kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watu 16 wafariki katika ajali ya gari walipokuwa wakirejea kutoka msibani

    Ajali ya barabarani iliyohusisha lori na daladala kwenye barabara kuu ya Kagadi-Kyenjojo katika halmashauri ya mji wa Nyanseke-Muhorro, wilayani Kagadi. Ajali hiyo pia imewaacha wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya, ambao wote wanaripotiwa kuwa walikuwa wakirejea kutoka mazishi. Kaimu afisa wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

    NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI. HUDUMA ZA ZIADA 📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta. 📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Damu kutoka puani mara kwa mara

    Hello, Mtu mzima umri miaka 50+ anasumbuliwa na kutoka damu puani inatokea mara mbili hata zaidi kila wiki. Nini kifanyike kutoweka kwa hari hii, msaada tafadhali!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Taifa limepasuka; wanaopata mkate kutoka serikalini wapo kushiba; wasiopata mkate wanatafuta pakupata mlo

    Kama Taifa hatupo pamoja; wazee wamegawanyika; huu siyo uhuru wa kuongea ni hasira ya kuyumba kwa misingi yetu. Mwalimu alituambia tinaweza leo tunaambiwa hatuwezi; wakati tunaamini tunaweza. Tunaamini hatuna mlo tunalazimishwa tumeshiba. Jk amekwenda kutalii kuvuta attention ya watu kila mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Mkutano mkubwa injili kutoka kwa Mhubiri Maarufu wa Kenya Nabii Ezekiel Odero uliokuwa ukiendelea wapigwa stop na Serikali

    Mkutano mkubwa wa Injili uliokuwa ukiendelea katika viwanja vya shule ya msingi Ngarenaro jijini Arusha na Mhubiri maarufu toka Kenya Nabii Ezekiel Odero umepigwa marufuku na serikali mchana huu. Wakiwa katikati ya mahubiri ghafla ilitangazwa kuwa ni marufuku kuendelea na maombi hayo jambo...
  6. JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Madini waanisha fursa kwa Wawekezaji kutoka India

    Sekta ya Madini imekuwa miongoni mwa Sekta zilizopata nafasi ya kunadi fursa zake za uwekezaji kwa ujumbe wa Wawekezaji kutoka Jimbo la Haryana nchini India. Ujumbe huo wa wawekezaji takribani 150 unashiriki katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara SabaSaba yanayoendelea jijini Dar Es...
  8. JamiiForums Tanzania Burna Boy awa msanii wa kwanza kutoka Afrika kujaza Uwanja Marekani

    Mshindi huyo wa Tuzo ya Grammy amefanikiwa kuweka rekodi hiyo kwa kuuza Tiketi zote 41,000 za onesho lake katika Uwanja wa Citi Field ulioko jijini New York, Marekani . Show hiyo ilihudhuriwa pia na Mastaa wakubwa kutoka Marekani wakiwemo Busta Rhymes, SZA, Jorja Smith na rapa Santan Dave...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Za ndaani kabisa kutoka Timu ya 'Avic Town Tumeishiwa Fedha FC'

    Nina za moto moto kuhusu mambo makubwa matatu; 1. Mwamba kuwagomea kabisa na sasa Kiongozi Mstaafu kaombwa akutane naye ili amshawishi asaini na abakie. 2. Wapiga Gitaa watatu wa DLY Congo Music Band kupewa adhabu kimya kimya baada ya kudai chao. 3. Fedha kuisha huku Tajiri na Matajiri...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Jeuri ya Sisimizi: Kujifunza Kutoka kwa Wadogo Wenye Uwezo

    JEURI YA SISIMIZI: KUJIFUNZA KUTOKA KWA WADOGO WENYE UWEZO Imendikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Sisimizi ni viumbe vidogo vyenye uwezo mkubwa wa kushirikiana, kujifunza, kuhifadhi chakula, kujenga makazi na kujihami. Kuna mengi tunayoweza kujifunza kutoka kwao ili kupata mawazo mapya na mikakati...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tuambiwe ndege yetu iliyoachiwa kutoka Netherlands imeachiwa kwa makubaliano gani au kwa mabilioni mangapi.

    Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa na wawekezaji wa Netherlands kwa miezi zaidi ya sita imeachiwa. Je ni kwa makubaliano gani au tumelipa kiasi gani? Ni haki ya wananchi kujua mambo haya na serikali isione fahari kutuambia tu kirahisi ndege imeachiwa. Ni wakati wa ndege zetu kuleta faida na...
  12. JamiiForums Tanzania Kutoka 21:10 huu ni uzinzi au ndoa ya mke zaidi ya moja ilikuwa halali?

    Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. Hata mitume na manabii wapo waliooa wake wengi, je walikuwa wanazini? Kinachofatwa ni maandiko au tamaduni za Ulaya ambazo ilibidi makanisa yalioanzishwa...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii kali! Kuna jambo la kujifunza kutoka kwa hawa Wakenya hapa

    Nimerudia mara tatu kuangalia tukio hili, ila mara ya nne nikakumbuka kuna wadau huko hebu nikapate kutanua mawazo kutoka kwako. Kama una bundle fungua ni video ya 5mb, uangalie kwa umakini ili mawazo yako yareply kwa unakini. ☝🏾 Hili tukio la hawa jirani zetu hapo Kenya kurushiwa mabomu ya...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Rais wa kwanza shoga kutoka Ulaya aapishwa huko Latvia

    Kweli jamii zetu hutofautiana sana kimtizamo. Je tunaelekea huku na sisi siku moja? Huyo anaitwa Edgar Rinkevics, ametumikia muda mrefu (tangu 2011) kama waziri wa mambo ya nje wa Latvia huko Ulaya Mashariki. Umoja wa Ulaya umewahi kuwa na viongozi mashoga wa serikali lakini sio kiongozi mkuu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ushuru wa kuingiza smartphones kutoka nje

    Habari wakuu. Kuna mtu wangu yupo nje ya nchi anataka kunitumia smartphones tano (5) brand new. Utaratibu wa ushuru ukoje pindi zikifika nchini? Nadhani kuna wakati serikali iliondoa import duty ila ikarudisha tena. Naomba kuwasilisha.
  16. JamiiForums Tanzania Zawadi Inayoitwa Maisha: Safari Yangu Kutoka kwa Teja wa Dawa za Kulevya Hadi Kupona

    Siku zote nilisema kwamba sitawahi kutumia dawa za kulevya. Nikitazama nyuma, nilifanya kila kitu nilichosema singefanya. Mara ya kwanza nilipotumia dawa za kulevya, nilianza na bangi. Sikuipenda, lakini niliizoea. Sikujisikia vizuri ikiwa sikuitumia. Nilikuwa na kazi nzuri basi; palikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Madinah sasa ruksa kwa wasio Waislam kutembelea bila vikwazo. Jionee safari ya Kutoka jiji la Jeddah kuelekea Madinah

    Nimeipenda sana hii safari ya wasio Waislam wakielezea na wakionesha wepesi wa safari yao kutokea jiji la Jeddah kuelekea Madinah. Na chini hapa wazungu wengine , watu wazima kidogo, wakishangaa zaidi na walichokutana nancho Madinah: Tena sasa kuna "virtual tour" ya Madinah, bofya chini...
  18. JamiiForums Tanzania Dubai: Mtu azinduka kutoka kwenye coma baada ya miaka minne

    Dubai: In what can be likened to a real-life time-travel tale, Fares Abu Batin, a Saudi man who was in a coma for four years, woke up to a world transformed beyond his imagination. The astonishing episode was brought to light during an interview with Al Arabiya TV, where Fares recounted the...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Mrembo kutoka Oysterbay aliye kamata moyo wa gwiji la Muziki Tanzania na kuwa famous Tanzania nzima

    Wengi wenu mnatambua nyimbo ya Jabari la Muziki Tanzania Marijan Rajab na nyumbo yake maarufu inayo julikana kama "Georgina " huku wengi mkiwa hamjui story ya nyimbo hiyo kwamba ni ya kweli , Georgina ni nani na kwanini nyimbo hiyo ili tungwa na jabari huyo wa Muziki. Georgina...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Magari yote yaliyotumika kutoka nchi za Falme Za Kiarabu na Uingereza kukaguliwa katika hizo nchi husika kabla ya kusafirishwa Tanzania

    TBS wamesema magari yote yaliyotumika kutoka nchi za Falme Za Kiarabu na Uingereza kukaguliwa katika hizo nchi husika kabla ya kusafirishwa Tanzania. Hivyo TBS wamewapa tenda Quality’s Inspection Service Japan(QISJ) kukagua magari yanayotoka Muungano Wa Falme Za Kiarabu(UAE) na EAA Company...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…