Rais wa kwanza shoga kutoka Ulaya aapishwa huko Latvia

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,867
18,625
1688822103249.png
Kweli jamii zetu hutofautiana sana kimtizamo. Je tunaelekea huku na sisi siku moja?

Huyo anaitwa Edgar Rinkevics, ametumikia muda mrefu (tangu 2011) kama waziri wa mambo ya nje wa Latvia huko Ulaya Mashariki.

Umoja wa Ulaya umewahi kuwa na viongozi mashoga wa serikali lakini sio kiongozi mkuu wa serikali hadi Edgar anachaguliwa.

Tangu mwaka 2014 bwana Rinkevics mwenye umri wa miaka 49 amekuwa mtetezi mkubwa wa mashoga na watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Ndoa za jinsia moja Latvia ni haramu pamoja na kwamba Mahakama ya Katiba ya nchi hiyo imeruhusu ndoa hizo tangu mwaka jana.

Mwezi Mei mwaka huu bunge la Latvia lilimchagua Rinkevics kuwa rais. Katika hotuba yake ya ufunguzi, bwana Rinkevics ameahidi kujenga Latvia ya kisasa yenye nguvu, na yenye kufuata sheria na haki kwa ajili ya faida ya watu wote.
 
H
View attachment 2682057

Hatari na si salama.
 
Lah haullah tobaa? Sasa kama rais ni shoga si taifa zima vijana wataona ushoga ni heshima? Ulaya hamnazo wasituletee ushenzi wao afrika
 
Back
Top Bottom