Angalia mradi wa kifisadi alioingia January na Mabinzi Chande kuwapa Mahindra tech mabilioni ya pesa eti kuleta ufanisi Tanesco ni nonsense na wizi wa mali za umma.
Pesa hizo zingetumika kuunda Dna database ambayo ingeweza kuwasaidia polisi kudhibiti uhalifu.. Mwizi akikamatwa anachukuliwa Dna...
Nikiwa dukani kwangu napitia mahesabu ya mapato na matumizi ya wiki iliyopita, akaja mteja anataka madawa fulani, madawa hayo ni slow moving items hivyo huwa yanakaa store, hayapangwi dukani.
Basi nikaona si mbaya huyo mteja akiwa anahudumiwa (akisubiri dawa zake) aje ofisini kwangu anywe walau...
Ni kwa nia njema tu katika kulinda haki za watoto.
Kwenye picha za mikutano ya chadema utaona idadi kubwa ya watoto pengine kuliko hata watu wazima. Hii si sawa.
Akili ya watoto haina uwezo wa kupambanua mambo yanayohusu siasa. Badala yake watawatengezea tu msongo wa mawazo.
I wanna say ni kwamba kama una wanawake wengi lets say 4+ Unaweza unda group la WhatsApp ili uwe unawatumia Taarifa kwa Pamoja ili kuokoa Muda.
Badala ya kupoteza Muda kuchart na kila mtu u may send a single messages to wish them Goodnight or Good morning at once.
Hellow members,Naweza kufanya kitu gani au kutoa huduma gani kibiashara kwa kutumia vitu hivi nilivyo navyo bila mtaji?
Vitu vyenyewe ni:
1.Smartphone
2.Simu ndogo.
Habari...
mara nyingi namuona rais samia anaposimama kutoa hutuba zake huwa anasema "nawasalimu kwa jina la jamhuri..." kisha anaenda moja kwa moja kwenye hoja zake za kiprotokali
mimi binafsi namshauri rais aache mara moja kufanya hivyo kwani jambo hilo siyo jema kwa yeye mwislamu. hoja zangu...
Hapo juu ni picha ila kuna vifaa au vitu flani ulishakiona katika movie, taja movie zote 25 au baadhi, mfano: hapo kuna SAW na Enter the dragon.... Tiririka👇
Hii wala haihitaji aya nyingi ili ieleweke, ni maneno machache ya kutufanya tubadili mindset zetu kwenye kuweka akiba.
Unapata hela unataka uitumie umalize shida zako ikibaki elfu tano ndio ukaweke kwenye simu, hapo ni marktime tu unapiga, akiba inatakiwa iwe ya kwanza unapopata hela halafu...
Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
Mbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee!
Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote!
ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.
Inashangaza kuona baadhi ya maeneo bado wanatumia opras kama rejea ya utendaji kazi wa watumishi. Ikumbukwe kwamba fomu hizi hujazwa na mtumishi kwa kushirikiana na kiingozi wake.
Kwa asilimia kubwa, hakuna uhalisia katika upimaji kwa kutumia hizi fomu
Sometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana.
Nimeteseka Sana na Azam TV, kila nikitaka kubadili kifurushi. Wao wanadai nikitaka kubadili kifurushi...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema katika mwaka wa fedha wa 2022/2023, Serikali imetenga shilingi Bilioni 35.1 kwa ajili ya ununuzi wa magari 316 ya kubeba wagonjwa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini.
Dkt. Dugange amesema...
Nimekuwa nikiagiza mizigo AliExpress kwa muda Sasa ,, nataka tumia alibaba kwa baadhi ya mizigo
Nimechat na seller kanitumia link na nili inquiry logistics company akanipa cheapest Ni Dola 30USD
Njia za Alibaba zinaonekana Ni fast Sana Ila Zina Bei Sana
Nasikia Kuna silent ocean nisaidieni...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewasilisha Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.1 kutoka Ofisi ya Rais na kufafanua matumizi yake ambapo Ofisi ya Rais Ikulu itatumia Tsh. Bil. 32, Sekretarieti ya Baraza la Mawaziri Tsh. Bil. 678.19 za Matumzi ya...
NAFASI ZA KAZI
Posts: 2
-Elimu kuanzia form four
-Uwe unajua kutumia computer, nb kama hujui computer usiombe plz
-Ukiwa na certificate ya computer ni kigezo cha nyongeza
-Kama una degree au diploma hatukuhitaji usiombe plz
-Location ya kazi ni Dar es salaam
-Jinsia ya kiume tu
-Umri...
JE Unapenda Kujifunza Cinema 4D au Blender? ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D.
Mwezi sasa toka nianze kujifunza Animation kwa kutumia Cinema 4D na Blender.
Week hii nmefanya kazi moja ya kutangaza bidhaa ya mteja kwa kumdizainia flyer, logo na Motion graphic ya bidhaa yake...
SERIKALI KUTUMIA TRILIONI 6.7 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI
Na Timotheo Mathayo, Dodoma.
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali imetenga fedha shilingi Trilioni 6.7 kwa ajili ya miradi ya kusambaza umeme kwenye Vitongoji 36,101 hapa nchini ambavyo havijapata huduma ya umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.