Urusi waanza kutumia bidhaa za Kichina na Kihindi

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Vladimir Putin said Wednesday that Russia is rerouting trade to "reliable international partners" such as Brazil, India, China and South Africa as the West attempts to sever economic ties.

"We are actively engaged in reorienting our trade flows and foreign economic contacts towards reliable international partners, primarily the BRICS countries," Putin said in his opening video address to the participants of the virtual BRICS Summit.

The "BRICS" acronym refers to an informal grouping of the five developing economies.

According to Putin, trade between Russia and the BRICS countries increased by 38% and reached $45 billion in the first three months of the year.

"Contacts between Russian business circles and the business community of the BRICS countries have intensified," Putin said. "For example, negotiations are underway to open Indian chain stores in Russia [and to] increase the share of Chinese cars, equipment and hardware on our market."

Russia is also ramping up oil exports to China and India, which have been snapping up barrels at a hefty discount. China's crude imports from Russia soared to a record level in May, ousting Saudi Arabia as the country's top supplier.

Putin added that Russia's system for messaging between financial institutions is open to connecting banks from the five countries, and that Moscow is finding new ways to transact without relying on currencies such as the dollar or the euro.

"Together with BRICS partners, we are developing reliable alternative mechanisms for international settlements," Putin said.

In his address, Putin accused the West of neglecting "the basic principles of [the] market economy" such as free trade.

"It undermines business interests on a global scale, negatively affecting the wellbeing of people, in effect, of all countries," he said.

The BRICS summit, which is hosted by Beijing, is Putin's first international forum with the heads of other major economies since he ordered the invasion in Ukraine in late February.

Sanctions from the West have cut Russia off from large swaths of the global economy and pushed the country into a deep recession. But Moscow continues to earn money off exports, especially as energy prices rise. The International Energy Agency estimates that Russian oil export revenues rose to about $20 billion in May.

— Julia Horowitz contributed reporting on CNN
PAID PARTNER CONTENT
 
Kwani kuna tatizo ama?
Tatizo lipo wanatoka kwenye kutumia bidhaa za high quality,durable na high price wanahamia kwenye bidhaa low quality,low price na zisizodumu za India na China kama Sisi watanzania na nchi za dunia ya Tatu

Hilo ni wazi kuwa mrusi kafilisika wanahama kutoka high life kwenda low life
 
Ndio maana yake na kuanza kutumia vyakula vya kihindi baada ya McDonalds nk kuondoka na kutumia vifaa vya ujenzi vya China kama sisi

Bidhaa za kichina zilizojaa kwetu ndizo hizo utazikuta Urusi
Unaakili za hovyo aisee ivi umesoma wapi akili zako ziko Sawa kweli Marekani ndyo importer mkubwa WA bidhaa za China duniani alafu anafata bara la ulaya na kila siku marekani analalamika kuwa uchina wanawaibia Hadi kipindi cha Trump kuongeza ushuru kwenye bidhaa nyingi kutoka China na juzi wachambuzi WA Mambo wanasema serikali ya Biden watabadilisha maamuzi ya trump kupiga tariff na kupunguza ushuru kwenye bidhaa nyingi kutoka China Ila kupunguza inflation tatizo lenu mnaisi China anazalisha bidhaa feki Tu useless kabisa
 
China anauza bidhaa sehemu kutokana na kipato chako .. we unafikiri bidhaa zinazokuja Afrika ni sawa na zinazoenda America and Europe?
Cha mchina ni cha mchina tu
Ingekuwa hivyo Tanzania yasingejaa magari ya Toyota.

Nitajie gari yeyote ndogo ya mchina waliyowahi iona Tanzania

Urusi nao hamna kitu kuna gari ndogo gani ya kutembelea ya mrusi ulishawahi iona Tanzania
 
Ndio maana yake na kuanza kutumia vyakula vya kihindi baada ya McDonalds nk kuondoka na kutumia vifaa vya ujenzi vya China kama sisi

Bidhaa za kichina zilizojaa kwetu ndizo hizo utazikuta Urusi
Kwani vifaa vya china havipo USA?china anatengeneza bidhaa kulingana na mahitaji yenu km mnataka vya low price unatengenezewa vya low quality ukitaka vya high quality unapata ndio hzo zinaenda European countries sisi tunapenda kitonga
 
Unaakili za hovyo aisee ivi umesoma wapi akili zako ziko Sawa kweli Marekani ndyo importer mkubwa WA bidhaa za China duniani alafu anafata bara la ulaya na kila siku marekani analalamika kuwa uchina wanawaibia Hadi kipindi cha Trump kuongeza ushuru kwenye bidhaa nyingi kutoka China na juzi wachambuzi WA Mambo wanasema serikali ya Biden watabadilisha maamuzi ya trump kupiga tariff na kupunguza ushuru kwenye bidhaa nyingi kutoka China Ila kupunguza inflation tatizo lenu mnaisi China anazalisha bidhaa feki Tu useless kabisa
Muue
 
Ndugu hawa vijana wa humu JF muda mwingine waangalie tu alafu kaa kimya maana daaah wanasikitisha . Robo tatu ya dunia inaitegemea china kwa bidhaa za viwandani hakuna nchi duniani utaenda ukakosa bidhaa ya kichina iwe unataka iwe autaki lakini iyo habadiliki itabaki kuwa hivyo. China ni number one exporter wa industrial products in America , Africa, Asia, Europe , Australia, South America . China ni number one exporter wa industrial products in the world
 
Tatizo lipo wanatoka kwenye kutumia bidhaa za high quality,durable na high price wanahamia kwenye bidhaa low quality,low price na zisizodumu za India na China kama Sisi watanzania na nchi za dunia ya Tatu

Hilo ni wazi kuwa mrusi kafilisika wanahama kutoka high life kwenda low life
Siyo kweli
Mchina anatengeneza bidhaa quality kulingana na purchasing power ya soko husika. Bidhaa nyingi za Europe zinatengenezwa China lakini kwa high quality
 
China ni number one exporter wa industrial products in America ,
Sio china ni makampuni ya.marekani yaliyowekeza industrial base China sababu ya cheap production costs.Yanazalishia China na kuuza America kwao kwa bei ya juu

Trump alishawahi kuyatishia hayo makampuni ya Marekani yaliyowekeza industrial base china kuwa yasiporudisha industrial base zao Amerika atapandisha Kodi na ushuru wa bidhaa zao wanazozalisha China sababu wana create ajira China na kuacha waamerika hawana ajira
 
Back
Top Bottom