kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rotina Mavhunga, mwanamke ambaye karibu aifanye Zimbabwe iwe kama Dubai kupitia mafuta kwa kutumia mawe.

    Ameandika The Instigator, @Am_Blujay Kutana na Rotina Mavhunga, mwanamke ambaye karibu aifanye Zimbabwe iwe kama Dubai kwa kutumia mawe 😂 Mnamo mwaka 2007, aliwashawishi mawaziri wakuu wa serikali kwamba angeweza kuzalisha dizeli safi kutoka kwenye mawe huko Chinhoyi. Ndiyo, dizeli. Kutoka...
  2. JamiiForums Tanzania Mchungaji wako anakugundisha neno la Mungu kwa kutumia mkabala ipi wa Kithiolojia kati ya "Systematic theology" na "Biblical theology"?

    Tumekuwa tukifundishwa neno la Mungu na watumishi mbalimbali wengine ni wanazuoni na wengine ni wale waliojifunza kutoka kwa wanazuoni lakini wapo pia wale waliozaliwa na uwezo huo. Ukweli ni kuwa ipo mikabala mkubwa miwili ya kiufundishaji kithiolojia na hapa ndipo tunapoona mambo mengi ambayo...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kutumia changamoto ya upatikanaji wa mafuta duniani kama fursa muhimu ya kuelekea kwenye uzalishaji na matumizi ya gesi asilia

    Ni wazi uelekeo wa Taifa letu kwa sasa, ni kwenye matumizi ya nishati ya gesi asilia majumbani, viwandani na katika sekta ya usafirishaji. Hii itasaidia kuondokana na taharuki zisizo za lazima kama hii ya chanagamoto ya uhaba wa nishati ya mafuta kama ambavyo imeiathiri na kuihangaisha dunia...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Video za AI Kwa Kutumia Grok AI (Super Grok)

    Teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) imebadilisha sana namna watu wanavyotengeneza maudhui ya video. Leo hii, mtu anaweza kutengeneza video za matangazo, musiki, elimu, au burudani bila kamera, bila studio, na hata bila timu kubwa ya production. Moja ya tools zinazotumiwa sana sasa ni...
  5. JamiiForums Tanzania Nina Maswali kuhusu Matibabu kwa kutumia Bima Ya Afya

    Wakuu nina maswali kuhusu Bima ya Afya na ningeomba haya maswali yajibiwe na wahusika. Swali la kwanza: Kwanini mgonjwa akitibiwa anatakiwa kukaa Wiki 2 au Mwezi ndio aende kutibiwa tena? Yaan wanasema kwamba mgonjwa akitibiwa leo kisha akaugua tena kabla ya Wiki 2 kupita au Mwezi kupita na...
  6. JamiiForums Tanzania Nina Maswali kuhusu Matibabu kwa kutumia Bima Ya Afya

    Wakuu nina maswali kuhusu Bima ya Afya na ningeomba haya maswali yajibiwe na wahusika. Swali la kwanza: Kwanini mgonjwa akitibiwa anatakiwa kukaa Wiki 2 au Mwezi ndio aende kutibiwa tena? Yaan wanasema kwamba mgonjwa akitibiwa leo kisha akaugua tena kabla ya Wiki 2 kupita au Mwezi kupita na...
  7. JamiiForums Tanzania Italia imekataa kuruhusu ndege za kijeshi za Marekani kutua katika kituo cha kimkakati cha sigonella

    Baada ya Uhispania kuwakimbiza Wanamgambo wa Marekani kutumia anga yake Sasa ni zamu ya Italia nayo imepiga marufuku ndege za Wanamgambo wa Marekani kutumia Sigonella Air base iliyo Nchini humo. Hii vita Trump anakimavi kila akiinua kichwa anarudishwa na konzi ============= Waziri wa Ulinzi...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Stendi ya NaneNane – Mbeya taa haziwaki usiku, tunalazimika kutumia tochi za simu

    Watumiaji wa Stendi ya NaneNane Mkoani Mbeya tuna changamoto inayohusiana na usalama wetu, kwani nyakati za Usiku abiria wanaoshuka hapo wanakutana na giza kwa asilimia kubwa. Taa zipo ila haziwaki, tunateseka sana, tunalazimika kutumia mwanga wa simu, hatujajua shida nini. Tatizo hili...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchafuzi wa mazingira kwa kuchimba moramu na kulipua mawe kutumia baruti eneo la Kijiji cha Nyangomango kitongoji Nyaruhama kata Usagara

    Eneo hili Kuna uharibifu mkubwa wa mazingira kwa uchimbaji molamu na kulipua mawe kwa kutumia baruti ambazo zinatoa mlipuko kama bomu.Wakazi wa maeneo haya mwaka jana 2025 walilalamika kwenye ofisibza NEMC mkoa wa Mwanza na wakazuia mhusika kuendelea kuchimba badala yake afukie hili shimo...
  10. JamiiForums Tanzania Aliyefanikiwa kutumia Dawa za kuongeza Uume, nahitaji msaada

    Aliyewahi tumia dawa za kuongeza uume na kufanikiwa nahitaji anipe recommendation. Kama hutaki kucomment unaweza kuja PM Kama hujawahi tumia tafadhali achana na hii thread 🤣🤣 Ushauri wa kipuuzi sihitaji. Side effects nazijua kwahyo sitaki comment zakijinga
  11. S

    JamiiForums Tanzania Website nzuri ya kuverify ubora wa magari used japan kwa kutumia chassis au vin number

    Habari wanaJF kwa mwenye uzoefu aliyewahi verify ubora wa gari used japan wakati anaagiza kwa kutumia chassis au vin number naomba anijuze website aliyotumia. Najua Chatgpt inaweza toa majibu kwa kiasi fulani but napenda nipate uzoefu direct wa mwanaJF maana naamini kuna mengi ya kunisaidia...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya AI katika mifumo ya ulinzi yanaweza kuongeza kwa kiwango kikubwa uwezo wa kugundua vitisho

    Jeshi Letu la JWTZ Linatumia Teknolojia ya AI Kuboresha Ufanisi Kwenye Ulinzi? Katika mifumo ya ulinzi ya jadi inayotumia rada za kawaida, changamoto kubwa imekuwa uwezo mdogo wa kuchambua taarifa kwa haraka na kwa kina. Rada za zamani zinaweza kugundua kitu angani au baharini, lakini mara...
  13. JamiiForums Tanzania Chama cha madaktari Tanzania kipige marufuku wasio madaktari kutumia sare zao

    Siku hizi naona heshima ya madaktari kama inakwenda kushuka na kuchukuliwa poa poa tu. Hawa watu kiukweli inabidi tuwaheshimu na kuheshimu sana taaluma yao na inabidi pawe na mipaka maana siku hizi imekuwa too much. Siku hizi unakuta mpaka kuna ma dancer nao utambulisho wao wanavaa makoti ya...
  14. JamiiForums Tanzania Masauni atoa wito kutumia fursa zilizopo kwenye Mazingira

    Unguja. Serikali ya Awamu ya Sita pamoja na mambo mengine imeimarisha zaidi ushirikiano wa kimataifa na kutoa mchango mkubwa katika masuala ya kikanda na kimataifa yanayohusu mazingira na mabadiliko ya Tabianchi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni...
  15. JamiiForums Tanzania Tafakuri ya Idu: Dk Nchimbi amewathibitishia watanzania kuwa CCM inanyanyasa upinzani kwa kutumia mabavu.

    Kuanzia ngazi zote CCM huwa wanatumi mabavu kuleta ghasia na kunyanyasa wapinzani kwa kutumia jeshi la Polisi na mahakama. Angalia zile vurugu alizofanyiwa Heche alipokuwa Igunga. Kamata kamata ya viongozi wa CHADEMA ambao hawana hata makosa Green guard wa CCM kuwa wanabeba siraha wakati...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Tumia mfumo ule ule uliojenga jambo hilo kwao kulipinga kama uko kinyume nao

    Mambo ya IMANI yapinge Kwa IMANI Mambo ya SAYANSI Kwa SAYANSI Falsafa Kwa falsafa. Kinyume na hapo hakuna kinachofanyavkazi unabaki na mtazamo wako na wao mtazamo wao. Ukipingana kwa falsafa au fact za kisayansi, Kwa WATU WA Imani, mara nyingi watu wa imani hawatakubali kwa sababu msingi wao...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajia kuanza kutumia kinga ya HIV

    ‎Katika kipindi ambacho mapambano dhidi ya maambukizi ya UKIMWI yamekuwa yakitegemea nidhamu ya matumizi ya kila siku ya dawa za (PrEP), au wengi wanavyo ziita kama ARV, ‎Sasa Tanzania inaanza kuingia katika hatua mpya ya kinga ya muda mrefu kwa kuanza matumizi ya Lenacapavir, dawa inayodungwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kama unaona mimi ni bahili sana kwenye kutumia pesa zangu, nipe zako ntumie unavotaka

    Habari wana JF, Kuna tabia imekuwa ya kawaida siku hizi - mtu anakupangia jinsi ya kutumia pesa zako. Ukihifadhi, unasemwa ni bahili. Ukipanga bajeti, unasemwa huna moyo wa kutoa. Ukikataa matumizi yasiyo na mpango, unasemwa una roho ngumu. Lakini swali langu ni moja tu: Kama unaona mimi ni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa Kama uliwahi ‘kuopoa’ kwa kutumia mistari ya wasanii

    N:B Ilikuwa enzi hizo pesa ilipokuwa ikipewa uzito mdogo kwenye mapenzi Uopoaji una mbinu nyingi sana ikiwemo kutumia mbinu hii adimu ya kutumia mistari ya wasanii walioumiza vichwa vyumbani hadi wakakamilisha kazi zao studio. Wengine hutumia mistari hii kucopy na kupaste kwenye suala zima la...
  20. JamiiForums Tanzania Nchi za Mashariki ya kati huwenda zisisimame Milele wakimruhusu Marekani kutumia Anga zao

    Marekani siku zote inalinda Maslahi yake kwa nguvu Kubwa katika kujilinda huku ameigawanya Dunia katika angle za kijographia ili kuhisisha mawasiliano na kuendelea kumiliki uchumi wa Dunia na kuendelea kujitanua pitia ardhi za wengine Kupitia sera za kimataifa. Katika ugawaji huu wa Maeneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…