kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Askofu Niwemugizi Krismasi ya 2023: Muhtasari, maswali na tafakari

    I. Utangulizi Askofu Severine NiweMugizi ni miongoni mwa Maaskofu wa Kanisa Katoliki machachari sana. Huwa hataki kulala na dukuduku moyoni mwake hata siku moja. Pia historia yake kama Askofu inaonyesha kwamba ni mtu asiyependa wala kuvumilia ukaidi dhidi ya mamlaka halali. Hata hivyo...
  2. JamiiForums Tanzania Hamas walivyozivuruga sherehe za mwaka mpya Israel. Mvua ya makombora kutoka Gaza yawatoa mbio na kuwanyamazisha washerehekeaji

    Wakati saa ikisoma sifuri baina ya 2023 na 2024 mara Hamas wakaanza kurusha makombora kwa mtindo wao ule wa kama mvua ambapo Iron Dome huwa zinashindwa kujua ianze na lipi kati ya mengi yanayokuja. Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu mwanamke ananichukuliaje?

    Wakuuu hivi binti ananionaje? Kwamba ameniona mie zuzu? Au yaani aisee kila siku matusi na vipigo kutoka kwa mke wangu bila sababu yoyote ile na pia maneno ya kashfa kila siku eti kwamba mimi ni mwanaume suruali aisee nimechoka kabisa aisee Yaani kuna siku alikuwa anataka kuondoka hapa nyumbani...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia kutoa Hotuba ya mwisho wa mwaka 2023 kwa Wananchi, saa 3:00 usiku

    Leo saa tatu usiku kutakuwa na hotuba ya Mh. Rais Samia. Hotuba ya kufunga mwaka
  5. JamiiForums Tanzania Dawa kutoka CUBA ni Mpango Serikali kupitia wizara ya Afya au Polepole?

    Navojua polepole ni mtumishi wa serikali. Na ametumwa na Rais kuwakilisha nchi. Kwanini suala la dawa kutoka CUBA atangaze yeye kama yeye na siyo wizara ya afya. Hizo dawa zimethibitishwa na nani kwa matumizi ya hapa Tanzania and how ziende private hospital? Unless kutakuwa na shida mahali
  6. JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea Wageni Kutoka Mbali na Karibu

    IMEPOKEA WAGENI KUTOKA MBALI NA KARIBU Maktaba leo imepokea wageni kutoka mbali na karibu. Kulia ni Mwalimu Juma Nyuni kutoka MUM, Prof. Kai Kresse wa Zentrum Moderner Orient, Berlin, Ujerumani, Mohamed Said, Prof. Ibrahim Noor Shariff kutoka Muscat, Oman na Afisa wa MUM Mohamed Ali. Ndugu...
  7. JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mafuta na gesi Tanzania afanikiwa kuzalisha gesi kutoka kwenye kitalu chake mwenyewe na kuandika andiko linaloelezea kile alichokifanya

    Mtaalamu wa mafuta na gesi Tanzania, bwana Elia Wilinasi ameitendea haki field yake ya mafuta na gesi baada ya kuzalisha gesi kutoka kwenye kitalu chake mwenyewe na kufanikiwa kuandika andiko zima ya kile alichokifanya...
  8. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kutoka huko Asia ashangaa baada ya yeye kuondoka na kisha kurudi leo amekuta maendeleo makubwa nchini

    Huyu rafiki yangu Engineer kwenye kampuni tuliyokuwa tunafanya pamoja kazi hapa nchini. Mwaka 2016 aliondoka kwenda kwako, sasa leo amerudi tena hapa nchini, baada ya kukutana nae katika stori mbili tatu, akaniambia watanzania naona sasa mmeamua, naona nchi yenu inakuwa sasa. Kuna mabadiliko...
  9. JamiiForums Tanzania Ni Match gani Ilikukosha kutoka Kwa Team yako ya Ligi kuu ya NBC Mwaka huu 2023?

    Habari wana Jukwaa La Michezo, Mwaka 2023 unakata huu, Tumetoka Mbali ulikua Mwaka wa Matukio Mengii ila Leo Naomba niwaalike wote hapa kukumbushana Ni Mchezo gani Kutoka kwa Team yako pendwa ya Ligi kuu ya NBC hutausahau. Ulikukosha ukakupa Raha. Ukafurahi ukaona Maisha ya Bongo ni kama ya...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata basi la saa 5 usiku kutoka Mwanza kwenda Musoma?

    Wakuu, naweza kupata bus za kutoka mwanza kwenda musoma saa 5 usiku?
  11. JamiiForums Tanzania Tangazo maalum kutoka bar, 2024 pombe basiiiii!

    Enough is enough.
  12. JamiiForums Tanzania Ni taifa moja tu duniani limekuwa na watu wajinga kiasi cha kukubali kutawaliwa na mtawala kutoka nchi nyingine

    Duniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala. So far hilo taifa jirani halijaweka sheria ya kumruhusu raia wa taifa lolote kushika dhadhifa za kiuongozi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Naomba utaratibu wakubadili tin number kutoka non businesses kwenda business

    Samahani nilikua naomba kazi kampuni x vigezo vikawa tin number nikampa mtu anitengenezee yeye akatengeneza ya non businesses Sasa imekataliwa nafanyaje kubadili msaada jaman
  14. JamiiForums Tanzania Hii ni ishara ya kwamba Simba SC ni timu teule Afrika kutoka kwa Mungu

    Hili tukio la mtoto mdogo kuchagua Simba sc baada ya kuwekewa nembo ya Simba na yanga, kisha akachagua Simba sc ni ishara yakwamba Simba sc ndio timu teule kutoka kwa Mungu kuiwakilisha Tanzania, Afrika mashariki na kati,na Afrika kwa ujumla Duniani kote kama Timu bora ya nyakati zote. Pia...
  15. JamiiForums Tanzania Tunapofika mwisho wa mwaka, haya ni mambo ambayo tunapaswa kujihadhari nayo

    Tunapofika mwisho wa mwaka, inafaa tujadili mambo tunatakiwa kujihadhari nayo tunapokwenda mbele. Nasita sasa kulihusisha jina la Nyerere na mambo ninayotaka kuyaandika sasa. Lakini wote tunataka maendeleo ya kiroho kwa hiyo ni bora tuyajadili mambo ambayo yanaweza kutukwamisha. Ni mambo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi kutoka Roman Catholic (RC) hadi Tanzanian Catholic (TC) kutokana na tamko la papa

    Naona ni muda muafaka kanisa katoliki Tanzania kujitoa kwenye makucha ya Papa chini ya mfumo wake wa Roman Catholic. Haingii akilini, makanisa tumejenga sisi waumini, magari tuwanunulie mapadri na maaskofu halafu hatokee mtu from nowhere kisa ni papa abadilishe asili ya mwanadamu kwa kutaka...
  17. JamiiForums Tanzania Huyu Binti wa Kipemba anahitaji nini kutoka kwangu??

    Heri ya krismasi wakuu!? Twende kwenye mada moja kwa moja, Mimi ni Mwanafunzi wa chuo fulani bora sana cha afya hapa nchini, Kuna siku nilikuwa natoka kusoma, kujiandaa na UE(University Examination),sasa wakati natoka class,nikakutana na binti kavaa ushungi, rangi yake kwa mbali kama Muarabu...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kung'oa demu wa mkoani kwa haraka : kwa wewe mgeni kutoka mjini daslamu

    Jamaa mmoja akasema " aah wewe tafuta bodaboda halafu mwambie akupeleke kwenye machaka wanako patikana. Bodaboda ndio wanajua chocho zote." Hell No! Mimi sizungumzii malaya mkuu. Njia hiyo ya kuwatumia bodaboda inafanya kazi kwa 👇 1. Watu wanao tafuta milupo au malaya wanao jiuza. 2. Ina...
  19. JamiiForums Tanzania Unatabiri nafasi moja iliyobaki itaenda kwa timu gani kutoka Africa kushiriki kombe la dunia la vilabu ?

    Kati ya Cr Belouizdad, Petro De Luanda na Simba Kuna timu itaweza kufikia points 75 za ES TUNIS ?
  20. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia inatengeneza zaidi ya trilioni 30 kwa mwaka kutoka kwa waislamu

    Nchi ya Saudi Arabia ipongezwe kwa ubunifu wa chanzo kikubwa cha mapato. Jamaa walioweka vifungu vya kuwataka watu waende Madina na Mecca waliona mbali sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…