenye hiyo video Zanzibar imetajwa

Hizo hekaya zako za Russia baki nazo.
 
Babaguy

JF-Expert Member
May 19, 2017
473
250
Mbona hakuna hiyo transhipment unayosema? Naona mwalo upo na ngalawa unapakua shehena kutoka kwenye ngalawa kwenda kwenye gari au hiyo ndio transshipment ya Kunyaland? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ndio elimu yenu ilipowafikisha?

Yaani mmezoea kudanganywa na wanasiasa wenu mpaka mmekua addicted, nani asiejua hiyo ni white elephant? Kibandari kimetafuna mabilioni lakini kinapokea ngalawa tu, hakina barabara hakina railway πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Endeleeni kipiga musturbation 🀣
Ule mradi wa maullana CEO geza ulale sumbawanga haaiti shangwe hata kidogo.
Wengi ma zezetas wanakosa supu ya kiti-mtu.
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
13,321
2,000
The Kenya Ports Authority (KPA) says the AMU 1, a Kenyan owned ship from Tanzania carrying 63 containers of goods is expected to dock at the facility.
Hii ndiyo biashara inayokwenda, hakuna siasa bali ni kuona wapi mteja atanufaika yaani mwenye chombo na mwenye mzigo kupata kwa gharama nafuu huku chombo kikitumia gharama za uendeshaji nafuu na bandari kutoa huduma kwa uharaka na bei inayovutia.

Chombo hiki kilipita bandari za Dar es Salaam na Zanzibar na sasa kipo Lamu.

Historia ya chombo hiki / safari zake siku za karibuni: AMU I

The current position of AMU 1 is at East Africa (coordinates 4.04806 S / 39.6185 E) reported 10 days ago by AIS.
The vessel AMU 1 ( MMSI 355221000) is a Cargo ship and currently sailing under the flag of Panama.
AMU 1 photo
Track on MapAdd PhotoAdd to Fleet

POSITION & VOYAGE DATA​

Destination not available
ETA: -Course / Speed0.0Β° / 0.0 kn
Current draught-
Navigation Status-
Position received10 days ago i
IMO / MMSI- / 355221000
Callsign-
FlagPanama
Length / Beam75 / 17 m

Dar es Salaam, Tanzania
ATA: Jun 10, 07:09 UTC
-
Zanzibar Anchorage, Tanzania
Arrival (UTC)
Jun 2, 10:19

Source: AMU 1, Cargo ship - Details and current position - MMSI 355221000 - VesselFinder

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom