Kadri teknolojia ya computer inavyozidi kujitosheleza kwenye simu, umepunguza au umeacha kabisa kutumia laptop na desktop ?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Sote ni mashuhuda wa jinsi teknolojia ya computer inavyozidi kuboreshwa kwenye simu za kiasasa smartphones, vitu kibao ambavyo zamani vilitulazimu kuvifanya kwenye desktop au laptop siku hizi tunavifanya kwenye smart phones hasa ukizingatia.

Software kibao sikuhizi hata kwenye simu zipo na pia hardware kama camera, mic, gps navigation, n.k. zinazidi kuboreshwa.

Binafsi kwangu najua kabisa vitu vingi vinawezekana kwenye simu ila ni mtu ambae nimezoea kutumia pc kwa muda mrefu hivyo nimestick na pc labda kama nipo sehem sina pc.

hali ipoje kwako ??
 
Una matumizi basic madogo madogo, minaaminigi PC for Creating na SMARTPHONE for Distributing Mfano PC unaweza fanyia Poster Design na Smartphone unaweza kupost kutangaza unafanya Designing

PC Inafanga Complex task kutokana na uwezo wake, User Interface na Experience yake
 
Vita ya Smartphone na Computer inazidi kushika hatam, ila one thing that computer beats Smartphone ni kuwa Computer sio rahis kupotea au kupatwa na tatizo. ie Unaweza kuangusha Smartphone yako ikapasuka wakati umebeba PC upand mwingine see how risky it is.

Kwa kuzingatia consistency ya Mambo yako Ni bora computer
 
Back
Top Bottom