🔥 Kijinga cha moto katika ushirikina huweza kuwa:
1. Kifaa cha kupeleka ujumbe wa kipepo – yaani, moto huo ukatumika kuteketeza au "kuwasha" madhabahu ya giza.
2. Njia ya kuingiza uchawi au uchafu kiroho kwenye nyumba ya mtu – kwa sababu mkaa huo una uhusiano wa moja kwa moja na chanzo (yaani...
Je kwa mtu asiye fanya mazoezi kwa umri kuanzia 20+ mpaka 69 kuna madhara yapi yatatokea kwa kutumia mafuta yanayoganda?
Wenye uzoefu karibuni kwa michango naambatanisha na picha moja
Ukisoma Biblia vizuri, Yesu alikuwa akifanya kazi zake duniani katika namba 3 ambazo baadhi ya watumishi wanaitafsiri kuwa ndiyo Utatu Mtakatifu (Trinity-Baba, Mwana na Roho Mtakatifu).
Kwa sababu mara zote, Yesu alipenda kutumia namba 3 katika kutamka au katika kutekeleza majukumu yake ya kila...
JWTZ na ndugu yake JKT, waliapaswa kuwa ndio centre ya kuibua viwanda vya kizalendo Tanzania hii, Walipaswa kuwa ndio sehemu ya watu kwenda kujifunza uchumi wa kizalendo, Watu kwenda kujifunza kuto penda bidhaa za nje na wathamini bidhaa za ndani ya nchi kamam sehemu ya Uzalendo.
Centre ya...
Wadau hamjamboni nyote, Iran yapiga marufuku maafisa kutumia vifaa vilivyounganishwa kwenye mtandao Leo, saa 2:00 usiku Mamlaka ya usalama wa mtandao ya Iran imepiga marufuku maafisa kutumia vifaa vinavyounganishwa kwenye mtandao, ikionekana kuhofia kufuatiliwa au kudukuliwa na Israel. Kwa...
KAMA UNA WI-FI UNLIMITED INTERNET NIITE NIKUWEKEE APPLICATION KWENYE TV YAKO UTAKAYOWEZA KUANGALIA CHANNEL ZOTE DUNIANI za michezo na burudani NA SITE ZOTE ZA MOVIE NA SERIES LATEST KWA GHARAMA NAFUU SANA..
0744680670
KAMA UNA WI-FI UNLIMITED INTERNET NIITE NIKUWEKEE APPLICATION KWENYE TV YAKO UTAKAYOWEZA KUANGALIA CHANNEL ZOTE DUNIANI za michezo na burudani NA SITE ZOTE ZA MOVIE NA SERIES LATEST KWA GHARAMA NAFUU SANA..
0744680670
Ni jambo la aibu na fedheha kubwa kwa taifa kwamba kiwango cha parliamentary competence kimeporomoka kiasi cha kushangaza. Tunaona wabunge wetu wakibakia tu clapping hands na kugonga meza kama watoto waliokosa malezi, bila kuelewa kabisa the gravity of issues zinazowasilishwa mbele yao. Imagine...
Katika kipindi ambacho baadhi ya mitandao kama Twitter na Telegram hupata vikwazo vya upatikanaji nchini Tanzania, kutumia VPN (Virtual Private Network) ni suluhisho la haraka, rahisi na salama. VPN huficha anwani yako ya mtandao (IP address) na kukupa uhuru wa kutumia mtandao kama uko nchi...
Kwetu hapa bongo nimeona bado nyuzi jazijatumika kwa ukubwa na upana wake .. Mpaka sasa wanunua nyuzi wengi wamejikita kwenye mavazi kaka
Masweta
Soksi za watoto
Vizibao
Kofia nk
Vikapu
Lakini kuna hili la kutengeneza midoli ya watoto (teddy bear) na ni fursa nzuri kwa wale wajasiriamsli na...
Hili lipo Historically, tunaambiwa huyu mdau (mgunduzi) alitumia mbinu za kutumia vioo na mwanga wa jua (kama vile lense inavyoweka kuchoma karatasi) na kuunguza Meli zilikuwa zinavamia..., Je kuna ukweli kwamba hilo lilitokea ?
https://youtu.be/ZI3WcOTGd4o?si=l0gGUXgAPdBg9pwJ
Serikali ilianzisha mfumo wa ESS UTUMISHI Kwa ajili ya kurahisisha utendaji Serikali, katika kipengele cha kupima utendaji wa mtumishi (PEPMIS), Wakuu wa idara Halmashauri ya Kigoma Ujiji hawajui chochote, hili limepelekea watumishi wa ngazi za chini alama zao kusoma 0% na huku mtumishi yeye...
Anonymous
Thread
kigoma
kigoma ujiji
kutumia
manispaa
mfumo wa pepmis
pepmis
wakuu wa idara
Nauliza hili swali wanaume wenzengu,kuna baadhi yenu wanaoshindwaga kutumia Condomu kama mimi?
Yaani hata ningevaa tatu kwa mpigo mwisho wa siku huwa zinaishia kupasuka,
Sina uwezo kukojoa ndani ya ndomu,ninaweza hata kukaa zaidi ya saa zima kitu kinashindwa kuachia,matokeo yake ni kugombana...
Wasalam!
I declare!
PATRIOTISM FORWARD
PIA
SIASA NI DINI MPYA.
Ni wazi sasa technolojia ina nguvu kubwa kwenye maisha yetu, technolojia ina nafasi kubwa kwenye utendaji wa kazi zetu za kila siku.
Uvumbuzi na ugunduzi wa mashine mbalimbali za kidijidali na kirobotiki zimerahisisha mambo mengi...
Ni muhimu sana kuepuka kudanganyana na kupotoshana ndugu zangu wadau eti hapata kua na uchaguzi October.
kweli ni kwamba hayupo kibaka wala tapeli yeyote wa kisiasa nchini mwenye uthubutu wa kumzuia mwananchi yeyote huru kushiriki kikamilifu katika kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba kupiga...
Unachangamoto ya kompyuta kutumia bando la Intaneti sana? Suluhisho ni data saver, Bei 30,000 Tsh.
Programu ya data saver itakusaidia kuepusha Windows OS kujiupdati na kuzuia background usage la bando lako.
Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi.
Mawasiliano: 0756704145
Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako
Nafanya hivi, masaa 3 kwa siku ⏳💰
Watu wengi wanadhani lazima waache kazi ili waanze maisha mapya ya kujiajiri online.
Mimi nilifikiri hivyo pia.
Ukiangalia mitandao, unaona Influencers, wafanyabiashara, watu wa YouTube, wataalam wa...
Mwanasiasa James Mbatia amesema hakukuwa na haja ya Jeshi la Polisi kutumika kwenda kuzingira Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima kwa kuwa walitakiwa kumuita Askofu huyo badala ya kutumia nguvu.
Ameongeza kuwa amekutana na viongozi kadhaa wa Dini ngazi ya Askofu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.