Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,288
- 866,738
Kwetu hapa bongo nimeona bado nyuzi jazijatumika kwa ukubwa na upana wake .. Mpaka sasa wanunua nyuzi wengi wamejikita kwenye mavazi kaka
Masweta
Soksi za watoto
Vizibao
Kofia nk
Vikapu
Lakini kuna hili la kutengeneza midoli ya watoto (teddy bear) na ni fursa nzuri kwa wale wajasiriamsli na wenye vyuo vya ufundi ama kea yeyote anayetaka kufanya huu ubunifu.. Maana ni mwepesi na gharama inabebeka
Angalia hatua kwa hatua