Imekuwa ni kawaida sana tangu Biden aingie madarakani huwa hajibu maswali ya kwenye presss na hakuna accountability anayohukua.
Pia kufanya speech imekuwa mtihani kwake, hasa pale mazingira yanapokuwa sio rafiki kwa kutumia teleprompter, mfano hapo 9/11 alienda zima moto, pentagon na...
Ni kitu cha kushangaza mpaka leo huu mfumo wa kutoa mahali bado unaendelea. Tumefundishwa tokea tulivyo kuwa shule ya msingi ya kuwa mahali sio nzuri kwa mwanamke, inashusha thamani yake katika ndoa, lakini kwanini bado tunaitumia mpaka leo? Ndoa hutokea pale ambapo watu wawili wanapopendana na...
10 September 2021
Kigali, Rwanda
Tanzania imeshindwa kulipia ada ya dola za kimarekani US$ 1,000 zilizotakiwa kulipwa kabla ya kuruhusiwa kushiriki mashindano makubwa ya Afrika ya mchezo wa volleyball.
Pia nchi ya Tanzania ilishindwa kulipia US$ 50 kwa kila mtu aliyetarajiwa kuwepo ktk msafara...
Unaweza kushangaa kwa nini nimepost hapa kwenye jukwaa la siasa.. Lakini huu ni uhujumu uchumi.. Juzi nikiwa Mwenge sokoni mtu wa parking alinielekeza vizuri sehemu ya kupaki gari.
Nikapaki nikafanya ghughuli iliyonipeleka ndani ya dakika ishirini nikawa nimemaliza naondoka.
Jamaa akaja na...
Mahakama Kuu ya Mexico imeamua kuwa uhalifu wa utoaji mimba ni kinyume cha Katiba, kwa kura ya pamoja Jumanne, uamuzi ambao utawawezesha wanawake wa Mexico kote nchini kutoa mimba bila kizuizi.
vigezo vya mahakama na Katiba, kumshtaki mwanamke anayetoa mimba katika kesi zilizoidhinishwa na...
WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA: ANZENI KUTOA HUDUMA KUPITIA VITUO VYA HUDUMA PAMOJA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo haziajaanza kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja vya Shirika la Posta Tanzania zijipange na zihakikishe zinaanza kutoa huduma katika...
Afisa Mtendaji kata ya Lulembela, wilaya ya Mbogwe, mkoa wa Geita amekuwa Mungu mtu kwa kutisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango wa maendeleo bila staha na kuzingatia utu wa mtu.
Anamtumia balozi wa nyumba kumi anayeitwa Benard Gwanguru ambaye amekuwa akiambatana na mgambo...
Nina kajinyumba kangu kadogo kakushikia kiwanja Goba kunguru, kana vyumba viwili vya kulala, sebule, chumba kimoja kina choo na bafu ndani na pia kina choo cha wageni jirani na sebuleni.
Yaliyonikuta najuta kuzaliwa jamani, natamani nilie, kilio hakitoki, natatamani niende kwa Mwamposa nikanywe...
Serikali ya Tanzania imesema watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha.
Hayo yamesemwa leo Septemba mosi, 2021 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba katika mkutano wake na wanahabari akibainisha kuwa lengo ni...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani hivi karibuni ilitoa Ripoti yake ya mwaka 2021 ya Biashara ya Magendo ya Watu, na kwa mara nyingine tena, ilitumia mbinu yake ya kawaida ya kuweka vigezo viwili. Wakati inakosoa na kukashifu nchi nyingine ikiwemo China katika suala hilo, nchi hiyo inadai kwamba...
Katika ukurasa wake wa instagram Ndugu Haji Manara aliandika maneno yenye kila dalili ya kejeli kwa Bilionea Mohamed Dewji " Mo".
Kuoneshwa kutofurahishwa na jambo hilo, winga machachari na hatari Bernad Morrison ameandika maneno yakumuasa manara, kuwa usikejeli watu waliokustili mwanzo kwani...
Katika kikao kinachoendelea Bungeni leo agosti 31, Kamati ya maadili iliyowahoji Askofu Josephat Gwajima na mbunge Jerry Slaa imetoa ripoti yake na mapendekezo ya adhabu.
Kwa upande wa askofu josephat Gwajima, Kamati imesema kua ilimtaka atoe evidence juu ya zile tuhuma alizokua...
Kuna kiini macho kikubwa sana ambacho waTanzania hatujakigundua katika utoaji wa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo.
Anayepewa mkopo huo ni Mwanafunzi lakini tathmini ya uhitaji wa kumpatia mkopo Mwanafunzi huyo anafanyiwa mzazi wake. Hii ni sawa na kusema kuwa Mzazi ndiye alipaswa kuomba huo mkopo...
Mwandishi wa riwaya wa Kiingereza Charles Dickens alifungua kitabu chake maarufu cha “Hadithi ya Miji Miwili” (A Tale of Two Cities) kwa kusema “ulikuwa ni wakati mzuri kabisa, pia ulikuwa ni wakati mbaya kabisa.” Sentensi hii inayojulikana sana pia inafaa kuelezea jinsi China na Marekani...
Wakaguzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakikagua baadhi ya maduka ya vyakula na vipodozi pamoja na viwanda vya wajasiriamali wilayani Liwale mkoani Lindi.
TBS imeanza kampeni ya kutoa elimu kwa wajasiriamali na wenye viwanda juu ya umuhimu wa kupata alama ya ubora sambamba na kukagua na...
Mkurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Kristalina Georgieva, amesema watatoa kiasi cha dola bilioni 650 kwa wanachama wake kupitia mpango mpya maalumu utakaosaidia juhudi za ulimwengu za kupambana na janga la Covid-19.
.
IMF pia itatoa fedha za ziada kwa ajili ya uchumi wa dunia, kuongeza...
kwa hatua hii bila shaka itauwa vipaji vya soka la vijana wetu kwani ni wazi sasa vilabu havitakuwa tena na mda wa kupoteza wa kulea vijana ili hali kuna soko tayari nje nje la vijana kutoka nje waliolelewa vizuri na wapo tayari kutoa matokeo mazuri (ikumbukwe lengo kuu la wamiliki wa vilabu...
Wakuu napenda kufahamu
Niliagiza mzgo wangu wa simu kwa kutumia FedEx kwa matumizi yangu. Nimejarbu kuwapelekea invoice kwa sababu unahitajika kufanyiwa clearance ila inaonekana gharama ni kubwa Sanaa mara pesa ya clearance agent km kilo na nusu na bado wanahitaji tin number , bado custom na...
Nchi yetu imebarikiwa maji, ardhi yenye rutuba, watu wenye afya, Rasilimali lukuki lakini 60% ya raia wanaishi katika umasikini wa kutupwa.
Kitu kinachowashinda wengi ni mitaji ya kuanzisha biashara. Hili si tatizo kubwa kama tukiwashirikisha diaspora. Diaspora anaweza kupata mtaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.