Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili.
Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
Katika dunia ya sasa ya kidigitali, miundo (designs) bora ni silaha ya kwanza ya ushindi katika biashara, ujasiriamali, elimu, au hata content creation ya mitandaoni. Lakini si kila mtu ana muda wala ujuzi wa kutumia programu tata kama Photoshop. Hapo ndipo Canva inapotokea kama mkombozi.
Ikiwa...
NB: lengo la ujumbe ni kutoa elimu kwa wasomaji sio kutoa tiba kwa muathirika wa dawa za kulevya.
Kwa muathirika wa dawa za kulevya anatakiwa kufika katika hospitali au vituo vya afya vyenye kutoa huduma hiyo.
Drug Abuse ni kutumia dawa za kulevya au kemikali kwa njia isiyo sahihi, mara nyingi...
Wakati wakandarasi hawalipwi na wanalazimika kulipa 10% hata kama pesa imechelewa serikali na Mama Samia wanajiandaa kutanua wakati wa kampeni na chama cha ubwabwa
Wamajiwekea buget ya kutumia Billion 700 na Billion 100 ya CCM pekee. Kati ya pesa hizi vyama sindikizi vitasaidiwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewapokea wageni kutoka Hospitali ya Apollo ya India waliotembelea taasisi hiyo kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika sekta ya tiba utalii na huduma za kibingwa.
Dkt. Kisenge amesema kuwa JKCI imeanzisha...
Wakuu!
Greyson Babishomba amekuja na dawa ya Wanaoteswa na mapenzi
"Wanaoteswa na mapenzi wazibe tundu moja la pua na kupumua kwa kutumia tundu hilo moja, Hii husaidia kuondo maumivu ya kichwa na kuondoa msongo wa mawazo"
Baada ya watu wengi kushindwa kulipia 250k kwaajili ya router ya 5G, YAS wameona walete router 4G+ za bei ya mwananchi na zinazokuja kumaliza kilio cha watu wengi waliokua wakihitaj router za yas.
BEI NAFUU. Router hizo zinapatikana kwa bei ya 99000 tu ambaayo inalipwa moja kwa moja kwenda...
Trump ameitishia urusi kwa kuamuru nyambizi zenye mabomu ya nyuklia zisogee karibu na urusi! Hilo ni tishio kubwa kuliko yote LA kutumia silaha za nyuklia. Putin amepuuza na kuamua kukaa kimya maana anajua kuwa Trump hana jeuri hiyo wala hana kichaa hicho!!
Huwezi kuitetea nchi yako kwa kutumia...
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (iNEC), Ramadhani Kailima amesema,
"Endapo vyama vya siasa au mgombea yeyote atahitaji kutumia machapisho kama vile mabango au vipeperushi vyenye matangazo ya kampeni, vitapaswa kuomba idhini kwenye Mamlaka husika (1) Kwa uchaguzi wa kiti cha Rais...
Sababu Nyingine Nzito ya Kuacha Kutumia WinRAR—Ni 2025, Uko Salama?
Katika ulimwengu wa teknolojia unaobadilika kwa kasi, usalama wa mfumo wako wa kompyuta hauna nafasi ya kutegemea programu ambazo zimepitwa na wakati na WinRAR sasa ni mfano halisi wa hilo. Kwa mara nyingine tena, programu hii...
Tayari mpaka Sasa tundu lissu akiwa jela na chadema ikiwa off kwa kubanwa mbavu Kila Kona na mahakama hakuna Tena matumaini ya chadema kuingia uchaguzini mwaka huu!!! Kwa maana hiyo ccm itaingia kupambana na hashimu rungwe pamoja na yule dada wa act, mpaka hapo ccm imemaliza uchaguzi...
Kijana Mmoja mwenye umri wa miaka 28 almaarufu Ras Bosco ameuliwa kikatili na watu wasiojulikana na Kisha kuchukua mwili wake na kuutunduka juu ya mti Kwa kutumia mkanda wake.
Tukio Hilo limetokea siku ya Jana katika kata ya Sinoni Mtaa wa Olmorkea jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Mtaa huo Bwana...
KUZINGATIA HITAJI LA KISHERIA LA KUSAJILI NA KUTUMIA MAJINA YA DOT TZ (.TZ DOMAIN NAMES) NCHINI
Kwa mujibu wa Kifungu cha 79 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta, Cap. 172 R.E. 2023, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ina wajibu wa kusimamia uendeshaji wa rajisi ya majina ya...
Hiki kizazi chetu kiko BLESSED na INTERNET. Na kwa mtu yeyote aliesoma hata form four na ana uwezo wa kuelewa lugha zote mbili, Kiswahili na English ana Advantage ya kupata kipato. Sio tu ONLINE hata kwenye maisha yetu ya kila siku mtaani.
Kuna vijana wanasaidia makampuni kuuza bidhaa mtaani...
Tafiti iliyofanyika nchini Marekani ionyesha kwa asilimia kubwa Vijana wanatumia akili Unde ( Artificial Intelligence AI) Kwa ushauri wa Mahusiano, kama rafiki wa karibu zaidi ya Uhalisia na msaada kitaaluma
Ripoti mpya kutoka shirika la Common Sense Media inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 70...
Boss wangu
Karbu tukutengenzee vibanda vya biashara km restaurant au pub. Tukutengenzee kwa muonekano wa kasasa kuanzia Banda Hadi viti..
Pia kwa wale mnaotaka vibanda vya juis au fremu ila mnahitaji kwa material ya mbao karibuni sana nipo dar ila Hadi mikoani tunafika na tunakutengenezea...
Boss wangu
Karbu tukutengenzee vibanda vya biashara km restaurant au pub. Tukutengenzee kwa muonekano wa kasasa kuanzia Banda Hadi viti..
Pia kwa wale mnaotaka vibanda vya juis au fremu ila mnahitaji kwa material ya mbao karibuni sana nipo dar ila Hadi mikoani tunafika na tunakutengenezea...
Boss wangu
Karbu tukutengenzee vibanda vya biashara km restaurant au pub. Tukutengenzee kwa muonekano wa kasasa kuanzia Banda Hadi viti..
Pia kwa wale mnaotaka vibanda vya juis au fremu ila mnahitaji kwa material ya mbao karibuni sana nipo dar ila Hadi mikoani tunafika na tunakutengenezea...
Wasalaamu Wapendwa.
Kuna changamoto nimeanza kuiona toka Jana,nilikuwa natuma sms kwa wateja wangu ambao nawaombea mikopo kwenye bodi ya mikopo na elimu ya juu(Heslb).
Wakati nawasiliana nao na kuwaambia nitumie namba ya NIDA,sms ikiwa na neno NIDA haiendi kabisa, naomba watu wa TCRA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.