Maneno ni mengi sana kwa vijana wanaohitimu vyuo Mara waambiwe wanaringa, mara elimu ni ya makaratasi haiwasaidii chochote na kejeli nyingine
Wengi wa watoto siku hizi kwanza huwa hawapendi shule lakini wazazi na serikali wanatumia nguvu kubwa kuwalazimisha wasome lakini wakimaliza maneno...
Kwa muda mrefu, betri zimekuwa chanzo kikuu cha nishati katika vifaa vyetu vya kila siku kama simu, kompyuta mpakato, na sensa mbalimbali. Lakini sasa, sayansi imevuka mipaka – kuna betri mpya zinazoitwa betri za nyuklia. Ingawa jina lake linaweza kuwatisha wengi, teknolojia hii inalenga kuleta...
I was just wondering what actions are taken once you finish and publish a research paper. I'm not all that experienced nor informed, so I'm just genuinely curious what could be done with one's research after it's finished. I'm talking more so about humanities research, so it's not necessarily...
Hiini kwa wale wote wenye Biashara au kampuni na wanashindwa Kutumia Mfumo wa Nest
Mafunzo Ya Kutumia Mfumo Wa Nest Na Kuomba Tender
👉 Wasiliana Nasi 0764 148 221
Katika vitu ambavyo najiuliza hivi kumbe serikali yetu inapesa za kutosha hapa misugusugu shule ya msingi wamewahamisha watu na kuwalipa mabilioni ya pesa Kwa kigezo eti wanataka kujenga mradi wa maegesho ya magari ila mpaka Leo kimya wamepaacha wazi tu sijui inasemekana Kuna wajanja wenye...
JINSI YA KUTUMIA SHUHUDA ZA WATEJA (SOCIAL PROOF) ILI KUVUTA WATEJA WENGINE ZAIDI
Zinagtia ya 8
Watu hawaamini tu kuwaambia unachofanya
Wanaamini ushuhuda kutoka kwa watu uliofanya nao kazi, waliokwishatumia huduma bidhaa zako
Shuhuda ni muhimu sana kwenye kutafuta wateja
1. Weka Shuhuda...
Meatu:Wakazi wa vijiji sita katika wilaya ya Meatu mkoani Simiyu wameanza kunufaika na huduma ya uhakika ya maji baada ya miradi ya maji iliyokuwa ikitumia nishati ya mafuta kubadilishwa na sasa kutumia nishati ya umeme.
Mabadiliko hayo yameelezwa leo Aprili 16,2025 na Meneja wa Wakala wa Maji...
Imekuwa ni kawaida kwa walinzi kuwalazimisha wanafunzi kuvua kofia za cap wanapoingia library au sehemu za maofisi, huu ni unyanyasaji dhahiri kwa watanzania ambao wanatumia uhuru wao wa kuvaa kunyimwa haki ya kutumia maeneo muhimu ya kujifunza na kujifunzia. Sababu ya msingi kwanini wanazuiliwa...
Unapojenga jaribu sana kutafuta balance ya vifaa vya ujenzi na mafundi
Maiko hawezi kukataa tenda, hata ukimwambia una elf 10 ya nondo atapokea ila usije kustuka kaweka mbao 😂
Kutoka kwenye barabara nyembamba, tanuri za kufinyanga udongo, na karakana zenye kelele za Fustat, Ibrahim Said alizaliwa mwaka wa 1976.
Fustat ni eneo la Cairo, Misri ambalo limejikita katika historia ya tasnia ya ufinyanzi tangu ushindi wa Kiislamu. Ibrahim anatoka katika familia ya...
💭 Hivi utajisikiaje pale ambapo mpaka ukawa na Neno la Siri ndo utaweza kufungua post za watu kwenye mtandao wa Instagram??
🥂 Instagram Iko kwenye majaribio ya kuweza kuachia mfumo mpya wa watu kuweza kuficha post zao kwa kutumia Neno la Siri.
💭 Mtumiaji atapaswa kufungua post za watu kama...
Wanasaikolojia husema binadamu (siyo mtu) dhaifu hujaribu kuficha udhaifu wake kwa kufanya mambo yake kwa kutegemea mitulinga.
CCM imekuwa inaongoza nchi hii Kwa zaidi ya miaka 33 sasa tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe hapa nchini.
Lakini Katika jambo ambalo CCM wameshindwa kabisa...
Nimefikiria hii, mtu anamaliza kutumia choo alafu anatoka kuja kunawa nje ya choo, hii inaweza kusababisha kusafirisha uchafu na vimelea vya magonjwa kutoka chooni, mfano wakati wa kufungua mlango wa choo n.k
Kwa nini masink yasiwekwe ndani, mtu anapomaliza kujisaidia ananawa ndani kabla ya...
Ramani za nyumba zilikuwa na chumba maalum cha computer
Chumba cha computer kilikuwa na meza kubwa, screen yenye chogo, speaker mbili, mouse yenye mpira ndani, cpu yenye kitufe kikubwa cha kuwashia unachoweza tumia dole gumba la mguu.
Tanzania Imeandika Historia Kwa Kuanza Kufanya Upasuaji Wa Ubongo Kwa Kutumia Akili Unde.
Serikali ya Tanzania kupitia Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza rasmi upasuaji wa ubongo kwa kutumia teknolojia ya akili unde ‘Brain Lab- Neuro Navigation System’ ambayo husaidia...
Iran imesema haitakuwa na njia nyingine ila kutumia silaha za nyuklia endapo itashambuliwa na Marekani au
Ali Larijani, Mshauri wa kiongozi mkuu wa Iran, Ayatullah Ali Khamenei, amesema kwenye mahojiano na televisheni ya taifa la Iran kwamba "hawaelekei kwenye kuunda silaha za nyuklia, lakini...
Tumeshuhudia Abduli akiahidi kitita cha mchango wake kukarabati kanisa! Abduli mwanasiasa wa chini ya zulia amejijengea umaarufu wa kugawa vitita vya fedha hadharani huku wengi wetu hatujui biashara znayofanya zaidi ya kujua mtoto wa mama.
Viongozi wa CCM ndio huajialika harakaharaka kwenye...
Kumekuwa na michezo ya kusajili line bila idhini ya mwenye kitambulisho, umeenda kusajili laini unaambiwa rudia tena kuweka vidole kumbe nyuma ya pazia kuna namba imesajiliwa bila idhini yako, wehalifu wengine wanaweza kutunza alama za vidole kusajili bila wewe kuweka vidole.
Namba hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.